Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    Report Post
    Page 25 of 37 FirstFirst ... 15232425262735 ... LastLast
    Results 481 to 500 of 734
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,445
      Rep Power : 10880
      Likes Received
      3817
      Likes Given
      426

      Default Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Katika kile kinachoonekana kupunguza kasi ya CDM na kiongozi wake machachari Dr Wilbroad Slaa Mbunge wa viti Maalum wa chama hicho Rose Kamili amekwenda mahakamani kumshtaki Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa kwa kile anachopinga uhusiano wa Dr Slaa na mke wake mtarajiwa Josephine Mushumbusi.

      Katika hati ya mashtaka aliyo nayo Rose analalamikia kutelekezwa yeye na watoto wake wawili baada ya Josephine kuingilia ndoa yao.Anaiomba mahakama itamke uhusiano wa Dr Slaa na Josephine ni batili.

      Kuna tetesi zimezagaa Rose Kamili amenunuliwa ili kuvuruga mijakati ya CDM kuiandama serikali ya CCM

      Source:Tanzania Daima

      Updates from Mwananchi...Majibu ya Dr Slaa
      Dk Slaa: Nimeyazoea
      Alipotakiwa kuzungumzia kesi hiyo nje ya Mahakama, Dk Slaa alisema: “Hayo mambo nimeyazoea na kimsingi hayanipi shida yoyote.”
      Alipoulizwa endapo anajipanga vipi kulipa fidia hiyo alijibu: “Kesi ni kesi hivyo siyo kila kinachoombwa kwenye kesi lazima kilipwe.”
      Hata hivyo, Dk Slaa alisema asingependa kuzungumzia suala hilo kwa undani kwa kuwa liko kwa mawakili wake lakini akasema amebaini kuwa hizo ni hila na michezo michafu ya kisiasa.
      “Kwanza siyo pingamizi moja tu, kuna pingamizi mbili mahakamani lakini kwa ufupi ifahamike kuwa hizo ni hila.”
      Last edited by Molemo; 12th July 2012 at 08:10.

    2. RukaaJuu Final

    3. #481
      KOMBAJR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th November 2011
      Posts : 3,881
      Rep Power : 5955
      Likes Received
      805
      Likes Given
      229

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By zomba
      KOMBAJR Wacha kuchakachuwa , nani aliyesema Josephine ndio kafunguwa kesi kumshitaki Slaa?, kwenye nyekundu millioni 50 wewe unaongezeza "0" na kuifanya millioni 500. Hivi nyinyi mbona mnatetea ujinga na laana na uzinifu? huyo ni mzinifu na ameshitakiwa, na huo ndio ukweli. Hata uutetee vipi, ukweli unabaki kuwa ukweli.

      Josephine alifunguwa mashtaka kudai talaka, kama siyo mke wa mtu angedai talaka kwa mumewe na huku kisha zaa na Slaa? Huo kama si uzinifu ni nini? wacheni kutetea dhambi hizi.
      Jibu hoja ya Msingi Kijana!
      Rose Kamili amfungulia kesi ya Uzinzi Dr. Slaa? hebu rejelea kwenye habari yenyewe...."Kamili ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), pia anaiomba Mahakama iamuru Dk Slaa amlipe Sh50 milioni za fidia aliyotumia kujihudumia pasipo matunzo ya mumewe huyo.Mbunge huyo kupitia kwa Wakili wake, Joseph Thadayo, aniomba pia Mahakama iamuru Mushumbusi amlipe kiasi cha Sh500 milioni za fidia ya maumivu aliyoyapata kutokana na kitendo chake cha kuingilia ndoa yao".Source Mwananchi
      Ukisoma vizuri hapo juu utaelewa saga nzima na by the way anayedaiwa alipe fidia siyo Dr. Josephine mimi siyo mwanasheri lakini kuna vitu vingi sana ambavyo huwa vinazingatiwa unapofungua kesi ya kudai fidia uwezi tu kusema unataka milion 500 ukapewa na Mahakama haigawi pesa.
      Face Reality As it Is, Not As it Was or As You Wish It To Be.

    4. #482
      sifugi naloga's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th August 2011
      Location : Near To Heaven.
      Posts : 28
      Rep Power : 397
      Likes Received
      2
      Likes Given
      5

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Josephine
      Haaa,inapendeza sana. Naomba mfatilie ukweli wa mambo kwa undani ili mchangie vizuri. mnapochangia jiulize swali moja Je? josephine ni mwanamke wa kwanza kuachika na kutaka kufunga ndoa nyingine? na kama kunamtu hajawahi kutenda dhambi basi awe wa kwanza kuniita mzinzi. Lakini Josephine mpaka anatangaza Ndoa alikurupuka?ndani ya miaka takribani 4 leo mtu anakurupuka anatoa madai,siku zote alikuwa wapi? Na ninyi mnaosisitiza Josephine ni mke wa mtu,mwenye mke mbona yupo kimya? Hamuoni kipi kitu cha msingi,kwanini mnapenda kuchangia issues kwa udaku badala ya kuweka msingi.Mlitaka niwatangazie siku nimepewa talaka? kama ndoa inamapungufu,hata kama ni ya Kikristo kanisa inavunja ndoa kwa misingi maalum,tuache ushabiki usio na misingi tusimamie misingi ya Kwanini kila mmoja aliondoka kwa mwenzake na tukakutana na kufanya maamuzi ya kuwa pamoja na hatimae Dr akaridhia kufunga ndoa nami.Hata Rose alikuwa na nafasi hiyo. Wanaume wangapi wamewaacha waume zao,na wanawake wangapi wameacha waume zao,hili la Josephine limekua tabu? Ndiyo maana nasema Ndani ya Ndoa hakuna siasa. Penzi halilazimishi,na katika Ndoa kama hakuna penzi ndoa hakuna.
      Kweli Kabisa.

    5. #483
      Bornvilla's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 17th February 2011
      Posts : 634
      Rep Power : 0
      Likes Received
      141
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By KABAVAKO
      Ilikuwaje Dr. Slaa aachane na mke wake kinyume na maadili ya kanisa linasema ndoa haivunjiki mpaka kifo? Je hii haioneshi kuwa Dr. Slaa hana uadilifu? Tunaomba atuambie kwanini aliachana na mke wake?
      Alikuwa anapima tabia kwanza japo amepata watoto wawili! Padri bana!Anadhalilisha dini na CDM.

    6. #484
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,370
      Rep Power : 1212
      Likes Received
      1214
      Likes Given
      1591

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By asakuta same
      unapoamua kuachana na mwenzi wako utaratibu unakuwa vipi?
      ni kila mtu anachukua hamsini zake tu au inakuwaje kwani?....na the applicable answers to those questions ndiyo jibu la namna ya kusettle .
      Sasa wewe unaona kwenye maelezo yaliyopelekwa mahakani kuna ambayo yalihitaji DR akae na rose na kusettle? mtu anakuambia tusiachane wakati wewe umeishaamua muachane kuna issue ya kusettle hapo zaidi ya kuwalk away na kuendelea na maisha yako mengine?

    7. #485
      Mikael P Aweda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2010
      Posts : 1,866
      Rep Power : 6555
      Likes Received
      2462
      Likes Given
      2266

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By MkamaP
      Utamaduni na sheria ndo hiyo serikali inatambua ndoa za aina tatu: kimila, kidini,kiserikali. Na watoto kama bado wanasoma full time bado anawajibu wa kuwagharamia ndo sheria nafikiri ilivyo.
      Mbona mnahama hoja ya msingi? Hoja ya msingi ilikuwa ni kwamba Slaa na Josephine ni wanadhambi ya uzinzi. Tukawauliza mtakatifu wa walioko ccm n nani?
      Mkaja na hoja kutelekeza watoto. Nikawaambia hana watoto na Rose, ana walipa kodi. Wenzio akina askofu Ritz1 wakaingia mtini?
      Sasa wewe umekuja na aina ya ndoa. Hoja mpya. Hiyo ndiyo iko kwenye mchakato. Haraka yako ya nini? Twende taratibu. Hoja moja baada ya nyingine.
      mcfm40 likes this.
      Mikael P Aweda 0784 583 330
      Elimu kwanza

    8. Miaka 50

    9. #486
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,516
      Rep Power : 19751
      Likes Received
      5449
      Likes Given
      3641

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Bornvilla
      Alikuwa anapima tabia kwanza japo amepata watoto wawili! Padri bana!Anadhalilisha dini na CDM.
      Wewe BornMavi unawashwa?

    10. #487
      Mikael P Aweda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2010
      Posts : 1,866
      Rep Power : 6555
      Likes Received
      2462
      Likes Given
      2266

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By asakuta same
      unapoamua kuachana na mwenzi wako utaratibu unakuwa vipi?
      ni kila mtu anachukua hamsini zake tu au inakuwaje kwani?....na the applicable answers to those questions ndiyo jibu la namna ya kusettle .
      Hivi mkuu, kuna ndoa ya watu wasiopendana? Kama humtaki, halafu yeye kang'ang'ania utafanyaje?
      Sangarara likes this.
      Mikael P Aweda 0784 583 330
      Elimu kwanza

    11. #488
      POMPO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,036
      Rep Power : 1191
      Likes Received
      1120
      Likes Given
      649

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Kakalende
      Wabongo kwa kupenda umbea angali thread ilvyokuwa 'nyomi', ungekuwa mkutano wa hadhara magazeti t\ngepamba sana!
      Bora wewe unaonekana hupendi UMBEA, huangali hii thred
      Gurti likes this.
      "Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.

    12. FJM
      #489
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,179
      Rep Power : 2569
      Likes Received
      5331
      Likes Given
      4587

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Mikael P Aweda
      Mbona mnahama hoja ya msingi? Hoja ya msingi ilikuwa ni kwamba Slaa na Josephine ni wanadhambi ya uzinzi. Tukawauliza mtakatifu wa walioko ccm n nani?
      Mkaja na hoja kutelekeza watoto. Nikawaambia hana watoto na Rose, ana walipa kodi. Wenzio akina askofu Ritz1 wakaingia mtini?
      Sasa wewe umekuja na aina ya ndoa. Hoja mpya. Hiyo ndiyo iko kwenye mchakato. Haraka yako ya nini? Twende taratibu. Hoja moja baada ya nyingine.

      Hivi CCM wanatumia criteria gani kum-judge Dr Slaa?
      Gurti likes this.

    13. #490
      Wakuti's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 164
      Rep Power : 456
      Likes Received
      13
      Likes Given
      29

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By mcfm40
      Watoto gani hao wametelekezwa? Watu wa maiak 25 ni watoto? Ni kweli Dr aliwatelekeza kwa maana ya hakuwapatia elimu na mahitaji yao mengine? Tumsubiri roze athibitishe hili! which is unlikely!
      Si mimi niliesema Dr Slaa katelekeza watoto bali ni mbunge wenu Rose Kamili ambaye anamjua Dr Slaa. Yetu macho tusibiri tuone lakini naamini wataelewana nje ya mahakama.
      Gurti likes this.

    14. #491
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,370
      Rep Power : 1212
      Likes Received
      1214
      Likes Given
      1591

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By zomba
      Kisha funguliwa na mkewe. Kwi kwi kwi teh teh teh!

      Nna uhakika kila anaeunga mkono hili la uzinzi nae ni mzinzi. Dahh, mnatupeleka wapi jamani, huko ndi "Nchi ya Ahadi"?
      wewe ZOMBA ndio sikutegemea kukuona unaongea kitu hapa, mimi wala sikuulizi swali gumu, nenda kamuulize mtoto wako wa kike kama yuko radhi kuolewa mke wa tatu? akikataa ujue hakubali ndoa za kizinzi. TAFAKARI.

    15. #492
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,370
      Rep Power : 1212
      Likes Received
      1214
      Likes Given
      1591

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Wakuti
      Si mimi niliesema Dr Slaa katelekeza watoto bali ni mbunge wenu Rose Kamili ambaye anamjua Dr Slaa. Yetu macho tusibiri tuone lakini naamini wataelewana nje ya mahakama.
      Wewe unajua kwamba Ridhiwan naye ni Muhanga wa kutekelezwa na mzazi? au kwa vile mnamjua kipindi cha neema?

    16. #493
      don-oba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 746
      Rep Power : 526
      Likes Received
      257
      Likes Given
      32

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Hivi kwanini wanawake wanampigania sana Dr Slaa? Kwani ndiye mwanaume pekee?. Slaa kama Mandela.
      Gurti likes this.

    17. #494
      asakuta same's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st March 2011
      Posts : 2,526
      Rep Power : 986
      Likes Received
      660
      Likes Given
      429

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Sangarara
      Sasa wewe unaona kwenye maelezo yaliyopelekwa mahakani kuna ambayo yalihitaji DR akae na rose na kusettle? mtu anakuambia tusiachane wakati wewe umeishaamua muachane kuna issue ya kusettle hapo zaidi ya kuwalk away na kuendelea na maisha yako mengine?
      mkuu ndiyo nakuambia Rose alishajaribu kutaka kusettle hivi vitu nje ya mahakama ila Dr.Slaa ndiyo hakuonyesha ushirikiano.....na mara ya mwisho Slaa amekataa hata kwenda kuonana na masofu ili kulimaliza nje ya mahakama.
      sasa mtu unapoamua kwenda mahakamani huwezi kwenda na facts ndogo ya kutaka kusettle things ,unaenda mahakamani na full nondoz ili hata kama zitapunguzwa upate atleast pakushikia na hiyo ni kazi ya mawakili wake kutengeneza kesi nzuri kwao. period!
      Gurti likes this.

    18. #495
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,533
      Rep Power : 1263
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      inabidi atuonyeshe kua ana uwezo wa kutunza watoto wake aliozaa na huyo mama maana watu watasema if he cant manage a family of 2, will he be able to manage our country?
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    19. #496
      POMPO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 3,036
      Rep Power : 1191
      Likes Received
      1120
      Likes Given
      649

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Ally Kanah
      Wazazi wangu wote wameshatangulia Mbele ya haki mola awalaze mahali pema Amin
      Pole sana mkuu, JF siku hizi unatakiwa kuwa na roho ngumu sana, POLE
      "Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.

    20. #497
      Mangaline's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 1,003
      Rep Power : 614
      Likes Received
      205
      Likes Given
      54

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By fmpiganaji
      Rose hajawahi funga ndoa na Dr Slaa bali alizaa naye watoto.
      Kuzaa ovyo ovyo nje ya ndoa huitwa "umalaya"

    21. #498
      BigMan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th February 2007
      Posts : 535
      Rep Power : 734
      Likes Received
      57
      Likes Given
      10

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      kumbe mwigulu nchemba hayupo peke yake,wenzake wame-advance kwa kupora kabisa wake za watu

    22. #499
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,370
      Rep Power : 1212
      Likes Received
      1214
      Likes Given
      1591

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Bornvilla
      Alikuwa anapima tabia kwanza japo amepata watoto wawili! Padri bana!Anadhalilisha dini na CDM.
      Leo unautetea Ukirsto usivunjwe? Any way ila kumbuka kwamba Hata Mtume angekuwapo zama hizi asingeruhusiwa kuoa under eighteen.

    23. #500
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,370
      Rep Power : 1212
      Likes Received
      1214
      Likes Given
      1591

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By asakuta same
      mkuu ndiyo nakuambia Rose alishajaribu kutaka kusettle hivi vitu nje ya mahakama ila Dr.Slaa ndiyo hakuonyesha ushirikiano.....na mara ya mwisho Slaa amekataa hata kwenda kuonana na masofu ili kulimaliza nje ya mahakama.
      sasa mtu unapoamua kwenda mahakamani huwezi kwenda na facts ndogo ya kutaka kusettle things ,unaenda mahakamani na full nondoz ili hata kama zitapunguzwa upate atleast pakushikia na hiyo ni kazi ya mawakili wake kutengeneza kesi nzuri kwao. period!
      Nilidhani umenielewa kwamba umeshindwa kuonyesha kama kuna issue yoyote ile ya kusettle kati ya DR na Rose.

    Page 25 of 37 FirstFirst ... 15232425262735 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...