Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?
daaah ...mkeo yupo around?
huyo housegirl ni pepo huyo...mfukuze nyumbani kwako ...atakuachia balaa hutokaa usahau...mfukuze haraka
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
Mmmh nahis bado hujakuwa na nia ya kuachana nae. Kitu cha kwanza mpe termination next step kata mawasiliano nae.
Blessed are hearts that bend but shall never broken
una mke?
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
Uswauri wangu kwako piga ndoa nae sbb umekiri ume fall in love so usiutese mwili na unajua dini zte na kabila pia zinaruhusu mke zaidi ya 1 ila uchache wa kivielewa vizuri vitabu vya Mungu ndio watu wanatishana kwa lengo la kuipa zinaa nguvu sbb ww ushaoa wake 3 mm na mwingine tunao labda 2 makahaba watakwama na tukienda ktk night club wadada watachunda sbb kila men anao kibao wa halali hme
endelea hadi mama mwenye nyumba akukamteni akutimulie mbali ndio utaelewa kuwa mshahara wa dhambi ni mauti
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii i umeoa?? naweza data, nikisikia haya makitu kwa hubby! Holly Mary of GUADALUPE, pray for all wives in their matrimonial marriages! TUFIAKWA!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Kul tunda mkuu jivinjari,mtu umlipe mshahara mwenyewe halafu aliwe na waendesha boda boda au walinzi,kula tunda mi mwenyewe kuna kahouse girly kapya wife kakaleta kananivutia lazima nitakachinja soon
“SKILFULL AND CONFIDENCE IS UNCONQUERED ARMY”
Umeoa??kama hujaoa go ahead!
Actually ana miaka 20 na kupima ilikuwa ku-ensure usalama wetu. kuhusu kubaka si tunaelewana wajameni
Kwanza wanawake tunaooa these days kiburi sana penzi anakupangia ratiba mara denja mara mwezini,hao mabeki tatu ndio wenyewe mshahara umlipe halafu aliwe na madere wa boda2 no kula tunda mwana jiachie tena saomtime pangeni mtoko mpeleke hotel za ufukweni na yeye akaione dunia
“SKILFULL AND CONFIDENCE IS UNCONQUERED ARMY”
Inabd uamue haraka iwezekanavyo. Moja, itakuwa ngumu wewe kuachana naye kabisa kama bado anaendelea kufanya kazi kwako. Pili, kama roho yako imefikia hatua ambayo maisha yako hayendi bila ya huyo hg, inabidi uweke tu mambo hadharani- awe mkeo halali. Tatu, unaweza ama ukampangia room sehemu, kisha ukaendelea kufaidi wakati unajipanga kuhalalisha. Au mtafutie kazi mahali ambapo utakuwa na uhakika wa kuendelea kumpata.
Follow Us Here