Binti mtaa wa 10 hivi toka hapa napoishi...mzuri na akili mkichwa si haba................Nimemuona mara kadhaa na kumtamani ingawa najua kidogokidogo naelekea kumpenda.
Hayo yote tisa, kumi anaonekana ni mtu anayehusudu vijana wenye lifestyle ya kisharobaro. Si kwamba ni malaya (angalau kwa uchunguzi wa awali) ila kutokana na maongezi ya hapa na pale, uvaaji wake, kuongea, muziki anaoupenda inaelekea ni mtu wa kuzimika na mwanaume wa aina hiyo.
Mimi ni kijana ingawa ni msikilizaji sana wa msondo, kupiga soga la kisiasa na mambo ya historia...bongofleva imenipitia kando kidogo. Uongeaji wangu wa kiutu-uzima japo naweza kuchomeka maneno machache ya "kimjini".
Sasa ombi wana MMU nipeni dondoo za kujibadilisha angalau kidogokidogo ili niwe na "swagger" za kisharobaro. Sitanii.
Nimeupenda ushauri wako. Tatizo naona kama nikiwa msharobaro itaongeza maksi zangu haraka sana........Hebu niambie nitawezaje ku-mix jinsi nilivyo sasa na usharobaro mpya
Kama hauko hivyo (Sharobaro) it's hard to pretend. Then, it goes back to my previous point kuwa "uwe kama ulivyo, kama mtakuwa pamoja mtaweza kutengeneza bond, baada ya hapo kila mmoja wenu ataweza ku-pick kitu cha kupenda toka kwa mwenzie"

Kifupi ni mvumilivu hula mbivu...dah!
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
Unaheshima weye ndo maana nilisema weye ni mdogo wangu wa kiume nami nakutakia kila la heri katika kulipata ulitakalo ma dearest bro.
Mnafaidi aisee....kwa mfano miye usiku huu na baridi hii nateseka tu! ningekuwa na msharobaro wangu mbona msingeniona kwenye sredi! Ila nashukuru na inanitia moyo ulisema weye ma'mdogo lakini saa hizi mdogo wako.....Huwezi jua baadaye nikapanda daraja.
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
lol! Shurti kwa swagger za kisharobaro vinginevyo huoni ndani kwa kimwana ...Haya bana kila la heri.
By platozoom
Binti mtaa wa 10 hivi toka hapa napoishi...mzuri na akili mkichwa si haba................Nimemuona mara kadhaa na kumtamani ingawa najua kidogokidogo naelekea kumpenda.
Hayo yote tisa, kumi anaonekana ni mtu anayehusudu vijana wenye lifestyle ya kisharobaro. Si kwamba ni malaya (angalau kwa uchunguzi wa awali) ila kutokana na maongezi ya hapa na pale, uvaaji wake, kuongea, muziki anaoupenda inaelekea ni mtu wa kuzimika na mwanaume wa aina hiyo.
Mimi ni kijana ingawa ni msikilizaji sana wa msondo, kupiga soga la kisiasa na mambo ya historia...bongofleva imenipitia kando kidogo. Uongeaji wangu wa kiutu-uzima japo naweza kuchomeka maneno machache ya "kimjini".
Sasa ombi wana MMU nipeni dondoo za kujibadilisha angalau kidogokidogo ili niwe na "swagger" za kisharobaro. Sitanii.
Sio hivyo kisukari ni kujaribu tu kutafakari ndio maana samtaim nakuja na kujiuliza. Usifikiri sipati kitu kutokana na ushauri wako............Ila kiu ya moyo kujua haiishi.
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
Binti mtaa wa 10 hivi toka hapa napoishi...mzuri na akili mkichwa si haba................Nimemuona mara kadhaa na kumtamani ingawa najua kidogokidogo naelekea kumpenda.
Hayo yote tisa, kumi anaonekana ni mtu anayehusudu vijana wenye lifestyle ya kisharobaro. Si kwamba ni malaya (angalau kwa uchunguzi wa awali) ila kutokana na maongezi ya hapa na pale, uvaaji wake, kuongea, muziki anaoupenda inaelekea ni mtu wa kuzimika na mwanaume wa aina hiyo.
Mimi ni kijana ingawa ni msikilizaji sana wa msondo, kupiga soga la kisiasa na mambo ya historia...bongofleva imenipitia kando kidogo. Uongeaji wangu wa kiutu-uzima japo naweza kuchomeka maneno machache ya "kimjini".
Sasa ombi wana MMU nipeni dondoo za kujibadilisha angalau kidogokidogo ili niwe na "swagger" za kisharobaro. Sitanii.
Imbombo ngafu, mademu sijui akili zao aje unakuta demu ukiongea nae anasema ooh sipendi masharobaro afu mwisho wa siku wanaangukia kwa hao hao masharobaro.

Ndio maana mimi nimeshtukia mchezo
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
tabia yako mbaya hujitambui umesimamia wapi na itakugarimu stnd kiasilia acha maisha ya sinema hapa love si kuacha umakini na kufata ujinga nikushape pale penye uzaifu wewe unataka mazaifu acha apate hao masharo wa ukweli na wewe tafuta ndege wa aina yako mruke pamoja hutaki amua nyumbani usilete hapa mabishano
Follow Us Here