Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    Report Post
    Page 22 of 37 FirstFirst ... 12202122232432 ... LastLast
    Results 421 to 440 of 734
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,422
      Rep Power : 10874
      Likes Received
      3800
      Likes Given
      426

      Default Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Katika kile kinachoonekana kupunguza kasi ya CDM na kiongozi wake machachari Dr Wilbroad Slaa Mbunge wa viti Maalum wa chama hicho Rose Kamili amekwenda mahakamani kumshtaki Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa kwa kile anachopinga uhusiano wa Dr Slaa na mke wake mtarajiwa Josephine Mushumbusi.

      Katika hati ya mashtaka aliyo nayo Rose analalamikia kutelekezwa yeye na watoto wake wawili baada ya Josephine kuingilia ndoa yao.Anaiomba mahakama itamke uhusiano wa Dr Slaa na Josephine ni batili.

      Kuna tetesi zimezagaa Rose Kamili amenunuliwa ili kuvuruga mijakati ya CDM kuiandama serikali ya CCM

      Source:Tanzania Daima

      Updates from Mwananchi...Majibu ya Dr Slaa
      Dk Slaa: Nimeyazoea
      Alipotakiwa kuzungumzia kesi hiyo nje ya Mahakama, Dk Slaa alisema: “Hayo mambo nimeyazoea na kimsingi hayanipi shida yoyote.”
      Alipoulizwa endapo anajipanga vipi kulipa fidia hiyo alijibu: “Kesi ni kesi hivyo siyo kila kinachoombwa kwenye kesi lazima kilipwe.”
      Hata hivyo, Dk Slaa alisema asingependa kuzungumzia suala hilo kwa undani kwa kuwa liko kwa mawakili wake lakini akasema amebaini kuwa hizo ni hila na michezo michafu ya kisiasa.
      “Kwanza siyo pingamizi moja tu, kuna pingamizi mbili mahakamani lakini kwa ufupi ifahamike kuwa hizo ni hila.”
      Last edited by Molemo; 12th July 2012 at 08:10.

    2. FemaTV & Radio

    3. #421
      Mikael P Aweda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2010
      Posts : 1,836
      Rep Power : 6548
      Likes Received
      2436
      Likes Given
      2215

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Wakuti
      Asante nimekaribia! navyojua mimi kuna tofauti katii ya maadili na upendo. Dr slaa anadaiwa na mzazi mwenzake kuwa amewatelekeza watoto wake Emiliana na Linus hapa anamaanisha hana upendo na watoto wake, swali ! kama hana upendo na watoto wawili je anaweza kuwa na upendo na watanzania milioni 40?

      Kuhusu maadili pia Dr Slaa nina shaka nae maana ile shutuma ya kumfukuza mhasibu wa chama kwa kosa la kukataa kumpatia mchumba wake 10 milioni bado hajajibu mpaka leo. Kwenye kampeni kule Arumeru halikwepa kujibu hizi shutuma

      Hivyo Dr Slaa amekosa upendo na maadili. Kwenye uzinifu simshutumu kwa lolote maana hakuna Lijari hasiyezini

      WAKUTI,
      Mosi, Dr Slaa hana watoto wa kuwatekeleza miaka ya 2012. Labda kama wao wamemtelekeza yeye. Maana ni watu wazima wanaoweza kuzungumza au hata kwenda mahakamani kama wana madai yo yote dhidi ya baba yao. Mengine ni siasa na majungu. Full stop. kwa hiyo, ana upendo na watoto wake mpaka hapo watoto hao ambao ni watu wazima watakapokuja hadharani.
      Pili, ana upendo na watz mil 40 kwa kuwa hakuna mtu wa pili aliye na ujasiri wa kwenda jangwani leo akataja mafisadi kama yeye kwa gharama yo yote. Gharama ya ujasiri wa Slaa ya 2007 ya kutaja mafisadi vigogo wakiwepo marais ilikuwa ni kupigwa kama ulimboka au kufa. Alikuwa tayari kwa hilo.
      Dr Kitila alisema namnukuu, hakuna mwingine ninayemheshimu kama Dr Slaa baada ye Nyerere(alikuwa mabibo mwaka nimesahau)

      Hilo la pili ni mada tofauti. Kwa wadhifa wake yeye ana kazi ya kuajiri na kutimua. Sasa kama timua yake ni sawa au ina makosa, mimi na wewe hatuwezi kusimama na ushahidi wa JF. Yeye pia si malaika, anaweza kukosea kama mkulu analivyosaini sheria ya gharama za uchaguzi huku akiwa amechomekewa.
      Last edited by Mikael P Aweda; 12th July 2012 at 13:56.
      Excellent likes this.
      Mikael P Aweda 0784 583 330
      Elimu kwanza

    4. #422
      MkamaP's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2007
      Posts : 4,675
      Rep Power : 1569
      Likes Received
      310
      Likes Given
      93

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By jmushi1
      Ametelekezwa kivipi na kapewa kazi anapofanya kazi baby daddy wake?Unajuwa maana ya kutelekeza wewe?
      Kumbe nahuko nako wanapeana kama ccm. Mhhhh nchi ile inatabu sana

    5. #423
      GeniusBrain's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Location : CHADEMA Makao Makuu
      Posts : 3,820
      Rep Power : 1147
      Likes Received
      188
      Likes Given
      0

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By BAK
      Inawezekana Mkuu Mwita Maranya lakini Mke ambaye ananuia kumrudisha mumewe kwenye himaya yake baada ya kuhitilafiana kwenye ndoa yao, huwa hapotei kipindi kirefu hivyo kwa kuwa kimya halafu kuja kuibuka ghafla. Siku zote atahakikisha yuko ndani ya mikakati ya kufanikisha kusudio lake na kutompa mumewe nafasi ya kucheza katika viwanja vya ugenini maana mara nyingi hili likitokea basi itakula kwake.
      Ww unajuaje kama hakuyafanya hayo ? Huyu mama amejaribu sana kumsihi Slaa warudiane walee watoto wao na kuimarisha familia yao, na hata wakina Ndesamburo na Mtei kuna kipindi walimsihi slaa juu ya hili la kutelekeza familia ila mzee hakutaka kusikia hili kabisa.

    6. #424
      paulss's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th August 2009
      Posts : 3,610
      Rep Power : 4402
      Likes Received
      1086
      Likes Given
      977

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By BAK
      Inawezekana Mkuu Mwita Maranya lakini Mke ambaye ananuia kumrudisha mumewe kwenye himaya yake baada ya kuhitilafiana kwenye ndoa yao, huwa hapotei kipindi kirefu hivyo kwa kuwa kimya halafu kuja kuibuka ghafla. Siku zote atahakikisha yuko ndani ya mikakati ya kufanikisha kusudio lake na kutompa mumewe nafasi ya kucheza katika viwanja vya ugenini maana mara nyingi hili likitokea basi itakula kwake.
      Mkuu BAK hapa ndipo watu wengi mnachanganya madesa
      Hivi wewe unaamini Rose Kamili kafungua kesi ili Dr amrudie waishi wote?..........sidhani
      Kilichopo ni kwamba Rose nataka Ndoa yake itambuliwe kwanza kisha apate stahiki zake kama mke
      Lakini katu halazimishi Dr Slaa amrudie kama wengi tunavyodhani

      Swala la kukaa mda mrefu kabla ya kudai haki yako linaweza kuchagizwa na mambo mengi, pengine sasa anaona Dr anao na hajapata stahiki zake kama mke
      Au pengine Dr anampiga longo longo kuhusu stahiki zake na sasa maeona muda muafaka
      BAK likes this.
      Independent thinker
      Humu jf baadhi yetu wametengeneza haki miliki ya they way they think, you have to think like them and have drawn a line of where one has to belong, you are either "with us" or "against us", if you don't sail the same boat then you are an enemy!. -Pasco wa JF

    7. #425
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,478
      Rep Power : 19784
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1242

      Default

      Quote By Mch Kimaro
      Inanibidi kukemea hilo pepo lako ulilonalo pepo la uzinfu
      Na nakemea katika jina la Yesu aliyehai urudi kwa mumeo mliye kula kiapo cha kuishi milele leo umemsaliti kwa ajili ya tamaa

      Pepo mchafu toka katika huu mwili wa huyu mama nakemea nakimtaka arudi kwa yule mume aliyeapa kuishi nae kwa dhiki na faraja

      Pepo tokaaaa kwa Mushumbusi
      wewe hujawai kuzini?

    8. Miaka 50

    9. BAK
      #426
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,597
      Rep Power : 44964
      Likes Received
      8344
      Likes Given
      8330

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Thursday, 12 July 2012 10:06

      By Rosina John
      The Citizen Correspondent
      Dar es Salaam.

      Chadema secretary-general Willibrod Slaa yesterday found himself embroiled in a matrimonial dispute.

      His former wife, Ms Rose Kamili, petitioned the High Court to block his planned marriage with Ms Josephine Mushumbusi, asking it to declare unlawful, null and void the new relationship which Dr Slaa intends to formalise on July 21 at Karatu.

      Ms Kamili is also seeking the court’s declaration that their marriage still exists and that there cannot be another valid marriage on top.

      Dr Slaa is blessed with two children with the Karatu MP with whom he started the relationship in since 1985. Ms Kamili argues in her petition that Dr Slaa was a Roman Catholic priest when they started their relationship. “He had on his own free will to initiate a procedure within the church to be relieved of priesthood and obligations of the holy orders so that he could build and take care of his family as well as regularise his marriage,” reads part of the petition.

      Following the successful procedure, says Ms Kamili, they started living as husband and wife to the extent that even sensitive records and internationally recognised documents like the passport bore their names as husband and wife.
      “All customary procedures for formalising the marriage were conducted and complied with, such as families from both parties recognising us as a couple,” she said.

      The MP further states that they managed to acquire matrimonial properties, including two residential houses situated at Dar es Salaam’s Sinza suburb and Gongali village in Karatu District.

      Through Trustmark Attorneys, Ms Kamili has already lodged a notice to object to the intended marriage to The Registrar of Marriages and Karatu Roman Catholic Priest.

      Under the Law of Marriage Act, the two institutions are required to desist from celebrating or participating in any manner whatsoever in the intended marriage. The notice has also been copied to the leader of the Roman Catholic Church, Cardinal Polycarp Pengo, the bishop of the Roman Catholic Diocese of Mbulu and the Registrar of the High Court.

      According to the petitioner, their happy relationship started turning sour in 2009 when Dr Slaa started a relationship with Ms Mushumbusi to break the oath of marriage.

      She claims that the Chadema leader started neglecting his duty as husband and father to the family by spending nights outside his home and misusing family resources to lead a luxurious lifestyle with his lover. According to the petitioner, Dr Slaa’s act of having an adulterous affair publicly, is not only a breach of the matrimonial oath, but the same is also inflicting psychological torture, amounting to cruelty on her.

      “Since 2009 Dr Slaa has abandoned the family such that she has been compelled to bear full responsibilities for the upkeep of herself and the two children, including food, clothing, shelter as well as fees for higher education.

      Ms Kamili also wants the court to order Ms Mushumbusi to pay her Sh500 million as damages for adultery as well as causing Dr Slaa to desert her and his family. She also wants Sh50 million in compensation for expenses incurred in maintaining herself and her family.
      The matrimonial case filed by advocate Joseph Thadayo was set to be mentioned today before judge Lawrence Kaduri.

      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    10. #427
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,683
      Rep Power : 1912
      Likes Received
      1582
      Likes Given
      676

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By No fear
      Wewe mtoto bado mgeni hapa tulia huijui JF. kaa kwanza ujifunze kuwajuwa watu wa hapa.
      Hapa ni JF siyo Uarabuni Mkuu

    11. #428
      Ngoromiko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th September 2011
      Posts : 452
      Rep Power : 437
      Likes Received
      85
      Likes Given
      114

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Josephine
      Wote mlionitukana,na kusema nishindwe na Kulegea,Naamuru mshindwe ninyi na Mungu awaumbue kwa hila zenu. Hamjui Ndoa ni nini na siajabu hamjui maana ya ndoa. Usimuhukumu mwenzio toa kwanza Boriti kwenye jicho lako. Jamani fanya Utafili ama fuatilia kesi iliyopelekwa mahakamani na majibu yake yote mtayapata. Utaratibu wote umefuatwa na Hata mbele za mungu hakuna tuhuma, ninyi ni nani mnaotuhukumu hapa duniani. Kila anayetushutumu ajitazame yeye mwenyewe kwanza,Siasa hizi zinamwisho.
      Josephine, kwa maneno mengine mahusiano yenu na Dr Slaa si mume na mke, bali kwa sasa, na tangu mlipoanza hayo mahusiano na kumzaa Junior, mlikuwa manazini. Kwa hiyo hadi hapo mtakapofunga ndoa takatifu, wewe na Slaa ni wazinzi tu na inabidi kabla ya kufungishwa ndoa mtubu kwanza dhambi yenu ya uzinzi. Nadhani niko sahihi.
      Mikael P Aweda and mkomatembo like this.

    12. #429
      Blayi wa Mpwapwa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th January 2012
      Posts : 106
      Rep Power : 392
      Likes Received
      41
      Likes Given
      0

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Kwa mjibu wa kanisa katoliki la ROMA, Mhe. Slaa hawezi kufunga ndoa ataishi tu na mwanamke na anaweza kuzaa nae watoto , kwa hiyo hata huyo Rose Kamili aliishi nae tu hakufunga nae ndoa takatifu. Kanisa katoriki linasema hivi, sacramenti ziko saba:-

      1. Ubatizo
      2. Kipaimala
      3. Kitubio
      4. Upadri
      5. Mpako wa mwisho
      6. Ekarist takatifu
      7. NDOA

      Sasa kwa kua Mhe Slaa aliisha pata sacrament ya upadri basiNDOA kwake siyo halali, Ndoa yoyote kwa Mhe Slaa SIYO HALALI…… Labda ndoa anayoda Mhe. Rose Kamili ni ya serikali.Ndoa ya serikali mimi siwezi kuisemea au ndoa ile ya kuishi zaidi ya miezi sita nayo mimi siwezi kuisemea.

    13. BAK
      #430
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,597
      Rep Power : 44964
      Likes Received
      8344
      Likes Given
      8330

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By paulss
      Mkuu BAK hapa ndipo watu wengi mnachanganya madesa
      Hivi wewe unaamini Rose Kamili kafungua kesi ili Dr amrudie waishi wote?..........sidhani
      Kilichopo ni kwamba Rose nataka Ndoa yake itambuliwe kwanza kisha apate stahiki zake kama mke
      Lakini katu halazimishi Dr Slaa amrudie kama wengi tunavyodhani

      Swala la kukaa mda mrefu kabla ya kudai haki yako linaweza kuchagizwa na mambo mengi, pengine sasa anaona Dr anao na hajapata stahiki zake kama mke
      Au pengine Dr anampiga longo longo kuhusu stahiki zake na sasa maeona muda muafaka
      Mkuu paulss....Kakosa stahiki zake na kukaa kimya kipindi kirefu sasa ndiyo kazikumbuka hizo stahiki zake kama mke? Kuna jambo zito hapa limejificha nyuma ya pazia zito.
      paulss likes this.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    14. #431
      GeniusBrain's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Location : CHADEMA Makao Makuu
      Posts : 3,820
      Rep Power : 1147
      Likes Received
      188
      Likes Given
      0

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Mikael P Aweda
      [/SIZE]WAKUTI,
      Mosi, Dr Slaa hana watoto wa kuwatekeleza miaka ya 2012. Labda kama wao wamemtelekeza yeye. Maana ni watu wazima wanaoweza kuzungumza au hata kwenda mahakamani kama wana madai yo yote dhidi ya baba yao. Mengine ni siasa na majungu. Full stop. kwa hiyo, ana upendo na watoto wake mpaka hapo watoto hao ambao ni watu wazima watakapokuja hadharani.
      Pili, ana upendo na watz mil 40 kwa kuwa hakuna mtu wa pili aliye na ujasiri wa kwenda jangwani leo akataja mafisadi kama yeye kwa gharama yo yote. Gharama ya ujasiri wa Slaa ya 2007 ya kutaja mafisadi vigogo wakiwepo marais ilikuwa ni kupigwa kama ulimboka au kufa. Alikuwa tayari kwa hilo.
      Dr Kitila alisema namnukuu, hakuna mwingine ninayemheshimu kama Dr Slaa baada ye Nyerere(alikuwa mabibo mwaka nimesahau)

      Hilo la pili ni mada tofauti. Kwa wadhifa wake yeye ana kazi ya kuajiri na kutimua. Sasa kama timua yake ni sawa au ina makosa, mimi na wewe hatuwezi kusimama na ushahidi wa JF.
      Mwamba ngoma huvutia kwake, ila Slaa aliisha nasihiwa na wakina Mzee Mtei na Ndesamburo kuhusu suala lakumrejea mke wake wa halali. Kiukweli ni aibu kwa mtu km Slaa kutokuwa na mke wa halali, ni aibu. Na suala lakutaja tu mafisadi si ushahidi tosha wakuonyesha anawapenda watanzania, kwa nn asinge washitaki na kuwapeleka mahakamani km kweli ushahidi anao ? hapo ndipo tungeona kweli anawapenda watanzania, ila kuwataja tu hata mie naweza kuwataja

    15. #432
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,514
      Rep Power : 19750
      Likes Received
      5443
      Likes Given
      3640

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By paulss
      Swala la kukaa mda mrefu kabla ya kudai haki yako linaweza kuchagizwa na mambo mengi, pengine sasa anaona Dr anao na hajapata stahiki zake kama mke
      Au pengine Dr anampiga longo longo kuhusu stahiki zake na sasa maeona muda muafaka
      Hivi una akili timamu wewe? kuna stahiki zinazoweza kuzizidi za kupewa Ubunge wa dezo?

    16. #433
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,376
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      5491

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By MkamaP
      Kumbe nahuko nako wanapeana kama ccm. Mhhhh nchi ile inatabu sana
      Itakuwa hivyo, ndo michezo ya siasa kwenye banana republic, what do you expect?Pengine hawakutaka awe a "political liability", however ndo anaokoelekea...
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    17. #434
      Ally Kanah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2011
      Posts : 780
      Rep Power : 559
      Likes Received
      37
      Likes Given
      35

      Default

      [QUOTE=ruttashobolwa;4224027]wewe hujawai

      Jina la Bwana lihimidiwe

      Kwa kweli mbele za Mungu sijawahi sababu niliamua kumtumikia Bwana

    18. #435
      MkamaP's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2007
      Posts : 4,675
      Rep Power : 1569
      Likes Received
      310
      Likes Given
      93

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Madai ya mwanamama ni madai ya msingi na kokote kule duniani hasa kwenye nchi ya demokrasia yangekuwa scandal ya kutosha.
      Nafikiri mmefuatilia tu wale republican yule mgombea wake alivyojitoa kwa sababu ya shutuma za sex na mwanamama takribani miaka 15 iliyopita. Hata hivyo.

      1.Ukishakuwa na mtoto na usimpe matumizi kila mwezi kwa nchi nyingi za ulaya wakikukamata unalipa zote kuanzia mwanzo ama unakwenda jela miaka kadhaa, kama mtoto ni chini ya miaka 18 ama mwanako ambaye yuko chini ya miaka 25 ambaye yuko kwa full time education.

      2. Kwa nchi za wezetu nyingi civil partner sio mke, ni civil partner ana haki zake mnapoachana, kwa tanzania nafikiri japo sina uhakika ukiishi na mtu mda kadhaa automatically anakuwa mke/mme wako. Hii sina uhakika nayo sana kuhusu civili partner kwa bongo.
      3. Nchi nyingi za wenzetu unafungwa jela ukioa mke wakati una ndoa nyingine active. Madai ya mwana mama ni madai ya msingi kokote kule duniani mpaka yatakapothibitishwa ni madai ya uongo.

    19. #436
      matumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th July 2011
      Posts : 2,337
      Rep Power : 1445
      Likes Received
      648
      Likes Given
      498

      Default

      Quote By Ritz
      Kumbe tayari umeishafunga ndoa na Dr Slaa?
      mkuu uhoni noma kukomalia ishu za mapenzi ya watu...yani wewe na chama mnasound kama mashangingi flani wa saluni,mnapakana ina...bora @Gaijn na stress zake za mahusiano,kwa m'mama kidogo anaeleweka anavyoteseka na chuki.

    20. Ame
      #437
      Ame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Location : Global Citizen
      Posts : 1,513
      Rep Power : 1184
      Likes Received
      650
      Likes Given
      2615

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Mungi
      Kabla hajajiunga na chadema niliwahi kusema humu kuwa Rose ana pepo la ngono, na pepo lake lilikuwa linamtuma kuzini na mapadre tu. Ni Rose huyu huyu aliyemvua joho Dr. Slaa. Rose leo ukimwuliza Padre Hayuma ni nani, Padre Corneli ni nani wote anawajua mpaka ndani. Kisa cha kuachana kilikuwa wazi mbona?
      Nadhani katika bahati mabaya zote duniani basi Dr. Slaa alipata kwa kuhusiana na huyu lady....

    21. #438
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,478
      Rep Power : 19784
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1242

      Default

      Quote By Mch Kimaro
      Ndugu katika Bwana hivi mtu kutetea utu maslahi na heshima yake ndio kukivuruga Chama? Mtu kuanika uozo wa viongozi wetu je ni kukivuruga chama
      maslai gani ambayo anaya ona mwaka 2012?
      Je hao watoto unajua wana miaka mingapi? Kama wamefikisha miaka 18 na zaidi sidhani kama kuna madai hapo!

      You should refer to
      law of marriage( castode and mantainance of children)

    22. #439
      Wakuti's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 164
      Rep Power : 456
      Likes Received
      13
      Likes Given
      29

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Mikael P Aweda
      [/SIZE]WAKUTI,
      Mosi, Dr Slaa hana watoto wa kuwatekeleza miaka ya 2012. Labda kama wao wamemtelekeza yeye. Maana ni watu wazima wanaoweza kuzungumza au hata kwenda mahakamani kama wana madai yo yote dhidi ya baba yao. Mengine ni siasa na majungu. Full stop. kwa hiyo, ana upendo na watoto wake mpaka hapo watoto hao ambao ni watu wazima watakapokuja hadharani.
      Pili, ana upendo na watz mil 40 kwa kuwa hakuna mtu wa pili aliye na ujasiri wa kwenda jangwani leo akataja mafisadi kama yeye kwa gharama yo yote. Gharama ya ujasiri wa Slaa ya 2007 ya kutaja mafisadi vigogo wakiwepo marais ilikuwa ni kupigwa kama ulimboka au kufa. Alikuwa tayari kwa hilo.
      Dr Kitila alisema namnukuu, hakuna mwingine ninayemheshimu kama Dr Slaa baada ye Nyerere(alikuwa mabibo mwaka nimesahau)

      Hilo la pili ni mada tofauti. Kwa wadhifa wake yeye ana kazi ya kuajiri na kutimua. Sasa kama timua yake ni sawa au ina makosa, mimi na wewe hatuwezi kusimama na ushahidi wa JF.
      Mimi siijui familia ya Dr Slaa ila nimesoma hizi habari tanzania daima gazeti CDM. Huyu mama si mbunge wa CDM? kama ndio basi nendeni mkamjadiri kwenye vikao vya chama maana mnadai kaongwa na CCM. Kiukweli nitawachangaa sana mkilipeka Chamani na hapo ndio ulimwengu utaamini kuwa CDM ni chama cha kifamilia ndio maana wana CDM wanatetea viongozi wao mpaka katika issue zao za kifamilia.

      Hoja ya kumfukuza mhasibu lazima hajibu kabla ya 2015 vinginevyo hatoeleweka na jamii. hata kama yeye ni mwajiri lakini kumfukaza kazi mtu kwa kosa la kukataa kumpa mchumba wako 10 milioni ni kosa kubwa CDM haina pesa ni za walipa kodi na zinatakiwa zitumike kichama sio kugawa kwa mchumba.

      Swali! kama pesa za chama anagawa kwa mchumba je kama tukimpa nchi si atahonga mpaka majengo ya Ikulu huyu?

    23. #440
      matumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th July 2011
      Posts : 2,337
      Rep Power : 1445
      Likes Received
      648
      Likes Given
      498

      Default

      Quote By Ritz
      Kumbe tayari umeishafunga ndoa na Dr Slaa?
      mkuu uhoni noma kukomalia ishu za mapenzi ya watu...yani wewe na chama mnasound kama mashangingi flani wa saluni,mnapakana ina...bora Gaijin na stress zake za mahusiano,kwa m'mama kidogo anaeleweka anavyoteseka na chuki.

    Page 22 of 37 FirstFirst ... 12202122232432 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...