Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Huyu kaka ana jinsia gani?

    Report Post
    Page 12 of 12 FirstFirst ... 2101112
    Results 221 to 226 of 226
    1. #1
      MadameX's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th December 2009
      Location : Timbaktu
      Posts : 6,338
      Rep Power : 6595
      Likes Received
      2775
      Likes Given
      1322

      Default Huyu kaka ana jinsia gani?

      Habari zenu wakuu, nina mtu wangu wa karibu hali yake inanipa utata. Yeye yuko late 30's amelelewa kilokole na pia hivyo nyumbani kulikuwa na maadili mazuri yaani it was very strict family, mambo ya ujana kwao yalikuwa hayana sehemu, kwahiyo mambo ya watoto wa mjini kwake yalikuwa hakuna.


      Sasa yeye ni mtu mzima, mamake na nduguze wamepiga dau la kuoa wamechoka maana kihali na mali inamruhusu (anaishi peke yake). Kitu cha kushangaza huyu mtu hajawahi kuwa wala kuonekana na GF kama kawaida ya wanaume. Hana hata mtoto wa kusingiziwa, yaani urafiki na wanawake hana hata ule wa platonic hakuna zaidi ya sisi jamaa zake. Nimejaribu kumconnect na sister fulani hivi poa, kwa kuhisi labda atakuwa domo zege nalo halikufaa maana ni muda wako pamoja lakini mazungumzo hayaendi next level.

      Kuwa ni mlokole si mlokole...jamani kuna jinsia gani zaidi kwa mwanaume kama mtu si gay or straight kuna 3rd option?
      Ndahani and kapistrano like this.
      Blessed are hearts that bend but shall never broken


    2. #221
      Tata's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd December 2009
      Posts : 2,375
      Rep Power : 960
      Likes Received
      522
      Likes Given
      333

      Default Re: Huyu kaka anajinsia gani?

      Quote By MadameX View Post
      Hupendi kuchangia kwenye issue hizi, kakoje ukalale....
      MadameX hakukuwa na haja ya kumkashfu Yutong. Ungemsaidia tu kumjulisha kuwa hili siyo jukwaa la siasa ambapo yumkini mada za umaskini wa wadanganyika zinatendewa haki.
      MadameX likes this.

    3. #222
      Wachovu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th June 2012
      Posts : 245
      Rep Power : 1121
      Likes Received
      55
      Likes Given
      0

      Default Re: Huyu kaka anajinsia gani?

      Quote By Fixed Point View Post
      si unajua tena walimwengu tunapenda kuingilia mambo siyo yetu? tulidhani tunaokoa jahazi kumbe......................
      Lazima tuingilie mambo ya watu nasema ni lazima , maana tunaishi kwa kuingiliana sisi sio visiwa kuamua kukaa kivyetu vyetu . Sasa kama huyu mukaka kaamua kuwa hivyo sasa madada zetu nani ATAWA-DO ? Makaka mmeubiwa kuwadu madada

    4. #223
      yutong's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2011
      Posts : 1,364
      Rep Power : 690
      Likes Received
      244
      Likes Given
      99

      Default Re: Huyu kaka anajinsia gani?

      Quote By madamex View Post
      hupendi kuchangia kwenye issue hizi, kakoje ukalale....
      macho juu juu kuchunguza ya watu wakati ya kwenu yanawashinda, tena ukute wewe unayezungumza haya pengine na wewe nawe hujaolewa na kama umeolewa basi ni zile zile ndoa ali mradi na mimi nionekane nimeolewa. Tatizo akina dada wengi huwa hawapendi kupingwa kwa maana wamezoea kusifiwa hata kwa ujinga. Amen
      Sign of Victory - R. Kelly

    5. #224
      MadameX's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th December 2009
      Location : Timbaktu
      Posts : 6,338
      Rep Power : 6595
      Likes Received
      2775
      Likes Given
      1322

      Default Re: Huyu kaka ana jinsia gani?

      yutong, before getting too personal, ungejifunza jinsi ya kukosoa watu, kuna ile inaitwa constructive critisism kama hauna sifa hiyo, don't point fingers.

      Naomba tu yaishe hapa kwa amani...
      Blessed are hearts that bend but shall never broken

    6. #225
      Eiyer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2011
      Posts : 8,963
      Rep Power : 6904
      Likes Received
      2747
      Likes Given
      36

      Default Re: Huyu kaka ana jinsia gani?

      Sijui hata niseme nini,ila tuna tatizo la kuishi kimazoea sana.Yaani mazoea ndo yanatuongoza kila uchao!!


    7. #226
      realness's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th February 2012
      Location : Morogoro
      Posts : 233
      Rep Power : 415
      Likes Received
      25
      Likes Given
      7

      Default Re: Huyu kaka ana jinsia gani?

      dah! Huyo ni shoga tu. Jarbu kumtokea. Akikubali usimnanii ila mshauri. Kwa mwanaume rijal hawez kuwa namna hyo mi nikikaa wiki tu bila kula kero. Ye miaka thirty. Hayuko sawa

    Page 12 of 12 FirstFirst ... 2101112

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...