Wakuu wa jukwaa heshima kwenu...naomba kukaribia humu, akina Kaunga, Kongosho, PretaThe Boss, Babu Dark City na wengineo mnikaribishe.. lol nahisi nshakaribishwa..Asanteni.
Napenda kutumia nafasi hii kutoa shukrani kwenu wadau wa MMU, kwa uchache tu Kaunga unanivutia sana jinsi unavyochangia mada, Kongosho naipenda Avatar yako..the Boss your such a Gentleman, but pls usiuchakachue huu uzi wangu wa utambulisho, Babu Dc busara zako ni urithi kwa vizazi. Kwaajili ya ugeni wacha niishie hapa.
Asante Kaunga mwaya, na wewe kuanzia leo napinga urafiki na wewe pasipo kupingulua. Sasa hebu niambie jografia ya humu maana naambiwa kuna ukaguzi mara maungamo ndo inakuwaje??
ukaguz upo wa aina nyingi sana,,,,kwanza tunataka kujua mali zako zisizohamishika zipoje?????kubwaaa au ndogo

We Bajabiri tapeli nini?.. mi nimeambiwa mkaguzi ni Asprin au we ni Deputy? halafu unasema mali zangu zisizohamishika zipoje.. hujui huo ni urithi wangu.. hizo ni classified info
Excuse me can I please talk to you for a minute?
Uh huh sure you know you look kinda familiar.
Yeah you do to, but I just wanted to know do you know somebody named?
Oh you know his name.
Oh yeah definitely I know his name.
By Kaunga
Karibu Haven tudumishe mapenzi, tujenge mahusiano na tupinge urafiki (si ku go against, enzi zetu tulivyo kuwa wadogo tulikuwa tunapinga na kupingulua urafiki).
You look familiar, karibu tukuintrodyuzi kwa maungamo na Kaizer. LOL
Excuse me can I please talk to you for a minute?
Uh huh sure you know you look kinda familiar.
Yeah you do to, but I just wanted to know do you know somebody named?
Oh you know his name.
Oh yeah definitely I know his name.
Ahahhah... Kongosho napata hisia kwamba vivyo ni vijembe..lol
Wakuu wa jukwaa heshima kwenu...naomba kukaribia humu, akina Kaunga, Kongosho, PretaThe Boss, Babu Dark City na wengineo mnikaribishe.. lol nahisi nshakaribishwa..Asanteni.
Napenda kutumia nafasi hii kutoa shukrani kwenu wadau wa MMU, kwa uchache tu Kaunga unanivutia sana jinsi unavyochangia mada, Kongosho naipenda Avatar yako..the Boss your such a Gentleman, but pls usiuchakachue huu uzi wangu wa utambulisho, Babu Dc busara zako ni urithi kwa vizazi. Kwaajili ya ugeni wacha niishie hapa.
Uko huru au engaged? Sikuulizi kwa faida yangu lakini kuna vijogoo vinapenda kukaribisha humu!
Follow Us Here