Binti mmoja ambaye uwezo wake darasani ni wa kusuasua kajikuta kwenye mtego wa mkufunzi wake ambaye kamwambia bila ya "nipe nikupe" atahakikisha anarudia mtihani na kufeli........binti ajijua hana uwezo lakni karatasi analihitaji akaombee ugali mbele ya safari...ushauri wako anauhitaji.............
kwanza pitia makala hii kabla hujaenda mbali ujue na washauri wengineo wanasemaje..............
Help! My lecturer wants sex for a grade.
who said life is easier......look at her pondering whether to get laid by an unscrupulous professor.....


Reply With Quote








Follow Us Here