Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 96
    1. #1
      Mtambuzi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 29th October 2008
      Location : Dar Es Salaam
      Posts : 6,089
      Rep Power : 27012
      Likes Received
      8211
      Likes Given
      17307

      Default Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Nakumbuka katika kipindi changu cha mpito wakati natafuta jiko, nilibahatika kuwa na mitoko (dates) na wadada kadhaa…….. Naam, kipindi hicho nilikuwa katika pilika za kutafuta ni nani atakayenifaa kwa ajili ya kujenga familia.

      Kama mjuavyo mtoko ni gharama na gharama hizi mara nyingi huzibeba mwanaume, ambaye ndiye anayetoa mwaliko. Ni vigumu kutabiri gharama za mtoko na hiyo ni kutokana na kutojua kama mwenzako anapendelea aina gani ya vinywaji au vyakula. Hivyo inabidi kabla ya mtoko basi ujikague kama mfuko unakidhi usije ukaumbuka bure.

      Lakini pia inategemea ni sehemu gani mtakwenda kwa ajili ya mtoko wenu, kwani kila sehemu ina gharama zake. Kwa mfano, kuna kwenda sinema, kuna kutoka kwenda kupata chakula cha jioni na hii inategemea mnakwenda wapi, kwani kuna mighahawa ya inayouza vyakula vya kitalii, kuna hoteli za nyota tatu, nne mpaka tano, maeneo yote hayo yanatofautiana bei, na ndio maana nikasema mtoko ni gharama.

      Swali kwa wanawake:

      Inaweza kutokea baada ya mtoko wa kwanza mwanaume akavutiwa na wewe akiamini kwamba, mnaweza kujenga familia. Lakini ili kufahamiana zaidi akawa anakualika kwenye mtoko mara kwa mara ili mpate fursa ya kufahamiana zaidi.

      Kwa kuwa mara nyingi hutokea wanaume ndio hubeba gharama za mitoko (dates) kwa sababu wao ndio waalikaji, Je mnadhani ni wakati gani mnapaswa kuanza kulipa gharama za mtoko…………?

      Niliwahi kuzungumza na baadhi ya wafanyakazi wenzangu wa jinsia ya kike kuhusu jambo hili. Baadhi walisema wanaweza kutoa mwaliko wa mtoko wa tatu na kubeba gharama. Wengine walisema mtoko wa pili wanaweza kulipa gharama za matumizi ya mtoko huo, hata na kama wao ndio wamealikwa na ikitokea mwanaume analazimisha kulipa, basi watajaribu japo kuchangia gharama za vinywaji. Lakini wapo waliodai kwamba wao wataanza kulipa pale tu ambapo mwanaume huyo ataonyesha dalili zote za kuwavisha pete za uchumba au kufunga nao ndoa…………………..

      Naomba kupata mtazamo wenu juu ya jambo hili, Je nyie mnasemaje?.

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      Kongosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Location : Location loading...
      Posts : 25,104
      Rep Power : 13052
      Likes Received
      14067
      Likes Given
      14838

      Default

      akimgusa gusa, mbebeshe kwenye tissue paper aweke kwenye pochi.

      Nauhakika akifika home ataruka ruka na kumla hadi magamba.

      Quote By Prisoner 46664
      Ha ha ha...kitu lobster...halafu kinachouma zaidi lobster mwenyewe anaguswaguswa tu juu juu,robo tatu nzima mnaacha mezani hapo

    4. #42
      SnowBall's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th September 2011
      Location : Amsterdam, Nertherlands
      Posts : 2,628
      Rep Power : 24024
      Likes Received
      2399
      Likes Given
      3298

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      [QUOTE=Kongosho;4391256]kiukweli naskia raha akilipa yeye, sana tena sana...Ila kama najua hana, hapo nitarekebisha tokea huko nyumbani, akae nazo pesa basi atalipia yeye, ila awe hana...Ila tena, kama hana ananialika twende wapi?/QUOTE]

      Sometimes una akili wewe!!..me like this!!
      Kongosho likes this.
      ..''I wasted time, and now those time waste me''...Shakespear

    5. #43
      Prisoner 46664's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th December 2010
      Posts : 1,119
      Rep Power : 650
      Likes Received
      593
      Likes Given
      1562

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      Nice topic..I miss my baby so bad..her money was mine,mine was hers,we just never thought of money at all..it always was a heartfelt pleasure to buy anything for her,..one time,as we planned for our marriage,I remember her telling me 'u know what babe,let's move in together,I'll be paying our rent'..such a woman,I miss her so bad.

    6. #44
      Kongosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Location : Location loading...
      Posts : 25,104
      Rep Power : 13052
      Likes Received
      14067
      Likes Given
      14838

      Default

      ha ha ha, wanamme hata kama unamzidi pesa, lazima ukae nao kwa akili.

      Mpe pesa akae nazo tokea home, akifika aah mambo swafi.

      [QUOTE=SnowBall;4391293]
      Quote By Kongosho
      kiukweli naskia raha akilipa yeye, sana tena sana...Ila kama najua hana, hapo nitarekebisha tokea huko nyumbani, akae nazo pesa basi atalipia yeye, ila awe hana...Ila tena, kama hana ananialika twende wapi?/QUOTE]

      Sometimes una akili wewe!!..me like this!!
      nyumba kubwa likes this.

    7. #45
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 10,672
      Rep Power : 21309
      Likes Received
      10028
      Likes Given
      13931

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      Quote By nyumba kubwa
      Mialiko ya hivyo ipo...na ni special places si kule tunakokwenda mara kwa mara. Lakini inategemea na timing maana mume wangu always yuko kamili tukienda mahali kwani anajua yeye ndie mlipaji. Narudia tena kwangu sioni kama namuumiza jamaa kulipa kwa kuwa ela yangu ni yake na yake ni yangu. Hiyo ndo point kubwa...sasa nani kalipa haibadili ukweli kuwa ela yetu imetumika.
      sasa ngoja labda nikwambie nilichojifunza kwako kwamba nyie mna umoja in everything hilo nimelipenda sana. na kweli walia vijana wajiafunze hapa.

      mimi kwangu, umoja upo sana ila tu moneywise kila mtu ana akontribute separately, like ingawa najua income yake na yeye anajua ya kwangu, but maamuzi ya mwisho yanafanywa na mtu binafsi kwa utash wake. so hata kama labda ni gari tunanunua huwa tunasema kabisa tunaweza kupata hela hiyo after how long na kila mmoja anasema anaweza kukontribute kias gani na hata kama ukishindwa akufikia lengo lakoa lkn ukaonyesha juhaudi its ok manake huwa hali halisi tunajuana.

      lakin pia nina ndugu yangu siku moja aliiambia usifanye kushare cost na mr atakuliza sasa hakuwa na mashiko manake nilimuuliz ivipi akasema siku ukifa wengine wanafaid nikamwambia si kama siku yeye akifa wengine watakavyofaid? akasema wewe ndugu wa mume hawatajua kama ulichangia nikasema hicho ndo kitu cha mwisho ndugu kuniambia nikiwa hai.
      "thought takes man out of servitude into freedom"
      'daima tudumu katika upendo'

    8. Miaka 50

    9. #46
      SnowBall's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th September 2011
      Location : Amsterdam, Nertherlands
      Posts : 2,628
      Rep Power : 24024
      Likes Received
      2399
      Likes Given
      3298

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      [QUOTE=Kongosho;4391306]ha ha ha, wanamme hata kama unamzidi pesa, lazima ukae nao kwa akili.

      Mpe pesa akae nazo tokea home, akifika aah mambo swafi.

      Hata mhudumu wa hotel akifuata bili ukimwambia analipa yule pale dada naonaga wanashtuka sana..
      Hata kama alitaka kuleta pozi unaona anaufyata..lol!
      Mtambuzi and Kongosho like this.
      ..''I wasted time, and now those time waste me''...Shakespear

    10. #47
      Prisoner 46664's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th December 2010
      Posts : 1,119
      Rep Power : 650
      Likes Received
      593
      Likes Given
      1562

      Default

      Quote By Kongosho
      akimgusa gusa, mbebeshe kwenye tissue paper aweke kwenye pochi.

      Nauhakika akifika home ataruka ruka na kumla hadi magamba.
      Ha ha..mkuu masista duu utawaweza bana??tumepigana chenga ya mtoko wa lunch na mtoto mmoja mzuuuri sana,siku ya siku imefika,kagusa vijiko viwili tu plate yenye gharama ya kutosha..aliniacha nang'aa macho tu nisiamini kama kweli nalipia chakula ambacho hakijaliwa
      Mtambuzi and Kongosho like this.

    11. #48
      Kongosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Location : Location loading...
      Posts : 25,104
      Rep Power : 13052
      Likes Received
      14067
      Likes Given
      14838

      Default

      pole, you will meet her someday!

      Quote By Prisoner 46664
      Nice topic..I miss my baby so bad..her money was mine,mine was hers,we just never thought of money at all..it always was a heartfelt pleasure to buy anything for her,..one time,as we planned for our marriage,I remember her telling me 'u know what babe,let's move in together,I'll be paying our rent'..such a woman,I miss her so bad.

    12. #49
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 10,672
      Rep Power : 21309
      Likes Received
      10028
      Likes Given
      13931

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      Quote By Kongosho
      bora umesema, ya nini kunipeleka kwenye hotel ambazo msosi unatambuliwa kwa mboga??

      Eti 'Prawns with mashed potato'

      ni bora anipeleke za kiswahili ambapo msosi unatambuliwa kwa nafaka 'wali ng'ombe'

      ikishindikana, hata kiosk akaninyweshe soda tu.
      Kongosho kuna wanaume wanasahau kwamba wa mbili havai moja na wa moja vile vile havai mbili. sasa wanaishiaga kuchamba kwingi mwishowe.............
      Mtambuzi and Kongosho like this.
      "thought takes man out of servitude into freedom"
      'daima tudumu katika upendo'

    13. #50
      Kaunga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2010
      Location : Wild wild west
      Posts : 8,422
      Rep Power : 13321
      Likes Received
      7647
      Likes Given
      6909

      Default

      Quote By SnowBall
      Sasa mbona hapa ndio gharama zaidi my dear Kaunga
      Silipi bill sio kwa ajili ya gharama, lkn kwa kupata ile raha ya kutolewa na hubby.

      Kama nimemtoa mimi, that should be my treat, lkn akinitoa yeye; haiswihi mimi hata kuchangia, unless kasahau wallet!
      Mtambuzi likes this.

    14. #51
      SnowBall's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th September 2011
      Location : Amsterdam, Nertherlands
      Posts : 2,628
      Rep Power : 24024
      Likes Received
      2399
      Likes Given
      3298

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      Quote By Kaunga
      Silipi bill sio kwa ajili ya gharama, lkn kwa kupata ile raha ya kutolewa na hubby. Kama nimemtoa mimi, that should be my treat, lkn akinitoa yeye; haiswihi mimi hata kuchangia, unless kasahau wallet!
      Na sisi hapa ndipo tunapochukuliaga ujiko..
      Mtambuzi likes this.
      ..''I wasted time, and now those time waste me''...Shakespear

    15. #52
      Mentor's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 14th October 2008
      Location : On my way to Heaven!
      Posts : 5,799
      Rep Power : 5233
      Likes Received
      3289
      Likes Given
      8970

      Default

      Mh...this is interesting..ngoja nkaanzie mwanzo..b bak..
      Mtambuzi likes this.

    16. #53
      nyumba kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 4,047
      Rep Power : 2305
      Likes Received
      2874
      Likes Given
      3969

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      Mimi huwa sipendi kabisa kuwaambia wana ndoa namna ya kutumia pesa zao. eti ninavyofanya mimi na mume wangu ndio mfano wa kuigwa...BIG NO.

      Ila nachojua tokana na experience yangu watu wengi ni kama wana joint accounts ila katika separate names..kwa nini nasema hivi;

      Nachukulia mfano wa mdogo wangu...nyumba wamejenga na mumewe...kila mtu alichukua mkopo.
      Watoto wanachanga kuwapeleka shule.
      Matumizi ya ndani kila mtu anachangia ingawa sidhani kama wana formular ya 50/50.
      Anajua kila fedha mumewe anayopata hasa mshahara na wakati mwingine mpaka bonus (najua inawezekana nyingine hasemi)

      Akipigwa mzinga hasemi 'sina ela' anasema 'hapa tulipo wote hatuna ela'.Lol

      Sasa hao kuna tofauti gani na sie wenye joint account au kwa kuwa yeye ela yake inaingia kwake kwanza kabla ya kutoka?

      Quote By gfsonwin
      sasa ngoja labda nikwambie nilichojifunza kwako kwamba nyie mna umoja in everything hilo nimelipenda sana. na kweli walia vijana wajiafunze hapa.

      mimi kwangu, umoja upo sana ila tu moneywise kila mtu ana akontribute separately, like ingawa najua income yake na yeye anajua ya kwangu, but maamuzi ya mwisho yanafanywa na mtu binafsi kwa utash wake. so hata kama labda ni gari tunanunua huwa tunasema kabisa tunaweza kupata hela hiyo after how long na kila mmoja anasema anaweza kukontribute kias gani na hata kama ukishindwa akufikia lengo lakoa lkn ukaonyesha juhaudi its ok manake huwa hali halisi tunajuana.

      lakin pia nina ndugu yangu siku moja aliiambia usifanye kushare cost na mr atakuliza sasa hakuwa na mashiko manake nilimuuliz ivipi akasema siku ukifa wengine wanafaid nikamwambia si kama siku yeye akifa wengine watakavyofaid? akasema wewe ndugu wa mume hawatajua kama ulichangia nikasema hicho ndo kitu cha mwisho ndugu kuniambia nikiwa hai.
      gfsonwin likes this.

    17. #54
      jeneneke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th July 2012
      Posts : 708
      Rep Power : 487
      Likes Received
      292
      Likes Given
      264

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      "Kama mjuavyo mtoko ni gharama na gharama hizi mara nyingi huzibeba mwanaume,"

      Aisee uu uzi umenitia machungu nikikumbuka tulitaka kugongwa na gari 2009 kisa mabishano ya pesa ya kwenda kula mahali,yani jamaa alikuwa anapesa lakini yake haitumiwi na ikafikia tukitaka kutoka naanza kumwambia awe a pesa yake aah sitaki hata kuendelea nikimfikiria. Tena he is back after 3 years yani huu uzi umenifanya niendelee kumchukia.
      Mtambuzi and BADILI TABIA like this.

    18. #55
      Lilian Masilago's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2012
      Posts : 228
      Rep Power : 391
      Likes Received
      105
      Likes Given
      102

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      Any time if necessary
      Mhubiri 10:2....Moyo wake mwenye hekima upo upande wa kuume;Bali moyo wake mpumbavu upo mkono wa kushoto.

    19. #56
      Zeddy Zeddy's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th August 2011
      Posts : 27
      Rep Power : 397
      Likes Received
      7
      Likes Given
      14

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      I paid on our first date na boyfriend wangu, from then kila tunapoenda ananiachia nilipe,daladala,bajaji ananiangalia usoni nilipe,..hadi samtaim nasingzia kuumwa ili tusitoke...NIMEKOMA..
      Mtambuzi and BADILI TABIA like this.

    20. #57
      Preta's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 28th November 2009
      Location : yaeda chini
      Posts : 14,728
      Rep Power : 15101
      Likes Received
      7179
      Likes Given
      6846

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      sijali kulipa......lakini be aware.....ni date ya ngapi......la sivyo.....your days are numbered.....
      Mtambuzi and BADILI TABIA like this.
      Life is too short to waste time hating anyone.........

    21. #58
      Prisoner 46664's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th December 2010
      Posts : 1,119
      Rep Power : 650
      Likes Received
      593
      Likes Given
      1562

      Default

      Quote By Kongosho
      mie silipii hadi tuambizane uhusiano wetu ni wa kimagaharibi au wa kiafrika?

      Kama ni wa kimagharibi, inayomaanisha nitapata haki zote kulingana na makubaliano ya Beijing, basi kila mtoko nitagharimia nusu kwa nusu.

      Ila kama anataka mahusiano ya kiafrika ambayo mwanamme ana sauti kama kiongozi wa kundi la wanawake anaowaongoza, basi sitalipia asilani.

      Mie hapa huwa naona wanamme wanajikanganya, anataka um-treat kama african king halafu kwenye cost sharing anataka twende kimagharibi, hii haiwezekani na haikubaliki.
      Tehe tehe...ni wa kimagharibi basi.tehe tehe..ladies buana!!!
      Kongosho likes this.

    22. #59
      Prisoner 46664's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th December 2010
      Posts : 1,119
      Rep Power : 650
      Likes Received
      593
      Likes Given
      1562

      Default

      Quote By Kongosho
      pole, you will meet her someday!
      Hope so too..Mungu mkubwa Kongosho
      Kongosho likes this.

    23. #60
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,555
      Rep Power : 5613
      Likes Received
      6210
      Likes Given
      2281

      Default Re: Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

      na hapo ndipo ulipokosea, unless kama wewe ndo ulimwalika.....
      1st - 5th date shurti mwanaume ulipe, na hapo mie nakusoma hata the way anavyotreat wahudumu, unajua huyu yukoje.....

      Quote By Zeddy Zeddy
      I paid on our first date na boyfriend wangu, from then kila tunapoenda ananiachia nilipe,daladala,bajaji ananiangalia usoni nilipe,..hadi samtaim nasingzia kuumwa ili tusitoke...NIMEKOMA..
      pole yako mwayego...

      Quote By jeneneke
      "Kama mjuavyo mtoko ni gharama na gharama hizi mara nyingi huzibeba mwanaume,"

      Aisee uu uzi umenitia machungu nikikumbuka tulitaka kugongwa na gari 2009 kisa mabishano ya pesa ya kwenda kula mahali,yani jamaa alikuwa anapesa lakini yake haitumiwi na ikafikia tukitaka kutoka naanza kumwambia awe a pesa yake aah sitaki hata kuendelea nikimfikiria. Tena he is back after 3 years yani huu uzi umenifanya niendelee kumchukia.
      ....mmmmmh Preta umenikumbisha mbali, kuna kidume kilinitokeaga enzi hizooooooo tena sio kunitokea bali kilinikuta naenda bar ya amani kula mishkaki (njiro, enzi zileeeeeeeeeee), akaamua kunijoin, nikafika pale akajishaua nilipe hela yake haijatoka ikitoka keshokutwa (ambayo ingekuwa jumamosi) atalipa, baada ya maongezi na kunitongoza juu.... na rafikie akamuita kula?(pumbav mishkaki nilipe mie nyau kabisa...)

      sasa ilipofika jumamosi nilimuona kwa mbaali akapunga mkono na kuingia mitini, hamad jumapili nikawa naenda macdonad kula nikakutana nae njiani, akaamua kunijo
      in, nikamruhusu vizuuuuri, nikafika nikaagiza, then nikamuita mhudumu nikamwambia nipe bili yangu chips kuku zangu na juisi tu huyu kaka atajilipia mwenyewe...(halafu alikuwa ameagiza na take away za kuwapelekea madogo zangu home) jamaa alimind mpaka kesho........

      toka hapo ikanipa funzo, mambo ya kulipia videti sitaki mie, kideti nilipie, kunitongoza unitongoze ebooooh....ila kwa sasa ninalipa (sometimes) maana nikitoka natoka na mume wangu....... hata nikilipa ina thamani....

      Quote By Preta
      sijali kulipa......lakini be aware.....ni date ya ngapi......la sivyo.....your days are numbered.....
      Mtambuzi and Preta like this.
      "Behind every great fortune there is a crime."
      - Honore de Balzac (1799-1850)

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...