Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: "Sintosahau Maishani"...!!

    Report Post
    Page 3 of 7 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 123
    1. #1
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,953
      Rep Power : 1435
      Likes Received
      1516
      Likes Given
      1621

      Default "Sintosahau Maishani"...!!

      Nikiwa Chuoni mwaka wa pili, semester ya kwanza a.k.a semester ya 3, ilitokea classmate wangu wa kike alikuwa anafunga ndoa. Na mie kwakuwa nilikuwa foreigner nikawa wa kwanza kupata mwaliko kwenye ile ndoa. Nakumbuka tulikuwa kwenye free time tumerelax kichit-chat zaidi, kwa pembeni nimekaa na dada mmoja mrembo zaidi from A-Town, na alikuwa kivutio kwa kila anayemwangalia machoni, na alikuwa ni gumzo sana kwa wale wenye nchi yao (coz we were foreigners there)...

      Nakumbuka hapo ndipo nilipoletewa mwaliko wa hiyo ndoa. Yule sista pale pembeni akawa anasikia ninavyopewa huo mwaliko na yule classmate!! Basi badae akaniambia nayeye angependa kufuataa na mimi kwenye ile ndoa. Na ile ndoa ilifanyikia mji mwingine umbali wa masaa 10 kwa treni ya umeme toka huo mji nilipo....

      Kumbuka huyu mdada hakuwa na BF then, na hapo mwanaume nikajiona bahati iliyoje kwenda faragha na huyu dada huko kwenye ndoa, tukajipanga vilivyo na after 3 day tukaanza safari ya huko, bila washkaji kujua...

      Nakumbuka ilikuwa majira ya saa 11 jioni tukiwa tunaingia mji mpya ambapo kwa siku 2 mbele ndipo kutakuwa na sherehe ya harusi...tukachukua tax tukaanza kutafuta hotel kwa ajili ya kujistiri(tulishapanda tukae hotelini kwa siku zote mpaka harusi ipite)...

      Kwa haraka haraka tulienda hotel kama 3 hivi tukaambiwa zimejaa!! Hizi zilikuwa ni 3-star hotel. Tukajishusha tukaendelea kutafuta sehemu nyingine, lakini bila mafanikio, kwani baadhi ya hotel tulizopata wakihitaji passport na sie hatuzichukua kwahiyo ikawa ni inshu kulala kwenye hizo hotel, sanasana ni kutokana na matukio ya kigaidi na vitu kama vile...just rules!!

      Ikawa imefika saa 3 usiku hatujapata sehemu ya kulala bado. Basi kwa bahati nzuri tukafika kwenye hostel flani kama zinavyojulikana wakatuambia rooms zipo wakatuuliza passport hakutkuwa nazo, sema mie nilikuwa na ID ya chuo ila nikiruhusiwa ila yule dada hakuwa na kitu chochote, hata copy ya ID hakuchukuwa ikawa ngumu kweli kupata room..ila yule jamaa akaturuhusu tulale pale coz ilkuwa tayari usiku!!

      Taabu sasa ilianzia hapo!! Kumbuka huyu dada sikumtongoza lakini alionyesha feelings za kunipenda(na-declare interest hapa). Tukazama room tumepumzika story nyingi nk. Muda wa kuoga ulivyofika yule binti kaivalia khanga moko...ndembe-ndembe!! na mwanaume sikuona kingi kwa takribani mwaka nzima!! Kanipita kaenda kuoga, mi moyo unanienda mbio vibaya.

      Baadae alivyotoka khanga imelowa vibaya, nikapiga moyo konde nikaenda kuoga na mie. Sasa ikawa naisoma akili yake, nikajipa moyo kwamba huyu dem SIMTONGOZI, kwani nikitongoza itakuwa nimeharibu mno, coz tutalala litanda kimoja then mi kwangu haitakuwa kazi...ni kuvuta ungo tu na kuweka pepeta!!

      basi nilivyotoka kuoga tukaingia kitandani kulala....LOL, binti yule kweli kaumbika ma mie moyo wangu unaeenda kasi vibaya mno!!...nakumbuka usiku nzima ulipita sikumgusa yule dada na wala hata mie sikulala, nikajipa moyo kwamba usiku ujao wa kesho yake hapo lazima nimletee ununda tu huyu binti, I mean lazima kieleweke!!

      Basi ile asubuhi tumeamka vizuri,tumejiandaa freshi kwenda kunywa chai,ghafla tunasikia mlango unagongwa, kufungua tunakutana na muhudumu anatuambia tunaitwa na bosi receiption, tukashuka ngazi tukaenda. Yule bosi akatumabia hatupati tena admission mpaka tupeleke copy za passport, kama hatuna tuondoke...Dah....tukawa hatuna jinsi, tukaenda kuchukua virago vyetu tukaondoka.

      Sasa kwa jana tulitafuta sana room tukakosa..tukawa hatuna tena hamu ya kutafuta hotel, option iliyokuwepo ni kwenda kwa rafiki zetu wa kikenya walikuwa wanakaa nje kidogo ya mji. tukawasiliana nao kweli tukaenda.
      Usiku ulipofika mie nikapangwa nilale kwa mshkaji flani hivi na yule demu alale kwingine. Hili ndilo kosa nililolfanya mpaka nimeandika hii story hapa.

      Yule demu alilala na mshkaji flani mkenya ambaye wakati tupo mwaka wa kwanza alishawahi kumtongoza. Dah...hali ilikuwa mbaya sana usiku ule, sikulala tena ule usiku, nilikuwa frustrated sana!! Nakumbuka nilijipa .... kama 3 hivi that night...na nakumbuka kama ningekuwa na kisu ningewaua hawa wote kwa kitu walichonifanyia...(Mungu aliepusha hii).

      Ile asubuhi nikaenda hadi room ya mshkaji(mkenya) nikawakuta amemuandalia chai,mayai mazito na mapokopoko mengine...iliniuma sana!! Kiufupi Jamaa alikuwa tayari ashamega mzigo( 100% sure). Na hata kwenye ile Ndoa sikwenda tena!!
      Hali hii ilinipelekea semester ya 3 kusup sana masomo yangu(supplimentary). I was totally confused na nilifanya bifu kubwa sana na yule dada na karibu chuo kizima walikuja kujua hii kitu...dah hii siwezi kuisahau kabisa kwenye maisha yangu....

      lakini Mungu mkubwa, hai ilirudi ikwa sawa, na nikasema siwezi tena kuweka bifu na mwanamke yeyote, its waste of time by the way...!!

      Je wewe ni story gani ambayo huwezi kuisahau maisha yako....ningependa ziwe stori za namna hii, zisiwe za misiba na vifo.

      My Regard!!




      BAK, Mrembo, maishapopote and 10 others like this.
      GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!

    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,953
      Rep Power : 1435
      Likes Received
      1516
      Likes Given
      1621

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By Mr Rocky
      The Boss kweli hapa unaua
      Watoto wa uswazi ni kila kitu aise
      hawa watoto wa my daddy sijui hawa wanasubiri watengewe kila kitu ndo waone
      Ila sidhani Sizinga katokea kwenye hizo mambo za my daddy
      Aggh sijui nsemeje...lakini sio kivile bana!! mambo ya my dady mi siyajui bana!!
      Mr Rocky likes this.
      GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!

    4. #42
      SnowBall's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th September 2011
      Location : Amsterdam, Nertherlands
      Posts : 2,628
      Rep Power : 24025
      Likes Received
      2399
      Likes Given
      3298

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By King'asti
      I guess these are boys stuff that I will never understand. Bear with me, I was born clever nikaruka foolish age. I don't regret it!
      Sasa The Boss, in a maana jamaa angepewa day one, afu mkenya akapewa day two (I hope u don't presume mdada angegoma kulazwa kwa mkenya), in a maana sizing angekuwa mjanja kwa kufungua njia
      Nadhani kilichomuumiza Sizinga ni hatua ya yule lady kuchengwa na mkenya while the prior night she resisted kwa mshkaji...of course Sizinga's premise was..kwa sababu kama ameweza kujizuia kwake.. alishindwaje kujizuia with Mkenya..yes, kama Sizinga angeanza, ile issue ya mkenya ingekufa automatically..coz the lady would be owned by sizinga!!
      Sizinga and The Boss like this.
      ..''I wasted time, and now those time waste me''...Shakespear

    5. #43
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,245
      Rep Power : 28915
      Likes Received
      11722
      Likes Given
      4819

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By The Boss
      angepewa day one
      angekuwa na nguvu ya ku demand alale nae room moja day two
      au hata ingetokea hiyo
      asing feel 'kuzidiwa ujanja' na wakenya...
      asinge rudia class pia lol
      na wala isingebaki kichwani till leo
      Haya boss wa uswazi. Ukinionea le mutuz umuambie anione kuna mahali nataka kumuagiza kazi za mabeibzzzz wa ukweee
      The Boss likes this.
      I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou


    6. #44
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,245
      Rep Power : 28915
      Likes Received
      11722
      Likes Given
      4819

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By SnowBall
      Nadhani kilichomuumiza Sizinga ni hatua ya yule lady kuchengwa na mkenya while the prior night she resisted kwa mshkaji...of course Sizinga's premise was..kwa sababu kama ameweza kujizuia kwake.. alishindwaje kujizuia with Mkenya..yes, kama Sizinga angeanza, ile issue ya mkenya ingekufa automatically..coz the lady would be owned by sizinga!!
      So u sleep with a lady for a night and then u own her?
      Really?
      I guess mie ni wa 'my daddy' as you guys put it.
      Ngoja nil ale nikue mie
      Sizinga and The Boss like this.
      I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou


    7. #45
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,953
      Rep Power : 1435
      Likes Received
      1516
      Likes Given
      1621

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By The Boss
      angepewa day one
      angekuwa na nguvu ya ku demand alale nae room moja day two
      au hata ingetokea hiyo
      asing feel 'kuzidiwa ujanja' na wakenya...
      asinge rudia class pia lol
      na wala isingebaki kichwani till leo
      This is 2nd point you hit...nilingewin ile day 1, day 2 ingekuwa rahisi kucommand nipatiwe chumba kimoja na yeye....halafu hata that time ilinibidi ni-accept maamuzi yao coz wao wakenya ndio walikuwa wenyeji wetu, sikuweza kupinga eti tuale wote manake hata yule demu angenishangaa!!
      The Boss likes this.
      GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!

    8. Miaka 50

    9. #46
      Mgombezi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2009
      Posts : 628
      Rep Power : 643
      Likes Received
      130
      Likes Given
      139

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Kule Zanzibar kuna usemi hutumika sana na nilikuwa naupenda kwani ulinipa fundisho; "WASIWASI NDIO MARADHI YAKO", hakuna jambo baya kama kufikiri tofauti au kujiwekea tafsiri. Kwa kuwa usiku ulilala ukiwa na mawazo kwamba jamaa anakula mzigo na ukatengeneza hiyo picha, ndiyo maana ulipowaona tu asubuhi ilikupa picha uliyotengeneza, lakini kuna uwezekano mkumbwa jamaa hakula mzigo kwa siku hiyo, bali baada ya wewe kutengeneza bifu kulikuwa na uwezekano mkumbwa huyo demu kumpa jamaa.
      Sizinga likes this.
      Ebenezer

    10. #47
      Ninaweza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2010
      Location : bukonda moyo
      Posts : 2,168
      Rep Power : 870
      Likes Received
      316
      Likes Given
      719

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Mkuu viatu vyako vingenibana

    11. #48
      SnowBall's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th September 2011
      Location : Amsterdam, Nertherlands
      Posts : 2,628
      Rep Power : 24025
      Likes Received
      2399
      Likes Given
      3298

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By King'asti
      So u sleep with a lady for a night and then u own her?
      Really?
      I guess mie ni wa 'my daddy' as you guys put it.
      Ngoja nil ale nikue mie
      Hivi katika akili ya kawaida kama yule demu angekuwa kachapwa nao na Sizinga at the first place ..do you expect the next day angeomba hifadhi kwa other people???..be realistic please!!!
      Sizinga and The Boss like this.
      ..''I wasted time, and now those time waste me''...Shakespear

    12. #49
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,953
      Rep Power : 1435
      Likes Received
      1516
      Likes Given
      1621

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By Mgombezi
      Kule Zanzibar kuna usemi hutumika sana na nilikuwa naupenda kwani ulinipa fundisho; "WASIWASI NDIO MARADHI YAKO", hakuna jambo baya kama kufikiri tofauti au kujiwekea tafsiri. Kwa kuwa usiku ulilala ukiwa na mawazo kwamba jamaa anakula mzigo na ukatengeneza hiyo picha, ndiyo maana ulipowaona tu asubuhi ilikupa picha uliyotengeneza, lakini kuna uwezekano mkumbwa jamaa hakula mzigo kwa siku hiyo, bali baada ya wewe kutengeneza bifu kulikuwa na uwezekano mkumbwa huyo demu kumpa jamaa.
      Hapo ni kujipa matumaini tu....siri ipo kati yao...mie wa 3rd part kujua ni ngumu labda wenyewe waseme ukweli......na mpaka leo ile zana yangu walilala na kusex naipa priority kubwa...hiyo picha ndio ipo hadi naandika hii story!!
      WASIWASI NI MARADHI KWELI
      The Boss likes this.
      GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!

    13. #50
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,953
      Rep Power : 1435
      Likes Received
      1516
      Likes Given
      1621

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By King'asti
      So u sleep with a lady for a night and then u own her?
      Really?

      I guess mie ni wa 'my daddy' as you guys put it.
      Ngoja nil ale nikue mie
      kING'ASTI hapo kwenye red huoni kwamba unachemka??? kweli alale na mimi na siku inayofuata aende kwa mwingine ilhai mie niko palepale?? duh hiyo kai sasa!!
      The Boss and SnowBall like this.
      GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!

    14. #51
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,953
      Rep Power : 1435
      Likes Received
      1516
      Likes Given
      1621

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By Ninaweza
      Mkuu viatu vyako vingenibana
      Ungevivua tu...kikibana!
      GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!

    15. #52
      Catherine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2012
      Location : Dar
      Posts : 1,241
      Rep Power : 596
      Likes Received
      739
      Likes Given
      208

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Dada alikuwa laini huyo.. Yaani kesho yake tu kajilainisha kwa mwingine! Bora hata hukum 'do', si ajabu ungeondoka na siafu.
      Sizinga likes this.

    16. #53
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,056
      Rep Power : 14521
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5006

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      jamani mkipata nafasi kama hizo, muwe mnagonga asee! unaniangalia mi dadako??? ebo! pole @Sizinga
      Sizinga, The Boss and NyotaMalaika like this.
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    17. #54
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,953
      Rep Power : 1435
      Likes Received
      1516
      Likes Given
      1621

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By cacico
      jamani mkipata nafasi kama hizo, muwe mnagonga asee! unaniangalia mi dadako??? ebo! pole @Sizinga
      Uwwwwiiiiiii....haya nashukuru dada cacico!! Let it be
      cacico likes this.
      GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!

    18. #55
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,953
      Rep Power : 1435
      Likes Received
      1516
      Likes Given
      1621

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By Catherine
      Dada alikuwa laini huyo.. Yaani kesho yake tu kajilainisha kwa mwingine! Bora hata hukum 'do', si ajabu ungeondoka na siafu.
      Ndio maana nasema labda niliepushwa na smthng in it
      GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!

    19. #56
      Little Angel's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Posts : 587
      Rep Power : 509
      Likes Received
      193
      Likes Given
      141

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By Emma.
      Kama ni mm ningeweza kuvumilia kweli duh kali
      kwanini?

    20. #57
      manuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2009
      Posts : 712
      Rep Power : 656
      Likes Received
      263
      Likes Given
      185

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Sizinga ebu niambie huo usiku mlivyokuwa mmelala huyo binti hakuonyesha hata kutupia miguu juu yako,
      Ama wewe hukujaribu kutupia miguu juu yake aisee?
      TO BE HURT ITS YOUR OWN WILLING

    21. #58
      manuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2009
      Posts : 712
      Rep Power : 656
      Likes Received
      263
      Likes Given
      185

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By Catherine
      Dada alikuwa laini huyo.. Yaani kesho yake tu kajilainisha kwa mwingine! Bora hata hukum 'do', si ajabu ungeondoka na siafu.
      Si laini ila mkiwa kwenye 18 hamnaga ugumu coz kwanza alishapandishwa mashetani na Sizinga usiku uliopita so nahisi alikuwa kesha iva sana.
      TO BE HURT ITS YOUR OWN WILLING

    22. #59
      Sizinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2007
      Location : Mars
      Posts : 3,953
      Rep Power : 1435
      Likes Received
      1516
      Likes Given
      1621

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By manuu
      Sizinga ebu niambie huo usiku mlivyokuwa mmelala huyo binti hakuonyesha hata kutupia miguu juu yako,
      Ama wewe hukujaribu kutupia miguu juu yake aisee?
      Aiseeee!! Sikuwahi kufanya huo utundu...na mie akili yangu yote kwamba that night nisimfanye chochote bt next night hapo lazima kieleweke...si indio ikaja zengwe pale hotelini ile next day....

      Anyway unaweza kuniona the way nilivyokuwa that night bro....
      manuu likes this.
      GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!

    23. #60
      manuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2009
      Posts : 712
      Rep Power : 656
      Likes Received
      263
      Likes Given
      185

      Default Re: "Sintosahau Maishani"...!!

      Quote By Sizinga
      Aiseeee!! Sikuwahi kufanya huo utundu...na mie akili yangu yote kwamba that night nisimfanye chochote bt next night hapo lazima kieleweke...si indio ikaja zengwe pale hotelini ile next day....

      Anyway unaweza kuniona the way nilivyokuwa that night bro....
      Kweli biashara asubuhi jioni mahesabu.
      TO BE HURT ITS YOUR OWN WILLING

    Page 3 of 7 FirstFirst 12345 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...