Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: The Power of Letting Go....

    Report Post
    Page 3 of 6 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 114
    1. #1
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,335
      Rep Power : 13771
      Likes Received
      5162
      Likes Given
      4557

      Default The Power of Letting Go....

      Wapendwa,

      Ni matumaini yangu kuwa mu wazima na mnaelea kwa raha kwenye bustani zenu za mapenzi. Napenda kuwapongeza sana wanaowapenda (Wapenzi wenu) na ninyi mnaopendwa kwani kwa pamoja mna-make the world a better and colouful place to live! Bravo.

      Weekend hii nimekuwa nikitathmini mahusiano yetu kwa ujumla. Nikajikuta nagongana na hii ya power of letting go!! Ni mara nyingi tumekuwa/au kushuhudia wenzetu wakifika mwisho wa mahusiano au mahali ambapo inawabidi kuachana na wenzi wao wengine ilhali bado wanawapenda lakini tu inabidi.

      Katika kuwaza na kuperuzi nikakutana na hii ilim isemayo; Ili kuelewa power of letting go, kwanza hatuna budi kuyaelewa mahusiano yetu ambayo ni mitihani kamili ya kutufunulia undani wa nafsi zetu.... They are the true test of who we are because it is the ultimate test of our self-respect!! mh!!.....................

      NDIYO nimeguna kwa sababu hapo ndipo kwenye shina lenyewe ambalo bahati mbaya wengi wetu hujikuta (pengine sababu ya shock - hatukutegemea kuwa iko siku tutafikia ukingoni; au ukingoni kumekuja ghafla kuliko tulivyotegemea) wengi wetu tumejikuta tukijishusha na kubembeleza tusiachwe pamoja na kuwa kuna kila dalili kuwa mapenzi yamefikia tamati. Wengi wetu tumejikuta tukijidhalilisha/dhalilishwa kwa sababu tu ya kumng'ang'ania mpenzi aendeleee kukupenda wakati twajua kuwa hata akikubali basi it wont be OUT of LOVE bali OUT of PITY!

      Tunasahau kuwa kwenye mahusiano yoyote kuwa wakweli (honesty) and being true kwa nafsi zetu ni MUHIMU ZAIDI ya survival ya mahusiano hayo ambayo unajitahidi kuya-boost. Sisemikuwa wote tunashindwa; wapo wengi tu wanaoweza-handle this situation na wengine wenye mbinu za kulet it go without having anger and resentlments! Kulet-go bila kuwa na hasira na kinyongo.

      Please can we share? How to let it GO bila hacra wala kinyongo and to be appreciative for having that person in your life coz s/he must have brought some shades of happiness sometimes when you were together.
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.


    2. #41
      Kongosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Location : Location loading...
      Posts : 26,149
      Rep Power : 25445
      Likes Received
      14853
      Likes Given
      15803

      Default Re: The Power of Letting Go...............

      gfsonwin, yaani mie siwezi toa ushauri wa kupenda kabisa, nina akili ya kutengeneza hata parachuti au space shuttle.

      Lakini mapenzini nina sifuri, sometimes akili inaona kabisa hapa unadanganywa ila moyo unasema tofauti.

      Mara nyingi mahusiano ya aina hii lazima uumizwe tu.
      gfsonwin likes this.

    3. #42
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,834
      Rep Power : 29098
      Likes Received
      12250
      Likes Given
      4929

      Default

      Duuh! Ila ww unaonekana boonge la heartbreaker!

      Bishanga njoo nikupulize mwaya! Yesu anaweza hata P.O.P. ilipochemsha,lol
      Quote By Kongosho
      hebu usiniletee uchuro, nikupeleke wapi na sura kama panga la shaba??

      Ushajizeekea hata kwa P.O.P husimami lol

    4. #43
      Kongosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Location : Location loading...
      Posts : 26,149
      Rep Power : 25445
      Likes Received
      14853
      Likes Given
      15803

      Default

      he he he, ngoja Paw amuone na Bishanga anakuzengea ambanike na mwiko wa ugali.

      Kubreak na kubreakiwa haviepukiki lol

      namtafuta mateka simuoni siku hizi

      Quote By King'asti
      Duuh! Ila ww unaonekana boonge la heartbreaker!

      Bishanga njoo nikupulize mwaya! Yesu anaweza hata P.O.P. ilipochemsha,lol

    5. #44
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 11,254
      Rep Power : 34400
      Likes Received
      10465
      Likes Given
      14529

      Default Re: The Power of Letting Go...............

      Quote By Kongosho
      gfsonwin, yaani mie siwezi toa ushauri wa kupenda kabisa, nina akili ya kutengeneza hata parachuti au space shuttle.

      Lakini mapenzini nina sifuri, sometimes akili inaona kabisa hapa unadanganywa ila moyo unasema tofauti.

      Mara nyingi mahusiano ya aina hii lazima uumizwe tu.
      yaani sasa hapo umeonyesha wazi kuwa wewe wapenda kwa moyo na mara zote moyo ni mwongo but akili huwa inasema kweli. kama imeona unadanganywa why do you have to go for it?
      "thought takes man out of servitude into freedom"
      'daima tudumu katika upendo'

    6. ODM
      #45
      ODM's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 42
      Rep Power : 359
      Likes Received
      26
      Likes Given
      23

      Default

      Quote By gfsonwin
      yaani sasa hapo umeonyesha wazi kuwa wewe wapenda kwa moyo na mara zote moyo ni mwongo but akili huwa inasema kweli. kama imeona unadanganywa why do you have to go for it?
      Hili ni jukwaa gani?


    7. #46
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 8,977
      Rep Power : 2636
      Likes Received
      2300
      Likes Given
      2070

      Default

      Quote By Bishanga
      Elli we fight uwe na pesa ndefu,hakuna mwanamke atakuacha, take it from me,kama ni kuwaacha utawaacha wewe.
      Mpwa nilishasaini mkataba wa maisha siwezi kukimbia tena

    8. #47
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,335
      Rep Power : 13771
      Likes Received
      5162
      Likes Given
      4557

      Default Re: The Power of Letting Go...............

      Quote By kisukari
      mimi nilishaweza kuachia sehemu ambayo ilikuwa ngumu mno{ndoa}na kukubalika kijamii ilikuwa ni ngumu sana tena sana,nililia weee mpaka mwisho nikasema hapana be strong,you can do it.ila kiukweli,i did the right thing.maana miaka ingeenda tu,na ndani kulikuwa hakuna mapenzi tena.na leo huyo huyo mtu,ni rafiki yangu na tunaelewana kwenye shida na raha.ila siombei yamkute mwenzangu yoyote yule
      Kisukari thank you so much for sharing! Kumbe inawezekana eh?


      Quote By platozoom
      Kuna binti mmoja alikuwa hovyo sana kwangu, kama kuna kizuri kutoka kwake labda 1% out of 100%. Lakini nikapunguza hasira na kuiangalia hiyo 1%, nikaithamini hiyo na kumnunulia zawadi pamoja na card imeandikwa "Thank you so much".

      Nilimwita (alijua kabisa kitakachotokea kwa sababu nilimwarifu) nikamnunulia lunch na baada ya kula nikamkabidhi zawadi. Yamekwisha
      Dah aksante sana kwa kushare. Nimesoma sehemu kuwa kwa mtu kukomaa kimapenzi kuna ile isemayo kuwa 'Until YOU let go YOU cannot grow " , kuwa "Great love can both take hold and let go". To let go with love you must, in essence, consciously love your partner.

      Conscious love ni ile love ambayo si possessive, dependent wala conditional !! INGAWA, NASEMA INGAWA wataalamu wenyewe wanadai kuwa ni VERY rare kuipata kwa wanadamu (hapa hata sijui wanataka kusemaje yarabi).
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.

    9. #48
      Purple's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2012
      Location : mjini
      Posts : 1,795
      Rep Power : 730
      Likes Received
      607
      Likes Given
      415

      Default

      Quote By Bishanga
      Purple,ushawahi kuachwa? Kuacha je?
      Bishanga nimewahi kuacha na kuachana but sijawahi kuachwa lol!

    10. #49
      Kongosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Location : Location loading...
      Posts : 26,149
      Rep Power : 25445
      Likes Received
      14853
      Likes Given
      15803

      Default

      ha ha ha, bwana eeh gfsonwin haya mambo haya wee acha tu

      Sometimes risks zina adventure zake bana.

      Kuna watu ujue wana ulimbo? Kama Bishanga vile
      Quote By gfsonwin
      yaani sasa hapo umeonyesha wazi kuwa wewe wapenda kwa moyo na mara zote moyo ni mwongo but akili huwa inasema kweli. kama imeona unadanganywa why do you have to go for it?
      gfsonwin likes this.

    11. #50
      Purple's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2012
      Location : mjini
      Posts : 1,795
      Rep Power : 730
      Likes Received
      607
      Likes Given
      415

      Default

      Quote By MwanajamiiOne
      Ni kweli kabisa Purple simaanishi kuachana kwa vicheko ila pale unapoabiwa/ona kuwa its over basi uumie kiutuuzima kwa maana kuwa unaumia na kukubali kuwa this is is lakini si kuumia na kuanza drama za kutaka uendelee kumuhodhi ilhali ye mwenyewe hataki kuhodhiwa.
      moyo ukipenda unaweza jikuta una-act stupid sometimes! Mambo ya mapenzi ni rahisi sana kuongea kuliko kutenda my dear..

    12. #51
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,429
      Rep Power : 927
      Likes Received
      840
      Likes Given
      1596

      Default Re: The Power of Letting Go...............

      Quote By charminglady
      MwanajamiiOne bdo nipo kwenye maombolezo ya kuachwa. . . ntachangia nikimalza maombolezo. asante!
      Maombolezo ya kuachwa ni miezi mingapi?

    13. #52
      charminglady's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 16th April 2012
      Posts : 9,054
      Rep Power : 17574
      Likes Received
      5008
      Likes Given
      5737

      Default

      Quote By Jodoki Kalimilo
      Maombolezo ya kuachwa ni miezi mingapi?
      hayana muda maalumu!
      MwanajamiiOne likes this.

    14. #53
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,335
      Rep Power : 13771
      Likes Received
      5162
      Likes Given
      4557

      Default Re: The Power of Letting Go...............

      Quote By charminglady
      hayana muda maalumu!
      Pole Charminglady mwaya ninaelewa. Unajua hakuna kitu kibaya na kiumizacho kama kumwondoa moyoni sijui akilini mtu ambaye ulikuwa unatabasamu peke yako kila ukimkumbuka; mtu ambaye yaani kila kukicha unatamani uisikie sauti yake milele afu ndio unawaza kuwa ndo imefikia tamati!!

      Pole mpenzi ila nafikiri kuna umuhimu wa kumwelewa gfsonwin kupenda kwa akili. Sidhani kama IKISHATOKEA ni kweli tunakuwa dhaifu kuikubali bali tunajivisha huo udhaifu aisee.
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.

    15. #54
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,775
      Rep Power : 19847
      Likes Received
      4407
      Likes Given
      1697

      Default

      Quote By MwanajamiiOne
      Ruta unataka kusema kuwa mahusiano yote yanayovunjikaga (ukiacha yale yanayovunjwa na external forces kama wazazi n.k) huvunjika kwa kuwa mmoja wao huwa hajapenda kweli??
      ni kweli kabisa! Kwa sababu mkipendana kweli mapenz haya wez kuvunjika na yakivunjika lazima mmoja haumie!

      Unaweza usione kama kuna mtu ame umia kwa sababu hakuna anaye chungulia roho ya mwenzio

      na mahusiano yote yanaayo vunjika huacha mamuvi inaweza kuwa upande mmoja au pande zote.

    16. BAK
      #55
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,827
      Rep Power : 45014
      Likes Received
      8681
      Likes Given
      8666

      Default Re: The Power of Letting Go...............

      [FONT=century gothic]....Nadhani sijakosea



      Quote By King'asti[/FONT
      ;4158177]MwanajamiiOne, unaujua wimbo wa the gambler? Ngoja nikamuamshe BAK aje aweke vituz. Haya kidogo nachombeza:
      U got to know when to hold on,
      when to walk away
      and when to run.
      Sasa wewe unamkimbia simba afu unajutia kumshinda mbio? Akhuuu,hata chura akipigwa teke anaumia lakini anakuwa kapunguziwa safari pia.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    17. #56
      Mtambuzi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 29th October 2008
      Location : Dar Es Salaam
      Posts : 6,182
      Rep Power : 27035
      Likes Received
      8454
      Likes Given
      17777

      Default Re: The Power of Letting Go...............

      Power of let it go, inahitaji ujasiri mkubwa kwani ni moja ya maamuzi magumu ambayo hutuacha majeruhi. Ni pale utakapopata mtaalamu wa saikolojia wa kukushauri namna ya ku-deal na hiyo situation kwa sababu mara nyingi jambo la kuachana huku mnapendana linaambatana na mitihani mingi katika maisha.

      Inawezekana baada ya kukabiliwa na mtihani ukajikuta kila unachokitegemea kinajaribiwa kiasi cha kujikuta huna pa kushika, hapo ndipo hata wale uliokuwa unawaamini sana na labda ulikuwahi kuwasaidia hapo nyuma wote wanakutenga na kukuacha usiamini kile kinachokutokea. Tunapokabiliwa na hali kama hii ndipo pale tunapojikuta tukikata tamaa na kumtafuta mchawi. hapo napo kuna hila nyingi, kuna wale wanaopata bahati na kumrudia Mungu, lakini kuna wale wanaogeukia kwenye ushirikina, hawa ndio mara nyingi wanaopata hasara mwisho wa siku na ndio maana nikasema ni vyema ili mtu amudu kukabiliana na hali hiyo atafute mshauri wa kisaikolojia ili aweze kumsaidia kukabiliana na hali hiyo.

    18. #57
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,834
      Rep Power : 29098
      Likes Received
      12250
      Likes Given
      4929

      Default

      Asante sana Best. U ar the best of the best.
      Quote By BAK
      [SIZE=4][FONT=century gothic]....Nadhani sijakosea


    19. #58
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,658
      Rep Power : 33610
      Likes Received
      8288
      Likes Given
      7738

      Default

      Quote By MwanajamiiOne
      Hah King'asti na Bishanga jamani mie kwa sasa naelea kwenye mapenzi. Ninauliza tu maana reflections ni muhimu ati. A very dear friend of mine aliwahinitumia ujumbe huu ...........

      Be Smart enough to hold on, be Brave enough to let go Coz leting Go is Letting Life Happen..............It has been a lesson since then.
      Mmmmmhhhhh.....i wonder....
      MwanajamiiOne likes this.

    20. #59
      Bishanga's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 29th June 2008
      Location : SIRIUS
      Posts : 13,658
      Rep Power : 33610
      Likes Received
      8288
      Likes Given
      7738

      Default

      Quote By King'asti
      Kwenye miti hakunaga wajenzi dearest. So mie najipimia baraka zangu, hata kuachwa ni baraka. Sasa mbona mie ndo napeenda tena kwa uaminifu ila ndo natendwa! Nna mpango wa kustaafu uaminifu recently, u can be my guinea pig!

      Ila mie naona the worst thing ni kufiwa na mpenzi, kama ananiacha tu it is his loss aisee! I believe I'm a good woman and a good lover too. I can brag about that, hehehe!
      King,unakumbuka thread ya AshaDii ya ku brag?

    21. #60
      Kongosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Location : Location loading...
      Posts : 26,149
      Rep Power : 25445
      Likes Received
      14853
      Likes Given
      15803

      Default

      kila siku una-wonder tu
      hujifunzi?

      Quote By Bishanga
      Mmmmmhhhhh.....i wonder....

    Page 3 of 6 FirstFirst 12345 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...