Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

    Report Post
    Page 9 of 10 FirstFirst ... 78910 LastLast
    Results 161 to 180 of 187
    1. #1
      Eiyer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2011
      Posts : 8,909
      Rep Power : 6889
      Likes Received
      2734
      Likes Given
      34

      Default Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Inawezekana labda natakiwa nikaishi sayari ya Mars.Hivi ni lazima ukiwa na mahusiano na mwanamke umhudumie kama mwanao(sizungumzii ndoa).Leo nimekasirikiwa na dada mmoja baada ya kunilalamikia kuwa rafiki yangu ni mbahili.Mi nikamwambia,sasa unataka akupe hela kwani wewe ni mwanae au mkewe?Yule dada alisonya akanyanyuka kitini na kuniangalia kwa shari kisha akaniambia,"kumbe na wewe ni wale wale",kisha akaondoka.Hivi kwani ni lazima upewe hela?Mtu una kazi,au uko kwa baba na mama yako halafu unataka hela!Za nini?Unaweza kusaidia lakini inapoonekana kuwa unaanzisha mahusiano na mwanamke shida zote anahamishia kwako huo ni ujinga.Tujuane inapotokea dharula sio ndo nakua dingi!!

    2. Miaka 50

    3. #161
      Eiyer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2011
      Posts : 8,909
      Rep Power : 6889
      Likes Received
      2734
      Likes Given
      34

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Kipipi,sijalikwepa swali lako ungenielewa ingekua poa zaidi.Sijakosea kusema ni ujinga kwa mwanamke aliye kwenye hali ya maisha niliyotaja!

    4. #162
      Eiyer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2011
      Posts : 8,909
      Rep Power : 6889
      Likes Received
      2734
      Likes Given
      34

      Default

      Quote By nyumba kubwa
      Labda kwa sababu future is not certain hivyo hakuna huruma...ni kuchuna tu...kwanza hata uhakika kama yuko peke yake hana...kinachobaki ni kukomoana tu. Lol.
      Kweli tupu kabisa . . . . . . . .

    5. #163
      Eiyer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2011
      Posts : 8,909
      Rep Power : 6889
      Likes Received
      2734
      Likes Given
      34

      Default

      Quote By Meritta
      sio kwamba ananinunua ila ka utaratibu kenu mmejiwekea wenyewe,
      Mwanaume gani amejiwekea utaratibu wa hovyo hivyo?
      Meritta likes this.

    6. #164
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,994
      Rep Power : 8272
      Likes Received
      2694
      Likes Given
      3668

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Quote By nyumba kubwa
      Labda kwa sababu future is not certain hivyo hakuna huruma...ni kuchuna tu...kwanza hata uhakika kama yuko peke yake hana...kinachobaki ni kukomoana tu. Lol.
      Na afadhali mmeyasema wenyewe leo....tunaumia mjue lakini mwanaume wa kiafrica utaanzaje kumwambia kichuna chako stop............Ni jukumu lake (kwa maana ya binti mwenye kichwa kinachofanya kazi) kwamba kwa hili hapana.

      Na ajabu zaidi wakati mwingine hata hajishughulishi kukuuliza B/F wangu vipi kazi/biashara zinaendaje na angalau ushauri wa hapa na pale.....

      Kuna wengine wanasema "si nyie ndio mmeweka utaratibu" alaah, siku zote si kinadada wanasema wako sawa na wanaume kwa nini kwa hili wasijiongeze! au mpaka mwanaume atoe mwongozo wa kustopisha!
      nyumba kubwa likes this.
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    7. #165
      Meritta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2011
      Posts : 1,265
      Rep Power : 666
      Likes Received
      267
      Likes Given
      475

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Quote By Eiyer
      Mwanaume gani amejiwekea utaratibu wa hovyo hivyo?
      si ndo vyie ndo kautaratibu kenu,et "ya vocha hii baby". teh teh
      "Ni UPENDO tu"

    8. RukaaJuu Final

    9. #166
      Kamanda Moshi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 500
      Rep Power : 460
      Likes Received
      207
      Likes Given
      52

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Quote By nyumba kubwa
      Girlfriend anayeomba omba ela hana sifa huyo...Hakuna mabinti ninao wa admire kama walio independent...Huwezi kufanikiwa kimaisha kama unajua kuna mjinga mjinga wa kunipa ela pindi ninapohitaji.

      Sikuwahi maishani kumuomba mwanaume ela..hata nilipokuwa nina shida kimbilio langu lilikuwa ni dada na kaka zangu. You know why...Nilikuwa najua nikimwomba kaka atakuwa free kunambia kama hana...nikimuomba boyfriend ela hata kama ni kweli nina shida itamuwia vigumu kunambia hana pindi akiwa hana...na itamfanya ajione mdogo.

      Hayo ndio mapenzi. Siku hizi tatizo kila mtu amekaa kimaslahi. Utasikia discourses za hajabu..ananitumia...ananichez ea...lazima nimchune...yule mjinga bwana ake hamnunulii hata chupi...Lol. hivi mtu unawezaje kuwaza kuchezewa na kutumiwa na umpendaye? Kwani anakubaka?
      jamani its true wadada wa mtindo huu wapo wengi sana. Nitoe mfano ambao mim binafsi ulinikuta...nilim-meet mdada mmoja yuko chuo mwaka wa pili, basi tukazoeana, mie nikamuintruducia kuwa nampenda na namtaka, kiukweli nilikuwa na Long plan na yeye, sikuwa na nia ya kumtumia na kumuacha. nikamwambia kabisa nia yangu na kama haitoshi nikamwambia plan zangu juu yake ni nin, sasa wakuu cha kuchosha na kufedhehesha, mtoto nilikuwa namtoa out za kufa mtu, then nam-drive back anapokaa bt simpi hela as for me i was looking for a wife materialy n not kicheche. wakuu imagine nimemtoa out kala anachotaka na kunywa anachotaka, namrudisha nikishamdroap nipo skan mara sms inaingia ooh nina shida plz naomba like 20,000/. ok nikasema si kitu nikamrushia kwa M-pesa, tumekaa siku mbili, ooh naomba hela ya saluni 30,000 ...mh nikampa, ok mara vocha sina plz naomba vocha nikamtumia ya buku 5, kumbuken hapo sijala wala hata kumkiss as nilikuwa na plan naye na i was looking tabia yake kwanza. ok siku moja si nikaomba japo kumkiss.....lol asiwaambie mtu, mtoto akaanza ooh kwanza mie nina boyfriend n nimekuelewa ombi lako but kama ulivosema now tunachunguzana kwanza kabla ya kuingia kwa commitment...oooh God have Mercy, kam una boyfriend n mim unanibania why kuniomba omba fedha, na hapo outing za nguvu umepata, why dont u go to that boyfriend of urs akupe hizo hela...?wakuu nilikata mguu mara moja na kuachana naye...sasa hawa ndo type ya kina dada wanaopenda kupewa hela tu...shame on them!!!
      nyumba kubwa likes this.

    10. #167
      cartura's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 13th August 2009
      Location : Bongo
      Posts : 3,053
      Rep Power : 2726
      Likes Received
      747
      Likes Given
      6

      Default

      Quote By kamanda moshi
      namrudisha nikishamdroap nipo skan mara sms inaingia ooh nina shida plz naomba like 20,000/. ok nikasema si kitu nikamrushia kwa M-pesa, tumekaa siku mbili, ooh naomba hela ya saluni 30,000 ...mh nikampa, ok mara vocha sina plz naomba vocha nikamtumia ya buku 5, kumbuken hapo sijala wala hata kumkiss
      dah, nimekuwa impressed na jinsi huyu dada alivyokuwa anajua kupinga mizinga systematically kwa design ya 'chuma ulete' teh teh teh

    11. C6
      #168
      C6's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th April 2011
      Location : Mtaa Wa Saba
      Posts : 3,084
      Rep Power : 19361
      Likes Received
      1775
      Likes Given
      1513

      Default

      Quote By Eiyer
      Inawezekana labda natakiwa nikaishi sayari ya Mars.Hivi ni lazima ukiwa na mahusiano na mwanamke umhudumie kama mwanao(sizungumzii ndoa).Leo nimekasirikiwa na dada mmoja baada ya kunilalamikia kuwa rafiki yangu ni mbahili.Mi nikamwambia,sasa unataka akupe hela kwani wewe ni mwanae au mkewe?Yule dada alisonya akanyanyuka kitini na kuniangalia kwa shari kisha akaniambia,"kumbe na wewe ni wale wale",kisha akaondoka.Hivi kwani ni lazima upewe hela?Mtu una kazi,au uko kwa baba na mama yako halafu unataka hela!Za nini?Unaweza kusaidia lakini inapoonekana kuwa unaanzisha mahusiano na mwanamke shida zote anahamishia kwako huo ni ujinga.Tujuane inapotokea dharula sio ndo nakua dingi!!
      nahisi nna damu ya kipare, demu hali hata sh.kumi angu
      nyumba kubwa likes this.

    12. #169
      Kamanda Moshi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 500
      Rep Power : 460
      Likes Received
      207
      Likes Given
      52

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Quote By cartura
      dah, nimekuwa impressed na jinsi huyu dada alivyokuwa anajua kupinga mizinga systematically kwa design ya 'chuma ulete' teh teh teh
      Ukimuona sasa jinsi anavoonekana mtakatifu machoni huwez hata ukadhania ana akili matope hivo...naona alifikir mie ni kale kam-mnyama kanachopatikana Vingunguti... wakuu nikaona nijitoe tu kuepusha msongamano

    13. #170

      Too bad mdada mwenyewe alikuwa anasema ameokoka na anasali pale Efatha...wakuu hii tabia ya kupenda hela kwa wadada kwa baadhi yao ni kitu kiko damuni, kwa wao ukishapata mwanaume then unahamisha matatizo yako yote kwake....wanafikiri mwanaume ni ATM machine tena isiyo na pasword wala limit ya kudraw...wanabore sana kwa kweli
      nyumba kubwa likes this.

    14. #171
      Samkyjr's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Posts : 321
      Rep Power : 478
      Likes Received
      40
      Likes Given
      20

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Kuna girlfriend wa bwana mdogo wote wametoka chuo na bado hawajapata kazi lakini huyu dada kila siku unamtumia sms please recharge me or call me mara naomba nauli niende kusalimia ndugu kigoma, na asipotumiwa ni sms za mafumbo tu.
      nyumba kubwa likes this.

    15. #172
      Consultant's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2008
      Location : N/A
      Posts : 1,348
      Rep Power : 827
      Likes Received
      106
      Likes Given
      69

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Ingawa si wote, wadada wengine wanakera bana. Mmepanga mkutane sehemu, then anakuja na tax na akifika, unaitwa ukalipe gharama (japokuwa anafanya kazi nzuri tu na ana uwezo wa kujilipia mwenyewe...)
      It's true that money cannot buy happiness, but I would rather cry in Mercedez than on a Motorcycle

    16. #173
      nyumba kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 4,047
      Rep Power : 2306
      Likes Received
      2874
      Likes Given
      3980

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Unadhani..ndio maana magube gube wengi...waoaji wanakata tamaa. Najaribu kuangalia ningekuwa mwanaume ni jinsi gani ningekuwa selective...

      Watatumiwa sana wakizeeka wataanza wao sasa kuonga vijana wapate ngono. Si tunawaona?. Unadhani kuchuna ni kazi ya kudumu? Wakifika 40 tu hakuna wakuwapa hata chips.

      Quote By kamanda moshi
      jamani its true wadada wa mtindo huu wapo wengi sana. Nitoe mfano ambao mim binafsi ulinikuta...nilim-meet mdada mmoja yuko chuo mwaka wa pili, basi tukazoeana, mie nikamuintruducia kuwa nampenda na namtaka, kiukweli nilikuwa na Long plan na yeye, sikuwa na nia ya kumtumia na kumuacha. nikamwambia kabisa nia yangu na kama haitoshi nikamwambia plan zangu juu yake ni nin, sasa wakuu cha kuchosha na kufedhehesha, mtoto nilikuwa namtoa out za kufa mtu, then nam-drive back anapokaa bt simpi hela as for me i was looking for a wife materialy n not kicheche. wakuu imagine nimemtoa out kala anachotaka na kunywa anachotaka, namrudisha nikishamdroap nipo skan mara sms inaingia ooh nina shida plz naomba like 20,000/. ok nikasema si kitu nikamrushia kwa M-pesa, tumekaa siku mbili, ooh naomba hela ya saluni 30,000 ...mh nikampa, ok mara vocha sina plz naomba vocha nikamtumia ya buku 5, kumbuken hapo sijala wala hata kumkiss as nilikuwa na plan naye na i was looking tabia yake kwanza. ok siku moja si nikaomba japo kumkiss.....lol asiwaambie mtu, mtoto akaanza ooh kwanza mie nina boyfriend n nimekuelewa ombi lako but kama ulivosema now tunachunguzana kwanza kabla ya kuingia kwa commitment...oooh God have Mercy, kam una boyfriend n mim unanibania why kuniomba omba fedha, na hapo outing za nguvu umepata, why dont u go to that boyfriend of urs akupe hizo hela...?wakuu nilikata mguu mara moja na kuachana naye...sasa hawa ndo type ya kina dada wanaopenda kupewa hela tu...shame on them!!!

    17. #174
      Kamanda Moshi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 500
      Rep Power : 460
      Likes Received
      207
      Likes Given
      52

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Quote By nyumba kubwa
      Unadhani..ndio maana magube gube wengi...waoaji wanakata tamaa. Najaribu kuangalia ningekuwa mwanaume ni jinsi gani ningekuwa selective...

      Watatumiwa sana wakizeeka wataanza wao sasa kuonga vijana wapate ngono. Si tunawaona?. Unadhani kuchuna ni kazi ya kudumu? Wakifika 40 tu hakuna wakuwapa hata chips.
      Kweli kabisa Nyumba Kubwa, nilikuwa na nia naye but nilikata mguu kabisa, baada ya like 5 days baada ya kukata mguu na mawasiliano ananipigia ooh nimekumiss...nikajiambia huu 'wizi mtupu'...nikamjibu poa kisha kwaheri...mpaka leo sijamsalimu.
      nyumba kubwa likes this.

    18. #175
      Eiyer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2011
      Posts : 8,909
      Rep Power : 6889
      Likes Received
      2734
      Likes Given
      34

      Default

      Quote By Meritta
      si ndo vyie ndo kautaratibu kenu,et "ya vocha hii baby". teh teh
      Nimeshasema hiyo ni tabia ya hovyo.Kwani hiyo simu nani anaiwekea vocha siku nyingine?
      Meritta likes this.

    19. #176
      Eiyer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2011
      Posts : 8,909
      Rep Power : 6889
      Likes Received
      2734
      Likes Given
      34

      Default

      Quote By cartura
      dah, nimekuwa impressed na jinsi huyu dada alivyokuwa anajua kupinga mizinga systematically kwa design ya 'chuma ulete' teh teh teh
      Dah!Na jamaa nae boya. . . .Lol!

    20. #177
      Meritta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2011
      Posts : 1,265
      Rep Power : 666
      Likes Received
      267
      Likes Given
      475

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Quote By Eiyer
      Nimeshasema hiyo ni tabia ya hovyo.Kwani hiyo simu nani anaiwekea vocha siku nyingine?
      ndo ushangae na ww wanaume wenzio
      "Ni UPENDO tu"

    21. #178
      Kipipi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2011
      Location : Sitimbi
      Posts : 7,262
      Rep Power : 26196
      Likes Received
      2941
      Likes Given
      3814

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Quote By Eiyer
      Kipipi,sijalikwepa swali lako ungenielewa ingekua poa zaidi.Sijakosea kusema ni ujinga kwa mwanamke aliye kwenye hali ya maisha niliyotaja!
      Eiyer kwani kukuelewa ni lazima niendane na idea yako??
      Mie nimeuliza kaswali kamoja tu sijui kwanini kameleta shida??
      Money only impress lazy girls.
      When a woman works hard, a man with money is just a bonus.

    22. #179
      manyani's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th January 2012
      Posts : 85
      Rep Power : 386
      Likes Received
      18
      Likes Given
      64

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Quote By Eiyer
      Inawezekana labda natakiwa nikaishi sayari ya Mars.Hivi ni lazima ukiwa na mahusiano na mwanamke umhudumie kama mwanao(sizungumzii ndoa).Leo nimekasirikiwa na dada mmoja baada ya kunilalamikia kuwa rafiki yangu ni mbahili.Mi nikamwambia,sasa unataka akupe hela kwani wewe ni mwanae au mkewe?Yule dada alisonya akanyanyuka kitini na kuniangalia kwa shari kisha akaniambia,"kumbe na wewe ni wale wale",kisha akaondoka.Hivi kwani ni lazima upewe hela?Mtu una kazi,au uko kwa baba na mama yako halafu unataka hela!Za nini?Unaweza kusaidia lakini inapoonekana kuwa unaanzisha mahusiano na mwanamke shida zote anahamishia kwako huo ni ujinga.Tujuane inapotokea dharula sio ndo nakua dingi!!
      Alafu ati wanaume na wanawake ni sawa? wapi bwaaana! bado saaana huku makwetu.

    23. #180
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,399
      Rep Power : 33554
      Likes Received
      8075
      Likes Given
      7565

      Default Re: Khaaaa!!Kwani ni lazima?

      Mwenzenu sijasoma kurasa zote za uzu huu,nauliza tu , hivi @ hii thread @ smile kaiona?

    Page 9 of 10 FirstFirst ... 78910 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...