1)murudiane
2) kukudhuru
3) akurudishie vi2 vyako ulivyompa km zawadi
4)akushukuru kwa kuachana nae na pia akutambulishe kwa m2 wake mpya
5)anashida anaomba msaada
kuwa huru useme unapopokea cmu ya ex wako unawaza kipi hapo
1)murudiane
2) kukudhuru
3) akurudishie vi2 vyako ulivyompa km zawadi
4)akushukuru kwa kuachana nae na pia akutambulishe kwa m2 wake mpya
5)anashida anaomba msaada
kuwa huru useme unapopokea cmu ya ex wako unawaza kipi hapo
Kukupa kadi ya Mwaliko wa harusi yake..Lol
Kwenda kupokea malalamiko na masikitiko ili niwe nae tena.
Ameimis nanii
hahaha
kunipotezea muda na hadithi za abunuasi
kama ww ndo ulimwaga ujue anataka alipize
sasa ukatae kwenda au
staki hata kuwaza na staki kujua anataka nini hiyo cm itaita na sms na delete kabla sijasoma asinipotezee mdaa....
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
kuachana na mpenzi wako si kujenga uadui, anaweza akahitaji chochote kati ya uliyataja inategemea na hitaji la mhusika.
Kwe kweli nimefurahi wengne walivyochangia hasa hao waliosema kukumbushiana...hvi km kukumbushiana watafanya hvyo kwa wangapi?huu ni upuuzi ma x wengne si wastaarabu.
yote yanawezekana
Kakumiss!!!!
anatafuta second chance,ila anashindwa kukuambia but anatamani arudishe mazoea na wewe ili kuanza upya
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
Hata cm huwa cpokei ndugu yangu.
Follow Us Here