Nimezaliwa,nikafikisha umri wa kwenda shule,nikaenda.Nimesoma mpaka hukoooo nimemaliza,nimekuja sijui nimejiajiri au nimeajiriwa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nimeoa na nimepata watoto nao nimewasomesha kisha nao wamejitegemea,nimezeeka,kisha huyooo nauona mwili unashindwa baadhi ya mambo.Kisha narudishwa mavumbini,nimekufa.Safari ya maisha imeishia hapo,nimeondoka duniani. . . . . . . . . . . . . . . , . . . . . . . Hivi hayo ndo yalisababisha nizaliwe au kuna kingine?Yani hivyo tu?Sidhani,sijui ni kwanini lakini nahisi kuna kitu kimepungua.Yaani nayaona hayo kama mambo madogo sana kusababisha mtu kuzaliwa.My be nimejipotosha,wewe je unaridhika?

Reply With Quote



Follow Us Here