Jamani, nina masikitiko m akubwa sana ndani ya moyo wangu.
Huu sasa ni zaidi ya mwezi wa nne, mama watoto amekuwa akinipa kwa masharti magumu sana kile chakula cha usiku.
Kisingizio chake kikubwa eti anaangalia tamthilia za STV1 za kwenye king'amuzi cha Star Times.
nimejaribu kumuelewesha, alicho nijibu nimekoma mwenyewe, eti mi ni mroho sana wa k.
Nifanyeje? Naombeni ushauri wenu , naamini nyie ni kisima cha busara.

Reply With Quote







Follow Us Here