Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ushauri Tafadhari!

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 30 of 30
    1. #1
      oonatha's Avatar
      Member Array
      Join Date : 17th July 2012
      Posts : 22
      Rep Power : 349
      Likes Received
      8
      Likes Given
      0

      Default Ushauri Tafadhari!

      Habari wana jf,
      Mimi nina umri wa miaka 25, tatizo langu ni kuwa nilikuwa na uhusiano na Kijana mmoja hivi na yeye ni member humu jf, tulikutana tukiwa chuo na tumedumu katika uhusiano huo kwa takribani mwaka mmoja na miezi kumi hivi, nakumbuka alianza kunifuatilia tangu nikiwa first year na mimi nilikuwa mgumu mno kumkubalia coz nilikuwa nikiamini kuwa vijana wa chuo wengi ni waongo na nilikuja kumkubalia wakati wa likizo ya kuingia third year baada ya dada yangu kunishauri kuwa huenda kijana huyo ana nia ya dhati kwangu. Tangu hapo tuliendelea na uhusiano huo mpaka mwaka huu mwezi june nilipomtumia sms huyo mpenzi wangu kumuuliza maswali yafuatayo;

      Naomba unijibu kwa ufasaha kutoka moyoni mwako

      1. Je uko tayari na umeridhika kuwa nami kama mkeo Mtarajiwa?
      2. Unanipenda kweli?
      3. Uko tayari kunioa?
      4. Haunidanganyi?
      5. Umenipenda jinsi nilivyo pamoja na udhaifu nilio nao? Please naomba majibu

      Nadhani hii sms sio mpya kwenu kwani niliiona kwenye hili jukwaa huyo mwenzangu akiomba ushauri, sikuandika hivyo tu bali nilimsihi anijibu na asikasirike pindi atakapo ipata hiyo sms coz nilihisi anaweza kukasirika coz ni tabia yake.
      Hakujibu hiyo sms, nikadhani labda mwenzangu hana vocha nikamtumia salio kidogo coz wote tumegraduate na still hatuna kazi, Still sms haikujibiwa, nikampigia kumuuliza why mbona hajajibu sms yangu, akasema sio kila kitu lazima kijibiwe. Nilipoendelea kumsisitiza anijibu sms yangu akajibu majibu yote hapana, halafu akaniambia nisimpigie simu tena na kila nilipompigia simu hakupikea. Tulipofikia ni kwamba mahusiano yamevunjika. Kaamua kuniacha na mpaka sasa sijui kosa langu ni nini coz mimi hainiingii akilini kuwa only hiyo sms itugombanishe????????????
      USHAURI NINAOOMBA KWENU ni kuwa ninajitahidi sana nimsahau lakini nashindwa, nimefuta no. zake zote lakini still ziko kichwani mwangu sijui nifanyeje, naombeni ushauri utakaoniwezesha nimsahau sababu nahisi simuhitaji tena maana alichonifanyia nahisi ni kitendo cha kibaya sana
      N.B
      Katika uhusiano huo sikuwahi hata siku moja kudemand pesa kutoka kwake na vitu vingine na sijui kwnn ameamua kuniadhibu kiasi hiki.
      Samahani kwa maelezo marefu, nawasilisha. USHAURI PLZZZZZZZZZZZZZZ

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,968
      Rep Power : 8266
      Likes Received
      2671
      Likes Given
      3650

      Default Re: Ushauri Tafadhari!

      Quote By gfsonwin
      hivi rutta na purple hamwezi kuniletea tena ile link ya ule uzi hpa? Sikiliza dada huyu man ako hajiamin na ni katika wanaume ambao hawana msiamao wa maisha hata kama mlisha vunja amri ya sita usiumie kichwa hata kidogo. Yaani ampenzi kukuach mkiwa bf/gf ni nzuri sana mnake the best divorce is that before marriage.

      Chukua time yako najua ataupitia huu uzi na atakuwa anajilaumu sana kwa madongo anayoyapata humu. Ni mshenzi na hafai kabisa kuwa mwanaume na asiwatie aibu wanaume wazuri wa huku jf. Huku wanaume wana akili njema siyo akili za ki fb.
      kama mimi eeh
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    4. #22
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,968
      Rep Power : 8266
      Likes Received
      2671
      Likes Given
      3650

      Default Re: Ushauri Tafadhari!

      Quote By gfsonwin
      hivi rutta na Purple hamwezi kuniletea tena ile link ya ule uzi hpa? sikiliza dada huyu man ako hajiamin na ni katika wanaume ambao hawana msiamao wa maisha hata kama mlisha vunja amri ya sita usiumie kichwa hata kidogo. yaani ampenzi kukuach mkiwa bf/gf ni nzuri sana mnake the best divorce is that before marriage.

      Chukua time yako najua ataupitia huu uzi na atakuwa anajilaumu sana kwa madongo anayoyapata humu. ni mshenzi na hafai kabisa kuwa mwanaume na asiwatie aibu wanaume wazuri wa huku jf. huku wanaume wana akili njema siyo akili za ki fb.
      http://www.jamiiforums.com/mahusiano...yonitumia.html............Haya mama ushauri soma mwenyewe
      gfsonwin likes this.
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    5. #23
      hendeboy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th November 2010
      Posts : 150
      Rep Power : 463
      Likes Received
      12
      Likes Given
      5

      Default Re: Ushauri Tafadhari!

      kama vp achana naye mimi mwenyewe niko single send me your no tuanze mawasiliano coz hii itakusadia kumsahau haraka sana

    6. #24
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,169
      Rep Power : 28898
      Likes Received
      11645
      Likes Given
      4812

      Default Re: Ushauri Tafadhari!

      Pole sana.
      mpe nafasi kiasi Kama wiki kadhaa, then muulize ni kwa nini ameamua kukatisha mawasiliano na wewe. Ila muulize kwa simu, asipopokea umtumie ujumbe. Akileta pozi mnyamazie.
      time heals all the wounds. Jiweke busy kusaka kazi, seat tight manake atarudi iwe zamu yako kuweka mapozi. Kila la kheri
      I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou


    7. #25
      ELFU-ONEIR's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 27th June 2012
      Posts : 183
      Rep Power : 458
      Likes Received
      63
      Likes Given
      41

      Default Re: Ushauri Tafadhari!

      Kusahau ni ngumu bt take yo-tym kujichanganya na watu then jitahidi ku-socialize. Bt usirukie mahusiano kisa eti unataka nafasi ya kumsahau jamaa. Lazima ukubali kua imetokea then u have to forge ahead
      “The human brain is a wonderful thing. It starts working the moment you are born, and never stops until you stand up to speak in public.”

    8. Miaka 50

    9. #26
      Evarm's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2010
      Location : totoroni
      Posts : 1,012
      Rep Power : 736
      Likes Received
      270
      Likes Given
      26

      Default Re: Ushauri Tafadhari!

      Pole sana kwa haya yote, hilo halikuwa kosa kubwa hadi kuachana ila ukweli atakuwa amepata mwingine.
      Fuata haya yafuatayo yataj=kusaidia.
      1. Usimtafute wala kumpigia simu, kuwa busy na ishu zako za maendeleo kwani Mungu atakupa wako atakayekupenda na kukujali.
      2. Usiwe mpweke/ mwenyewe muda mrefu, jichanganye na rafikizo kupiga stori n.k hii itakusaidia kumsahau haraka.
      3. Mwombe MUNGU akupe wako, huyo hakuwa wako ndio maana amekufanyia hivyo.
      4. Usilazimishe kurudiana naye sababu unampenda, utakuja kuumia zaidi ya hapa utakuja juta zaidi na muda huo itakuwa too late.


      Simplicity is the ultimate sophistication

    10. #27
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,968
      Rep Power : 8266
      Likes Received
      2671
      Likes Given
      3650

      Default Re: Ushauri Tafadhari!

      Quote By Evarm
      Pole sana kwa haya yote, hilo halikuwa kosa kubwa hadi kuachana ila ukweli atakuwa amepata mwingine.
      Fuata haya yafuatayo yataj=kusaidia.
      1. Usimtafute wala kumpigia simu, kuwa busy na ishu zako za maendeleo kwani Mungu atakupa wako atakayekupenda na kukujali.
      2. Usiwe mpweke/ mwenyewe muda mrefu, jichanganye na rafikizo kupiga stori n.k hii itakusaidia kumsahau haraka.
      3. Mwombe MUNGU akupe wako, huyo hakuwa wako ndio maana amekufanyia hivyo.
      4. Usilazimishe kurudiana naye sababu unampenda, utakuja kuumia zaidi ya hapa utakuja juta zaidi na muda huo itakuwa too late.


      Huu ushauri woote mnaompa mwenzake yupo hapa jamvini anauona......Ni kama kumpa adui yako taarifa za silaha ulizonazo!!!!!!!!!!!!!!
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    11. #28
      Evarm's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2010
      Location : totoroni
      Posts : 1,012
      Rep Power : 736
      Likes Received
      270
      Likes Given
      26

      Default Re: Ushauri Tafadhari!

      Quote By platozoom
      Huu ushauri woote mnaompa mwenzake yupo hapa jamvini anauona......Ni kama kumpa adui yako taarifa za silaha ulizonazo!!!!!!!!!!!!!!
      Nafahamu ya kuwa yupo na anaona kwani niliisoma post ya huyo Buchana..... Mwache tu ajisomee, mbona naye alivyoomba ushauri demu wake kaona alivyojibiwa??

      platozoom likes this.
      Simplicity is the ultimate sophistication

    12. #29
      kalou's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd August 2009
      Location : Mjini Kati
      Posts : 857
      Rep Power : 667
      Likes Received
      193
      Likes Given
      112

      Default Re: Ushauri Tafadhari!

      Km ulishampa kipochi utamu ujue ndo jibu hilo

    13. #30
      Maprosoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2010
      Location : Sinza/Dar es salaam
      Posts : 2,380
      Rep Power : 1009
      Likes Received
      263
      Likes Given
      57

      Default

      Quote By mzabzab
      okay...huyo jamaa alishaonja K yako?
      Haka kaswali mbona hakajibiwi?

      Quote By wa home
      Mmeshafanya matusi na ex wako?

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...