Enzi hizo ilikuwa raha kweli......................... .
Enzi hizo ilikuwa raha kweli......................... .
A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"
nimekumiss sana pacha wangu Dena Amsi.....
Kimbembe kilikuwa pale jamaa mmoja akamwandikia barua kama hiyo msichana wa darasani kwake. Yule binti katoka nayo mbio mpaka kwa mwl wa darasa kushitaki. Ilikuwa ni delicate mission kweli enz hizo.
Nilijua tu kwamba ukiadimika utaibuka na kitu cha ukweli DA.
free at last
Mzima wewe Dena Amsi?
Wale tuliopita enzi hizo tulifaidi sana na kupita shule za ukweli kwa kila idara!!
Naamini tunazohadithi za kuwasimulia wajukuu hadi wachoke..!!
Wenu awapendaye kwa sana......,
Babu DC!!
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
Godilavuu amelaviwaaaaaa
Pole sana Dena Amsi!!
Huyo mgeni wako toka Southern Sudan hajambo? Gari analimudu?
Umenikumbusha mbali dada yangu....Kuna dada mmoja alinichokoza kwa kunitumia barua ya utani utani wakati nasoma darasa la 6 na yeye yuko la 4. Nilipojaribu kuongea naye kiutu uzima, akasema kuwa ngoja kwanza akamsimulie mama yake halafu atanipa jibu kesho yake....Kwa akili ya kitoto nilisubiri jibu hadi nikamaliza darasa la 7!!
Babu DC!!
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
sasa ivi dem unaonana nae kituo cha daladala saa mbili asubuhi...mnapeana namba za simu...hapo hapo anakutext akiomba jina lako kule facebook...anakuadd as a friend...than unaaccept..saa sita mchana anakupigia simu ''uko wapi'' bila aibu anakuja tu...unamzamisha mjengoni...saa saba na nusu ivi mchana umeshamlala siku mingi yani...alaf in next 30mins anaanza kukuita ''dear''...
apo imagine hata zile normal working hours za mfanya kazi wa serikali hazijaisha....!
dem kama huyo siwezi hata kufikiria kuishi nae...
....na nusu!
'!....Ahadi za Kiongozi wako Zinatekelezekaa?..SASA NI WAKATI WA UWAJIBIKAJI....!'
hahahahahahahahahaha ukiipata hii kipindi hicho daaaah lazima uende nayo mtoni kuwaonyesha washirika
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
Hilo la jambo la kuwekwa kwenye kamati lilikuwa ninanikera sana.....
Kuna dada tulisoma pamoja Primary na alipoenda secondary tukawa tunawasiliana.....Ila siku moja alikuja na kituko eti marafiki zake wamekataa asiwe anaandikiana na mimi barua kwa sababu siyo wapenzi!!
Na mimi nikamuuliza kuwa, hao marafiki zako walitaka tuwe wapenzi??
Babu DC!!
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
Follow Us Here