What are the things a girl looks for in a man?
What are the things a girl looks for in a man?
bahati mbaya am a wife and a mother.....ningekuwa gelo ningejibu.....
Pesa yako, gari na nyumba
dogooo..yani mpaka leo hujui what a girl needs from a man??
1- mshobobo/mtalimbo usiolala dolo na shughuli uiweze
2- pesa na magari..maana hawa wenzetu hataki hatakuisiki kitu iitwayo shida
3- kidoogo utanashati uwepo
4- usiwe chapachapa..yani wanataka wakiwa na wewe uwe wake peke yake lakini pia wanaishi kwa hisia kuwa lazma wanaume tunachapa kizuri wasijue wanashare na nani
5- uwe mtu wa story sana na nyingi ziwe za uongo basi wao mioyo kwatuuu..maana imeandikwa hawa wenzetu wanaupenda na kuukubali uongo kuliko ukweli.
HAYA NDIO MAMBO BASIC AMBAYO MTOTO WA KIKE HANA JINSI YA KUKUENGU KATIKA VIGEZO VYA KUWA NAYE..HAWANA UJANJA WA KURUKA MTEGO WENYE VIGEZO HIVO HAPO JUU NA NIMEVIWEKA KWA MPANGILIO MAHUSUSI.
if we die the next generation will fight them too..and the one after them untill the victory is on our side
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
am a girl and i want nothing bt true lov and faithfull from a man
Only true love and faithfull from a man, girls like it.
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
kuna siku shemeji yangu mmoja aliniambia kua yeye kama mwanamke ashajiwekea kichwani kua akiwa kwenye rship na mwanaume ipo siku huyo mwanaume atakuja kumcheat yani hiyo ni lazima, anajiwekea hivyo ili asije akaumizwa rohoni. nikafikiria hiyo sentensi nikaona kuna ukweli wake, so love inaweza ikawepo na mwanaume anakupenda kweli lakini sijui kwanini at some point atacheat tu i wonder
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
Follow Us Here