There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.
Re: I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?
Boflo kwanini unamsemea? Ili akuongezee dau? Do you know their marriage problems? Kama hamtimizii mke wake ama na yeye amekuiga Boflo mke afanye nini sasa? Mi sikushauri....mambo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities. Ralph Waldo Emerson
Re: I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?
By Boflo
Her husband is a business man and he is the best man you would ever meet. He’s so good to my family, and he hardly ever raises his voice or gets mad.
You know mellow and calm people? That’s him! I love and respect him like I would my father cos he’s like 8 years older than my sister.
He takes care of his children (they have two) and he gives my sister and me lots of money.......
Imeniuma sana sana kuona anamcheat........
Naomba Ushauri wenu kabla sijamsemea
Muite dada yako umuonye na hiyo tabia. Ukimwambie shemejio inaweza kukuletea matatizo either kati yako na huyo dada yako au pengine hata na huyo shemeji yako pia. Si jambo jema kuingilia sana maisha ya mahusiano ya watu kufikia kumueleza shemejiyo juu ya hilo jambo, unaweza kuhatarisha usalama wa hiyo ndoa yao. Think!
Re: I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?
Mimi mwenyewe nisingejua cha kufanya in such situation, kumsemea dada ako si busara pia naona kama kumsema/mkanya pia si rahisi...................mimi uwaga naamuaga kukaa nayo kifuani, aisee nitakufa na siri nyingi.......lol
Re: I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?
advice your sister to stop cheating. talk to her without being judgmental and see what happens. If she is stubborn then make it so that the husband finds out without being too obvious
Re: I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?
Eti ukamsemehe, halafu akiachwa ndo uingie wewe?
Damu nzito kuliko maji ongea na dada yako ukitaka na uwe na heshima maana hujui ndoa yake ikoje.
Duh yaani wewe ni wivu au nini? Eti ukamwambie shemeji yako sababu ya msaada anaotoa kwenye familia yenu, acha tamaa kweli maisha magumu hadi unataka kumgeuka nduguyo duh.
Haumpendi dada yako wewe, na ujue shemeji sio ndugu yenu, pia utashangaa na yeye analala nje kwani humjui kihivyo. OK?
Re: I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?
utasema kwa sababu shemeji ndio provider? na kama dadako je ndo angekua nazo ungesema kwa shemeji? au unamtaka wewe? kama utasema halafu iweje? TAFAKARI kabla ya kuchukua hatua, je dadako anapata haki yake ya ndoa huko chumbani kwao ama we unajali mafweza tu kutoka kwa bwana shemeji? Kua uyaone!
Re: I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?
By Kaunga
Sema na dada yako!
Utaanzaje? Unajua dada yako wapi anataka kufikishwa na hafiki? Au jamaa ndiye mwenye tatizo utafanya nini? Ndoa ni ngumu sana kuliko mpambano wa ngumi za kulipwa...wengine watasema mwisho wa siku ni watu wawili wenye maamuzi
Re: I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?
By Elizabeth Dominic
Mimi mwenyewe nisingejua cha kufanya in such situation, kumsemea dada ako si busara pia naona kama kumsema/mkanya pia si rahisi...................mimi uwaga naamuaga kukaa nayo kifuani, aisee nitakufa na siri nyingi.......lol
Ni kweli Elizabeth Dominic kuwa saa nyingine ni ngumu kujua cha kufanya. Ila kuna usemi usemao za mwizi ni arobaini, sasa unaweza kukaa kimya ukijua kuwa ndiyo umesolve tatizo halafu huyo dadako akaja kubambwa na kupewa kipigo kibaya plus talaka wakati still ulikuwa na nafasi ya kumshauri mapema kuiponya ndoa yao...
Ninachofikiri kumshauri si kitu kibaya, tatizo huwa ni namna gani unautumia mdomo wako kumshauri ili asijione amedharauliwa au kuumbuliwa. Suala la kuacha au kutokuacha hayo ni maamuzi yake mwenyewe, ila wewe utakuwa umetimiza wajibu wako mwema kwa ndugu yako!
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
Re: I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?
Boflo kwanza usimwambie shemeji yako chchote kile manake usitake kuitwa adui badala ya rafiki. Pia siku zote usitie fitina kwa heri wala kwa shari na wala usijegeuka mwiba kwenye ndoa ya dada yako.
Madhara ya kusema ni makubwa kuliko ya kukaa kimya wenye situation kama hiyo, na wala wewe haikupi credit yeyote manake kama huyo mume ataamua kuona dada yako hana maana ni pamoja na wee na ukoo wenu wote.Mwanaume mwingine akikasirika huweza kusema kama ukoo wenu wote malaya nyie............sasa hapa hujatukanwa na wewe?
ni afadhali aje agndue yeye mwenyewe shemeji kuwa anasaltiwa kuliko wee kumwambia. Pia kama una hekima sana sema na dada yako and kama huna pia basi itaongezeka sana pale utakapo kaa kimya kama vile unanyolewa nywele.
Re: I Caught My Sister Cheating On Her Husband: Can I Tell Him?
By The Boss
hujapata dada mwehu wewe
unaenda kusema....anafanikiwa kusamehewa na mumewe
anakufuata anakutukana hadi basi. utakuja kuambiwa upewe wewe kitumbua kama inakuuma kikipelekwa nje
mbona mwenyewe haimuumi?
na ataanza fitna kwa mumewe hizo pesa unazopewa utazisikia kwenye radio....
hebu tafuta mke na njia za kuongeza kipato aisee
hii noma sasa.....nipewe mimi kitumbua!!!
There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.
Follow Us Here