kama mnavyokumbuka ile thread ya rafiki yangu anayetaka kufanya maamuzi magumu leo tena kanipigia simu analia eti alikua na mme wake wanacheka mume wake akamuuliza lini unaondoka halafu kamtajia x_girl wake yaani jina lake kwamba he"ll be fu***ing her badly rafiki yangu huyo amelia akajiuliza hivi mbona hakumuoa huyo x-girl wake amemtumia miaka karibu minne leo hii anasema hivyo kweli ni haki mi nimeshindwa la kumuambia nahisi ntampa ushauri mbaya hivi mbona baadhi ya wanaume mnakosa roho ya ubinadamu?????

Reply With Quote




Follow Us Here