Naombe ushauri wanaJF nina gf wangu wa mda mrefu kidogo, toka nimeanza kuwa nae sijawahi kusikia hichi kitu.
Nilimpigia simu siku tatu mfululizo hazipokelewi, ikanibidi na mimi nikae kimya, siku mbili baadae akanitext eti nimemsusa, nikaamua kumpigia sim baada ya kumuuliza kwanini hakupokea sim zangu akanijibu alikuwa hajisikii kupokea, eti kwasababu alikuwa period ki ukweli niliishiwa pozi, naombeni mawazo yenu juu ya hili nifanyeje?

Reply With Quote



Follow Us Here