Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: SEX got me in Trouble.. Please HELP!

    Report Post
    Page 8 of 14 FirstFirst ... 678910 ... LastLast
    Results 141 to 160 of 273
    1. #1
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15464
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Siku zimekuwa zikienda najihisi tofauti tofauti, naona mwili wangu kama haupo kawaida.
      Nikishika tits zangu I feel tender, najiona nimebadilika badilika tu but nashindwa kuelezea.
      Saizi nakula zaidi kuliko kawaida yangu na najikuta nataka utulivu wa mara kwa mara.
      Ndio nimetambua saizi nina mimba. Hio inafanya niwe nina habari mbili mbaya na nzuri.

      Mbaya ni kuwa nina mimba ya mtu ambae sijui atakuwa yupi! Najiuliza baba watoto ni nani kati
      ya wa 5 niliokutana nao katika zile siku za kutikisha mimba ule mwezi wa mwisho ambao niliacha sex rasmi.
      Sina raha, sina amani sabb nataka mtoto ajue baba yake wa kweli ni yupi.
      sina la kufanya ila mimba sitoi! Wangekuwa wote ni waswahili ningejipanga vizuri.
      Tatizo katika hao wa 5 moja mchina, mwingine mzungu watatu waswahili. Wote nilitumia condom,
      kasoro mmoja, nimesahau ni yupi.

      Habari nzuri I am pregnant with twins nilikuwa nawatafuta kwa nguvu zote.
      Bonus ni kuwa najisikia kufanya kila mara. Naomba mnisaidie ushauri pliiiiiz!

      No mwaaaaah! nahisi kuzimia!
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    2. Miaka 50

    3. #141
      Cool Gentleman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 277
      Rep Power : 404
      Likes Received
      113
      Likes Given
      205

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Erotica
      basi utakuwa hujanisoma vizuri. mie sitaki wanaume wote. huwa tu nawahitaji kwa sex mchezo umeisha.

      ninaye mtaka yuko mmoja tu! anajijua. na anajua nampenda. na anajua nipo kwa ajili yake na neno lake amri!
      Kwani huyo Mwanaume wako hakutoshelezi kwa Sex hadi uende kwa wanaume wengine wa Kichina wenye Vibamia? Au mtu wako ni Babu Jinga?

    4. #142
      Kaunga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2010
      Location : Wild wild west
      Posts : 8,419
      Rep Power : 13319
      Likes Received
      7639
      Likes Given
      6909

      Default

      Quote By Kaizer
      Kaunga...............
      Yes Mchungaji!
      Kaizer likes this.

    5. #143
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15464
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Cool Gentleman
      Weeee! Taratibu eeh, familia na Erotica Staki kabisa. File lake nshalichoma mie. Huyo lazima takuwa Mchina na alikuwa mteja wa Kampuni yetu. Aliniuma sikio hakutumia mpira. So Erotica imekula kwake. Twins wa Kichina ni balaa afu na macho yao yaleee na "urefu" wao . . . . asije tu akawaua wanae.

      nilikuona toka huko nyuma kuwa hunipendi. sijui ndio hii pipi yangu? hata sielewi

      siku ya kwanza tu ukasema kuwa mie mtundu na mkorofi, kabla hujapata hata file..

      ww una watoto wawili, kuna ubaya gani mm kuja na wangu wawili? alafu unaniita mchina na hujatest? how come??!
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    6. #144
      Cool Gentleman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 277
      Rep Power : 404
      Likes Received
      113
      Likes Given
      205

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Erotica
      actionz, actionz speak louder than words.... njoo tufinge.

      twenzetu jukwaa la wakubwa. mengine yatafuata.
      Jukwaa la wakubwa la nini wakati wachina wako ulimalizana nao sebuleni? Mi sio member wa jukwaa la wakubwa. Sili kwa macho, nakula kwa mdomo . . . lol

    7. #145
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15464
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Elizabeth Dominic
      Kwanza da Erotica i'm rather disappointed to say the least.....tokea lini gume gume likauza mechi? Pili nilikuwaga nakuona mjanjaje? Nikawa hata natake note from you....leo unaniambia umenasa! Ama kweli! Hayo ya Kaizer tutayajua bidae ngoja tuone tunalimaliza vipi hili janga kama si barka

      shostito, mentato, lovito. i thot u would b hapi for me nimepata mapacha kwa kulala na wa 5 badala

      ya ile crew yote ya watu 20 niliotaja siku ile. nimekuudhi wapi? watoto si baraka jamani

      shorrriiiii. mwaaaaaaaaaaaaah.
      Elizabeth Dominic likes this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    8. FemaTV & Radio

    9. #146
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 10,669
      Rep Power : 21308
      Likes Received
      10026
      Likes Given
      13923

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Kaizer
      Yaani gfsonwin kwa mfyonzo huu, yaani najisikia kama kufa kwa mautamu, ndo maana nikawakumbusha hao kwamba mimi aaaaah......tartiib kabisa sina hali kwako! LOL

      Chezeya gfsonwin ..........
      mwambie kabisa Kaunga na Asprin wajue kuwa umedata mtoto wa kichaga.hapa chumba na varanda kisha wapetwa kama mchele au siyo?
      Kaizer likes this.

    10. #147
      Cool Gentleman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 277
      Rep Power : 404
      Likes Received
      113
      Likes Given
      205

      Default Re: SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Erotica
      nilikuona toka huko nyuma kuwa hunipendi. sijui ndio hii pipi yangu? hata sielewi

      siku ya kwanza tu ukasema kuwa mie mtundu na mkorofi, kabla hujapata hata file..

      ww una watoto wawili, kuna ubaya gani mm kuja na wangu wawili? alafu unaniita mchina na hujatest? how come??!

      Nitarudi nina wageni . . . . ila jua tu namwelewa mtu kwa kumwona, kumsikiliza na kumsoma. lol
      Erotica likes this.

    11. #148
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15464
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Cool Gentleman
      Kwani huyo Mwanaume wako hakutoshelezi kwa Sex hadi uende kwa wanaume wengine wa Kichina wenye Vibamia? Au mtu wako ni Babu Jinga?

      hapa utawasha moto Cool Gentleman. taratiiiiibu. tukana wote but sio mtu wangu.

      ahusiki kabisa na hii habari na usinipatishe ban tafadhali. nipo so serious. ishia hapo! pliiiiiiizi.

      narudia acha kabisa kuhusisha mtu wangu na hii habari. tutaenda kusiko.
      Cool Gentleman likes this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    12. #149
      Kaunga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2010
      Location : Wild wild west
      Posts : 8,419
      Rep Power : 13319
      Likes Received
      7639
      Likes Given
      6909

      Default

      Quote By Erotica
      even me kungwito. was so dissapointed to kno it is another Kaunga. bt no love lost.
      na hawa mapachito nazaa hawa tutakuwa closer and closer. naona raha utamu!
      Yaani twins watapata maauntie na mauncle mpaka basi. I am not jilas dia, ukizingatia hata Kaizer tummshare, but the dude iz something else, l terribly miss maungamo. @gfsowin dear can l ........ just this weekend! LOL
      Kaizer and Erotica like this.

    13. #150
      Elizabeth Dominic's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 7th December 2007
      Posts : 2,729
      Rep Power : 5461
      Likes Received
      1959
      Likes Given
      2652

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Kaunga
      Aisee hapo nilipo highlight, siku hizi anachoshwa na kungwi wako no moja gfsonwin. Mimi nilifanya naye maungamo just once, nikahisi jirani yake Elizabeth Dominic ananizidi speed!
      Kaunga majungu hayajengi..........kusema ukweli siku hizi hali yangu ya kiroho inazidi imarika, maungamo walau mara moja kwa wiki si haba, keep it up Kaizer
      Kaizer and Kaunga like this.
      BE RESPECTED............DEMAND RESPECT

    14. #151
      Petersume's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st June 2012
      Posts : 37
      Rep Power : 355
      Likes Received
      10
      Likes Given
      4

      Default Re: SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      hahaaaaaaaaaaaa usha umia
      Erotica likes this.

    15. #152
      Cool Gentleman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 277
      Rep Power : 404
      Likes Received
      113
      Likes Given
      205

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Erotica
      hapa utawasha moto Cool Gentleman. taratiiiiibu. tukana wote but sio mtu wangu.

      ahusiki kabisa na hii habari na usinipatishe ban tafadhali. nipo so serious. ishia hapo! pliiiiiiizi.

      narudia acha kabisa kuhusisha mtu wangu na hii habari. tutaenda kusiko.

      Basi nimefuta usemi kwa kuwa mimi si mtu wa bifu. Ila iko hivi, yule Mchina mfupi kabisaaaaa mwenye macho ya kusinzia aliniuma sikio kuwa mlikuwa wote na hakutumia protection. Issue ni kuwa Babu Jinga utamwambia nini? Au Mambo ya Bushoke hayo ya "Mke wangu Mwanajeshi?"

    16. #153
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15464
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Cool Gentleman
      Nitarudi nina wageni . . . . ila jua tu namwelewa mtu kwa kumwona, kumsikiliza na kumsoma. lol

      Uko sawa Cool Gentleman, ila i should add to your knowledge.

      'the adv of being smart is u can easily pretend u ar stupid,

      the other way round is so much hard to pretend'
      Kaunga and Cool Gentleman like this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    17. #154
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15464
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Kaunga
      Yaani twins watapata maauntie na mauncle mpaka basi. I am not jilas dia, ukizingatia hata Kaizer tummshare, but the dude iz something else, l terribly miss maungamo. @gfsowin dear can l ........ just this weekend! LOL

      teh teh teh. my love, hivi hujawaelewa hao lavbeds? maungamo yanaruhusiwa.

      usihofu kila kitu kiko vile vile. na hivi nina twins vya kuungama ina mana ni twice as much.
      Kaizer and Kaunga like this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    18. #155
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15464
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Cool Gentleman
      Basi nimefuta usemi kwa kuwa mimi si mtu wa bifu. Ila iko hivi, yule Mchina mfupi kabisaaaaa mwenye macho ya kusinzia aliniuma sikio kuwa mlikuwa wote na hakutumia protection. Issue ni kuwa Babu Jinga utamwambia nini? Au Mambo ya Bushoke hayo ya "Mke wangu Mwanajeshi?"

      ...................... Mods najisikia kuua mtu hapa!
      Kaunga and Cool Gentleman like this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    19. #156
      Cool Gentleman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 277
      Rep Power : 404
      Likes Received
      113
      Likes Given
      205

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Erotica
      ...................... Mods najisikia kuua mtu hapa!

      Watuuu . . . . Weweeeeeeeeee, Uaaaaa, uaaaaaaaa . . . . lol
      Erotica likes this.

    20. #157
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15464
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Cool Gentleman
      Watuuu . . . . Weweeeeeeeeee, Uaaaaa, uaaaaaaaa . . . . lol

      Erotica BANNED untill further notice! she was going to kill Cool Gentleman.
      Cool Gentleman likes this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    21. #158
      Cool Gentleman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2012
      Posts : 277
      Rep Power : 404
      Likes Received
      113
      Likes Given
      205

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Erotica
      Erotica BANNED untill further notice! she was going to kill Cool Gentleman.
      It is not GUN that kills Erotica, it is the KILLER!
      Erotica likes this.

    22. #159
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,068
      Rep Power : 41558
      Likes Received
      5979
      Likes Given
      1050

      Default Re: SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Erotica
      Nimepima Kiranga. hio ni 1st thing nimefanya. am as healthy as a racing horse.

      u should know thou kuwa heart pace has increased jst seeing your galaxy.
      I love a charming temptress, even as I recognize her decadent lewdness and ubiquitous un-ashamedness, and steer clear like a seasoned sage or a geeky griot.
      Banda lishavunjika, jogoo kaondoka. Vifaranga hangaika, kumtoa nyoka.

    23. #160
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15464
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: Breaking News!! SEX got me in Trouble.. Please HELP!

      Quote By Cool Gentleman
      It is not GUN that kills Erotica, it is the KILLER!

      i think i lyk u jst the way u ar. dare to dare Ero. mwaaaaaaaah.
      Cool Gentleman likes this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    24. Study Abroad
    Page 8 of 14 FirstFirst ... 678910 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...