Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    Report Post
    Page 20 of 37 FirstFirst ... 10181920212230 ... LastLast
    Results 381 to 400 of 734
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,398
      Rep Power : 10869
      Likes Received
      3773
      Likes Given
      426

      Default Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Katika kile kinachoonekana kupunguza kasi ya CDM na kiongozi wake machachari Dr Wilbroad Slaa Mbunge wa viti Maalum wa chama hicho Rose Kamili amekwenda mahakamani kumshtaki Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa kwa kile anachopinga uhusiano wa Dr Slaa na mke wake mtarajiwa Josephine Mushumbusi.

      Katika hati ya mashtaka aliyo nayo Rose analalamikia kutelekezwa yeye na watoto wake wawili baada ya Josephine kuingilia ndoa yao.Anaiomba mahakama itamke uhusiano wa Dr Slaa na Josephine ni batili.

      Kuna tetesi zimezagaa Rose Kamili amenunuliwa ili kuvuruga mijakati ya CDM kuiandama serikali ya CCM

      Source:Tanzania Daima

      Updates from Mwananchi...Majibu ya Dr Slaa
      Dk Slaa: Nimeyazoea
      Alipotakiwa kuzungumzia kesi hiyo nje ya Mahakama, Dk Slaa alisema: “Hayo mambo nimeyazoea na kimsingi hayanipi shida yoyote.”
      Alipoulizwa endapo anajipanga vipi kulipa fidia hiyo alijibu: “Kesi ni kesi hivyo siyo kila kinachoombwa kwenye kesi lazima kilipwe.”
      Hata hivyo, Dk Slaa alisema asingependa kuzungumzia suala hilo kwa undani kwa kuwa liko kwa mawakili wake lakini akasema amebaini kuwa hizo ni hila na michezo michafu ya kisiasa.
      “Kwanza siyo pingamizi moja tu, kuna pingamizi mbili mahakamani lakini kwa ufupi ifahamike kuwa hizo ni hila.”
      Last edited by Molemo; 12th July 2012 at 08:10.

    2. #381
      REMSA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Posts : 1,479
      Rep Power : 858
      Likes Received
      458
      Likes Given
      754

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By nivea
      toa kibanzi kwenye jicho lako mwenyekiti wako ana wake wangapi ?n last week kaoa mtoto wa kiarabu na matatizo yote haya nchini huoni akili yake inawaza ngono tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na wake wote alionao uko sawa kweli wewe mwachieni MUNGU ahukumu mwenyewe msitetee zambi mnajidhalilisha ,na kesi ikiwa mahakanani huitaji kujadili na mapovu tele.tuelimike .hata kwenye BIBLIA TAKATIFU IMEANDIKWA YESU ALIWAMBIA WALE WATU KAMA KUNA AMBAYE NI MTAKATIFU ACHUKUE MAWE AMPIGE MWANAMKE KAHABA WOTE WAKAONDOKA POLE POLE ,TUNAISHI KWA NEEMA YA MUNGU PEKEE HATUPASWI KUHUKUMU BADO MAHAKAMA YA KADHI HAIJARUHUSIWA.
      Sawa kabisa Nivea,hawaoni tatizo la jamaa kuwa na wake wa kiarabu,kihindi ndugu wa RA,na watoto wa nje
      ya ndoa kibao,hilo hawalioni.
      s.com/member.php?u=45513" title="Ally Kanah is offline"> Reply With Quote Reply With Quote

    3. #382
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2011
      Posts : 777
      Rep Power : 557
      Likes Received
      37
      Likes Given
      35

      Default

      Quote By nivea
      toa kibanzi kwenye jicho lako mwenyekiti wako ana wake wangapi ?n last week kaoa mtoto wa kiarabu na matatizo yote haya nchini huoni akili yake inawaza ngono tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na wake wote alionao uko sawa kweli wewe mwachieni MUNGU ahukumu mwenyewe msitetee zambi mnajidhalilisha ,na kesi ikiwa mahakanani huitaji kujadili na mapovu tele.tuelimike .hata kwenye BIBLIA TAKATIFU IMEANDIKWA YESU ALIWAMBIA WALE WATU KAMA KUNA AMBAYE NI MTAKATIFU ACHUKUE MAWE AMPIGE MWANAMKE KAHABA WOTE WAKAONDOKA POLE POLE ,TUNAISHI KWA NEEMA YA MUNGU PEKEE HATUPASWI KUHUKUMU BADO MAHAKAMA YA KADHI HAIJARUHUSIWA.
      Leo hatuongei ya huyo leo tuko na KIBABU KIBACHELA so hilo lako halina mantiki

    4. #383
      Mikael P Aweda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2010
      Posts : 1,783
      Rep Power : 6537
      Likes Received
      2380
      Likes Given
      2142

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By FJM
      Duh! Ingekuwa wakati wa RTD ungekuwa umeniingiza mjini. Ritz, acha utani. Mandela aliishi na Winnie muda mrefu kama miaka mingapi hivi? What is muda mrefu kwako?

      Pili unataka tuamini kuwa baada ya Madiba kutoka kifunguni, Winnie ndiye alimtimua and not the other way round? Mengine tuyaache tu maana nisingependa tujikite kwenye mambo binafsi ya Winnie. Kila mtu ana haki ya kuishi anavyoona inamfaa. Wengine wanaishi kwa kupiga propaganda - sawa tu!
      Ritz 1,
      Anadanganya watu kwa makusudi au hajasoma kitabu cha maisha binafsi ya mandela. Masuala ya kikanisa hayakufuatwa na waafrika kusini pia hawakuyajadili kiunazi kama sisi.
      Askofu Ritz anasema dini ya Mandela na Slaa ni tofauti ktk kuhusu ndoa - anadanganya pia. Ama atuelezee tofouti hizo.
      Mikael P Aweda 0784 583 330
      Elimu kwanza

    5. #384
      Wakuti's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 164
      Rep Power : 455
      Likes Received
      13
      Likes Given
      29

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By MVUMBUZI
      Kwa nijuavyo mimi Dr. Slaa hawakuwa na ndoa kamili ya kidini na Rose Kamili labda iwe ndoa yao walifungia bomani. Hawa wawili walianza uhusiano kama mtu na rafiki yake huku akiwa mtumishi na baadaye wakawa wanauhusiano wa kimapenzi ila kuwa full fledged mume na mke haijawahi kuwa official. Rose kamili ni vema akajua anakivuruga chama kwanii anavyofanya ni kukomoa tu.
      Sheria ya ndoa ya mwaka 71 ni mkewe official kwa sababu kaishi nae zaidi ya miaka 2 hivyo alitakiwa ampe talaka kwanza

    6. #385
      TUNTEMEKE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th June 2009
      Location : Mombasa
      Posts : 4,504
      Rep Power : 11336
      Likes Received
      323
      Likes Given
      236

      Default Laana ya mjomba<mwigulu> yamkuta babu<dr. Slaa> alia mahakamani

      ANAESEMEKANA kuwa mchumba wa babu dr slaa, bi mshumbuzi alie mchafua mbunge wa jimbo langu la iramba magharibi mh. mwigulu nchemba, mama huyo mwizi wa penzi mwenye ndoto za alinacha yakuwa 1st lady wa magogoni alimchafua mwigulu na kututukana cc wapiga kura wake kwa kutuambia turudi shule tukasome,,,,,

      Ndipo tulipo ingia kwenye maombi makali ya kulaani kitendo hicho hatimae mungu kajibu maombi kwa kumliza mchumba wake mtarajiwa mbele ya mahakama wakati ule mshumbuzi alizani togwa kumbe ni mbege

      haiwezekani mtu wa karatu akaja kutuchagulia kiongoz wa kutuongoza sisi wana iramba, tuna imani na mbunge wetu na bado tunamwitaji ukizingatia mbunge wetu hajawa babu baba.....


      mungu asante kwa kujibu maombi yetu cc wana iramba, na tumesikia anakuja tena na oparesheni sangara tunaomba sasa ashindwe na alegee kama alivyo acha kuongoza kondoo wako na kuanza kuwa mzinifu vilevile tunashukuru kwa kutompa vigezo vya kuwa Rais lakini bado haja koma sasa bwana tenda miujiza

    7. FemaTV & Radio

    8. #386
      Ally Kanah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2011
      Posts : 777
      Rep Power : 557
      Likes Received
      37
      Likes Given
      35

      Default

      Quote By The Invincible
      Duh! Nahisi ni mikakati ya chama cha mabwepande.
      Hahaha mkuu ni mkakati wa KUB Mr Makengeza na ZZK
      Ngoromiko likes this.

    9. #387
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,664
      Rep Power : 1907
      Likes Received
      1562
      Likes Given
      676

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By No fear
      Inapendeza sana kada wa CCM unapokuwa huongozwi na Emotions bali fact, CCM ingekuwa na makada wengi wenye akili na misimamo kama yako kingekuwa ni chama imara sana na kisingeelekea kufa kama kilivyo sasa.
      Nasikia Mukama ameandika barua ya kujiuzulu ukatibu mkuu CCM je hizi habari ni za kweli?
      Avatar la UAMSHO karibu karibu gahawa na pilau mkuu kuna hitma hapa

    10. #388
      POMPO's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 2,955
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1090
      Likes Given
      625

      Default Re: Laana ya mjomba<mwigulu> yamkuta babu<dr. Slaa> alia mahakamani

      Join Date : 5th July 2012
      Posts : 7
      Rep Power : 302
      Likes Received 0
      Likes Given 0
      karibu JAMVINI

    11. #389
      Tikerra's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd September 2008
      Location : Morogoro
      Posts : 1,588
      Rep Power : 863
      Likes Received
      100
      Likes Given
      3

      Default

      Hivi ni vituko vya jioni.
      Quote By Mpungati
      Hivi penzi huwa linalazimishwa jamani?!

    12. #390
      Kyaiyembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2011
      Location : Kisukuru
      Posts : 1,135
      Rep Power : 604
      Likes Received
      345
      Likes Given
      303

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Ingekuwa uzinzi ni utajiri wapo ambao wangekuwa ni mabilionea na Dr. Slaa angelikuwa ni Kabwela tu labda kama anao wanawake wengine!.

    13. #391
      luckman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th October 2010
      Posts : 945
      Rep Power : 630
      Likes Received
      151
      Likes Given
      20

      Default Re: Laana ya mjomba<mwigulu> yamkuta babu<dr. Slaa> alia mahakamani

      Quote By Ansar Rahim
      ANAESEMEKANA kuwa mchumba wa babu dr slaa, bi mshumbuzi alie mchafua mbunge wa jimbo langu la iramba magharibi mh. mwigulu nchemba, mama huyo mwizi wa penzi mwenye ndoto za alinacha yakuwa 1st lady wa magogoni alimchafua mwigulu na kututukana cc wapiga kura wake kwa kutuambia turudi shule tukasome,,,,,

      Ndipo tulipo ingia kwenye maombi makali ya kulaani kitendo hicho hatimae mungu kajibu maombi kwa kumliza mchumba wake mtarajiwa mbele ya mahakama wakati ule mshumbuzi alizani togwa kumbe ni mbege

      haiwezekani mtu wa karatu akaja kutuchagulia kiongoz wa kutuongoza sisi wana iramba, tuna imani na mbunge wetu na bado tunamwitaji ukizingatia mbunge wetu hajawa babu baba.....


      mungu asante kwa kujibu maombi yetu cc wana iramba, na tumesikia anakuja tena na oparesheni sangara tunaomba sasa ashindwe na alegee kama alivyo acha kuongoza kondoo wako na kuanza kuwa mzinifu vilevile tunashukuru kwa kutompa vigezo vya kuwa Rais lakini bado haja koma sasa bwana tenda miujiza
      Yani unavyoandika inadhirishia kuwa hukukosea kumchagua chizi mwenzako! Mwiguru chizi anayejifanya na hon ya uchumi kumbe ya kuangalizia!akili zake zimeliwa na mchwa nadhani ni ugonjwa wa ukanda wenu! kama mna akili huwezi kumleta mtu kama huyu awe mwakilishi wenu hata siku moja! huyo kweli ni chizi na haya yanayotokea kwa slaa ni upepo tu wa kiasa na yataisha tu tunasonga mbele!

    14. #392
      paulss's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th August 2009
      Posts : 3,610
      Rep Power : 4402
      Likes Received
      1086
      Likes Given
      977

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Naamini kabisa Dr Slaa na Mchumba wake Josephine mnapitia hizi comments zetu na mnazifanyia kazi
      Nakumbuka mara kadhaa huko nyuma tuliwaweka kitimoto kuwa Dr anazini na mke wa mtu hadi atakapoachika, mkakumbuka kwenda kufungua kesi ya kudai talaka(hongera Josephine nasikia umepata talaka yako sasa, now you free to go)

      Sasa kazi imebaki kwa Dr slaa vs Rose kamili
      Hapa Dr akubali kukaa chini na mzazi mwenzie wayamalize kama kuna matatizo
      Habari ya kusema Dr hajatelekeza familia hakuna anyeijua vizuri zaidi ya Rose Kamili mwenyewe

      Kwako Josephine achana kabisa na bifu la Dr Slaa na Rose Kamili, waache wamalizane wenyewe kama ulivyomalizana mwenyewe na ex mumeo mahakamani
      Habari ya kuja humu na kutoa majibu mepesi na yakishabiki yanayo muhusu Rose Kamili na kuvutia kwako acha kabisa
      Shukuru mungu umefanikiwa kumpora laazizi wake na sasa una mmiliki
      Independent thinker
      Humu jf baadhi yetu wametengeneza haki miliki ya they way they think, you have to think like them and have drawn a line of where one has to belong, you are either "with us" or "against us", if you don't sail the same boat then you are an enemy!. -Pasco wa JF

    15. #393
      Mikael P Aweda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th December 2010
      Posts : 1,783
      Rep Power : 6537
      Likes Received
      2380
      Likes Given
      2142

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Ngekewa
      Hakuna alie juu ya sheria. Inasikitisha kuwa wapo watu wanashabikia sifa za kutengeneza machokoraa kwa mtu anaetegemewa kuwa mkuu wa nchi. Ni aibu kwani hata watoto nao kutelekezwa ni hila za kisiasa?
      Kwani siku anaapishwa kuwa mkuu wa nchi walisema ana watoto kadhaa Je, hao waliofichwa wanaoitwa kadhaa ni machokoraa na wako mtaani. Slaa watoto wake wote wanajulikana kawapeleka shule nzuri, anawapenda na ni wote ni watu wazima.
      Mikael P Aweda 0784 583 330
      Elimu kwanza

    16. #394
      Tikerra's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd September 2008
      Location : Morogoro
      Posts : 1,588
      Rep Power : 863
      Likes Received
      100
      Likes Given
      3

      Default

      Hivi ni vituko vya jioni.
      Quote By Mpungati
      Hivi penzi huwa linalazimishwa jamani?!

    17. #395
      Matola's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,465
      Rep Power : 0
      Likes Received
      5425
      Likes Given
      3612

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Lynix
      Avatar la UAMSHO karibu karibu gahawa na pilau mkuu kuna hitma hapa
      Wewe mtoto bado mgeni hapa tulia huijui JF. kaa kwanza ujifunze kuwajuwa watu wa hapa.

    18. #396
      kimeloki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th July 2012
      Posts : 554
      Rep Power : 455
      Likes Received
      56
      Likes Given
      6

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Ndoa sometimes ikiwa ndoano unasepa.
      Ame likes this.

    19. #397
      Baba Hellen's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2012
      Location : TANGA
      Posts : 381
      Rep Power : 422
      Likes Received
      27
      Likes Given
      13

      Default Slaa afunguliwa kesi ya kutokuoaana na mshumbusi

      Rose kamili ambaye pia ni mbunge viti maalum <chadema> amefungua kesi mahakamani kupinga ndoa hiyo kwani anadai yeye ni mke halali wa dr slaa ambapo walifunga ndoa mwaka1985 na anadai slaa amlipe sh ml 50 kwakujihudumia pasipo msaada wake. Pia anadai bi mshumbusi amlipe ml 500 kwa kuingili penzi lao.

    20. #398
      Wimana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 1,041
      Rep Power : 555
      Likes Received
      279
      Likes Given
      180

      Default

      Quote By Mungi
      Kabla hajajiunga na chadema niliwahi kusema humu kuwa Rose ana pepo la ngono, na pepo lake lilikuwa linamtuma kuzini na mapadre tu. Ni Rose huyu huyu aliyemvua joho Dr. Slaa. Rose leo ukimwuliza Padre Hayuma ni nani, Padre Corneli ni nani wote anawajua mpaka ndani. Kisa cha kuachana kilikuwa wazi mbona?
      Mwaka 2010 wakati akigombea Ubunge Hanang, nilisikia watu fulani wakidai ati Wazee huko hawataki huyo mama achaguliwe kwa madai kuwa 'anawaharibu' watoto wa kiume. Ni kweli?

    21. #399
      Wakuti's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 164
      Rep Power : 455
      Likes Received
      13
      Likes Given
      29

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Mikael P Aweda
      Wakuti karibu sana,
      Dr Slaa hana watoto na Rose kamili, ana watu wazima na Rose walipa kodi wa nchi hii.
      Suala la maadili huko tulishatoka akina kobelo na Chama kimewashinda, niliwauliza maadili ya mkulu wetu na idadi ya watoto wake ambayo siku ya kuapishwa 2005 tuliambiwa ana watoto kadhaa. Huku usiturudishe.
      Nikawauliza watutajie mtakatifu asiye mzinifu huko ccm mimi nitampigia kura. wamekwama.
      Asante nimekaribia! navyojua mimi kuna tofauti katii ya maadili na upendo. Dr slaa anadaiwa na mzazi mwenzake kuwa amewatelekeza watoto wake Emiliana na Linus hapa anamaanisha hana upendo na watoto wake, swali ! kama hana upendo na watoto wawili je anaweza kuwa na upendo na watanzania milioni 40?

      Kuhusu maadili pia Dr Slaa nina shaka nae maana ile shutuma ya kumfukuza mhasibu wa chama kwa kosa la kukataa kumpatia mchumba wake 10 milioni bado hajajibu mpaka leo. Kwenye kampeni kule Arumeru halikwepa kujibu hizi shutuma

      Hivyo Dr Slaa amekosa upendo na maadili. Kwenye uzinifu simshutumu kwa lolote maana hakuna Lijari hasiyezini

    22. #400
      jmushi1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2007
      Posts : 14,375
      Rep Power : 16492
      Likes Received
      4298
      Likes Given
      5491

      Default Re: Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

      Quote By Mungi
      Kabla hajajiunga na chadema niliwahi kusema humu kuwa Rose ana pepo la ngono, na pepo lake lilikuwa linamtuma kuzini na mapadre tu. Ni Rose huyu huyu aliyemvua joho Dr. Slaa. Rose leo ukimwuliza Padre Hayuma ni nani, Padre Corneli ni nani wote anawajua mpaka ndani. Kisa cha kuachana kilikuwa wazi mbona?
      "Gold dogging" at its best...Halafu za ubunge wa kwenye "kisahani" hazijatosha?Lazma kuna mkono...
      "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

    23. Miaka 50
    Page 20 of 37 FirstFirst ... 10181920212230 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...