JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Raha ya ndoa NI NINI?

  Report Post
  Page 5 of 9 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
  Results 81 to 100 of 167
  1. gfsonwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2012
   Posts : 14,868
   Rep Power : 263553721
   Likes Received
   14317
   Likes Given
   19140

   Default Raha ya ndoa NI NINI?

   Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima.

   haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini?

   je ni mchezo wa matusi tu,
   au ni kuish na mtu umpendaye tu
   au ni kuwa na familia tu
   au ni nini?

   hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa.
   Asprin, figganigga, mito and 1 others like this.


  2. cacico's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2012
   Location : DSM
   Posts : 8,280
   Rep Power : 94750
   Likes Received
   7526
   Likes Given
   5901

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By gfsonwin View Post
   cacico ma dear umenipa majibu yenye maswali tena hivi kwani wanao wakitimiziwa mahitaji na shangazi au wajomba je itatimiza raha yako? inamaana siku ambayo mumeo hana amani basi kwako raha ya ndoa hakuna?
   shangazi hawezi gfsonwin kutimiza mahitaji ya wanagu pasee, labda tu part of it! na ukweli kabisa mume wangu akiwa hana amani raha ya ndoa nitaipataje?? maana amani yake ndio inafanya mtwangio uwe imara na uweze kutwanga barabara! lakini kama amani imepotea atatwangaje sasa?? cha kwanza huwa ninahakikisha kipo ili atwange barabara kwenye kinu changu ni AMANI KWANZA! LOL!
   gfsonwin likes this.
   "the problem is not me! the problem is you understading me!"

  3. Asprin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2008
   Location : Psychiatric Ward
   Posts : 36,042
   Rep Power : 112937068
   Likes Received
   23347
   Likes Given
   28081

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By Bishanga View Post
   Ulifurahi eh?
   Halafu nimekusoma sana post zako zote kwenye hii thread, trend ya post zako inaonyesha umedata mahali na una plan kum cheat mzee,be careful mapenzini kikohozi.........
   Mkuu Bishanga, kuna sehemu yoyote gfsonwin amekanusha hii kauli yako? hebu nipe link kama ipo....
   Kongosho and Yummy like this.
   ....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....

  4. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 21,921
   Rep Power : 171830407
   Likes Received
   10137
   Likes Given
   8497

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   @kongosho hebu mpige biti mapemaaaaaa huyo, Asprin ni wangu, Yummy peke yake ndo anaruhusiwa kumrembulia macho.....
   ila hiyo style unayomfundisha mwenzio hala hala asitegue kiuno....

   Quote By Kongosho View Post
   Huyo unayemuomba kishaibiwa na BADILI TABIA
   Ila ukimvibreti sana huwa anaweweseka, atashindwa hata kula.

   Kaizer kwa kweli mwachie AshaDii, karibu kwa Babu ODM kiboko wa wajukuu watukutu.

   Afu na mie nitakufundisha teknik moja inaitwa 'Ching Chong' ila masharti yake unampa mara moja kwa miaka 2 au mitatu.
   maana hii ndo huitumia kununuliwa vits au nyumba, ukiitumia mara kwa mara anafilisika unakuwa kama unakula mtaji wa baishara yako.
   Ila sasa wanalia hao ukiwawekea hii??? Usisahau ear plug
   Asprin, Kongosho and Yummy like this.
   "whoever wins the war gets to write the history"

  5. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 21,921
   Rep Power : 171830407
   Likes Received
   10137
   Likes Given
   8497

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   hahhahahah nitamfundisha tu.....
   ila ujue Asprin ni mtaalam? ooooh

   Quote By gfsonwin View Post
   dah! aisee hii nifundishe nataka nihame kutoka kwenye kuendesha ka vits alikohonga Kaizer niendeshe xtrail sasa lolz!

   kumbe Asprin hakuna kitu lol! nisije nikaua bure? sasa babu Darkcity atanimudukweli manake nataka launch naye hii "ching chong". najua ataachia ka xtrail. mwambie BADILI TABIA amfundishe Asprin ile staili ya mfyonzo. iyo nayo ni kiboko ya matatizo.
   Asprin and Kongosho like this.
   "whoever wins the war gets to write the history"

  6. Asprin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2008
   Location : Psychiatric Ward
   Posts : 36,042
   Rep Power : 112937068
   Likes Received
   23347
   Likes Given
   28081

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By BADILI TABIA View Post
   @kongosho hebu mpige biti mapemaaaaaa huyo, Asprin ni wangu, Yummy peke yake ndo anaruhusiwa kumrembulia macho.....
   ila hiyo style unayomfundisha mwenzio hala hala asitegue kiuno....
   Hivi my love, bado watu hawaamini eh?

   Quote By BADILI TABIA View Post
   hahhahahah nitamfundisha tu.....
   ila ujue Asprin ni mtaalam? ooooh
   Hivi kile ulichonifundisha jana ulisema kinaitwa "Chura kajamba" au "Chuchumaa ukamue?" Nshasahau mwenzio... Ila ile ya "Rais mapumzikoni" ulinikosha sana BADILI TABIA. Sitokuacha asilani.
   Kongosho and BADILI TABIA like this.
   ....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....


  7. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 21,921
   Rep Power : 171830407
   Likes Received
   10137
   Likes Given
   8497

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   ile chura kachuhumaa, leo nitakupa tena "raisi mapumzikoni" ili uzidi kuinjoy tena, kesho nitakubadilishia mpenzi wangu.......
   Quote By Asprin View Post
   Hivi my love, bado watu hawaamini eh?

   Hivi kile ulichonifundisha jana ulisema kinaitwa "Chura kajamba" au "Chuchumaa ukamue?" Nshasahau mwenzio... Ila ile ya "Rais mapumzikoni" ulinikosha sana BADILI TABIA. Sitokuacha asilani.
   Asprin likes this.
   "whoever wins the war gets to write the history"

  8. Asprin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2008
   Location : Psychiatric Ward
   Posts : 36,042
   Rep Power : 112937068
   Likes Received
   23347
   Likes Given
   28081

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By BADILI TABIA View Post
   ile chura kachuhumaa, leo nitakupa tena "raisi mapumzikoni" ili uzidi kuinjoy tena, kesho nitakubadilishia mpenzi wangu.......
   Ndo maana penzi langu kwako nimeamua kuliweka kifuani mwako BADILI TABIA....

   Last edited by Asprin; 20th June 2012 at 12:31.
   ....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....

  9. umaskiry74's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 7th April 2012
   Location : Pemba
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By Litty View Post
   Sijaona raha yoyote ya ndoa zaidi ya kufurahia watoto wangu. Mengine yote kwangu hakuna cha raha wala nini! Kawaida tu.


   Hata mimi, zaidi ya hao watoto sijaona chengine, huku uwarabuni kumezidi, wanaume vituko hawasemeki

  10. Kongosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2011
   Location : Location loading...
   Posts : 35,997
   Rep Power : 138795783
   Likes Received
   23095
   Likes Given
   22981

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Ha ha ha ha ha ha, BAbu Dark City ana uwezo wa kununua hata V8
   Tatizo lake huwa anaumwa mgongo lazima wende naye kwa step sana.

   Hapo red 'no comment'
   Hii unaweza itumia wakati unataka kufupisha safari lol, dk moja tu huyo kwisha habari yake.
   Wee kweli umepinda

   Quote By gfsonwin View Post
   dah! aisee hii nifundishe nataka nihame kutoka kwenye kuendesha ka vits alikohonga Kaizer niendeshe xtrail sasa lolz!

   kumbe Asprin hakuna kitu lol! nisije nikaua bure? sasa babu Darkcity atanimudukweli manake nataka launch naye hii "ching chong". najua ataachia ka xtrail. mwambie BADILI TABIA amfundishe Asprin ile staili ya mfyonzo. iyo nayo ni kiboko ya matatizo.
   Asprin and gfsonwin like this.
   Dont study me, you won't graduate!!!

  11. gfsonwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2012
   Posts : 14,868
   Rep Power : 263553721
   Likes Received
   14317
   Likes Given
   19140

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By Asprin View Post
   Mkuu Bishanga, kuna sehemu yoyote gfsonwin amekanusha hii kauli yako? hebu nipe link kama ipo....
   naomba niikanushie hapa lol jamani nalea kachanga ka miezi 5 tu? sichakachui manake naona kama Asprin na Bishanga mnanitolea udenda bure. miye bikira wa kikoa. hujui hilo mwambie Zinduna akutafsirie
   Asprin likes this.

  12. Asprin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2008
   Location : Psychiatric Ward
   Posts : 36,042
   Rep Power : 112937068
   Likes Received
   23347
   Likes Given
   28081

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By gfsonwin View Post
   naomba niikanushie hapa lol jamani nalea kachanga ka miezi 5 tu? sichakachui manake naona kama Asprin na Bishanga mnanitolea udenda bure. miye bikira wa kikoa. hujui hilo mwambie Zinduna akutafsirie
   Ungekuwa hulei?
   BADILI TABIA likes this.
   ....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....

  13. gfsonwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2012
   Posts : 14,868
   Rep Power : 263553721
   Likes Received
   14317
   Likes Given
   19140

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By Kongosho View Post
   Ha ha ha ha ha ha, BAbu Dark City ana uwezo wa kununua hata V8
   Tatizo lake huwa anaumwa mgongo lazima wende naye kwa step sana.

   Hapo red 'no comment'
   Hii unaweza itumia wakati unataka kufupisha safari lol, dk moja tu huyo kwisha habari yake.
   Wee kweli umepinda
   Kongosho haya ni maisha rafiki so sometimes lazima uwe mtu wa kuchat tu humu jf kuongeza uwezo wa kupambanua mambo na kuosha akili. ukijidai mnoko wa maisha utajicomitia suisaidi mapemaa kama wengine bwana kwa raha zako jiachie.
   Kongosho likes this.

  14. gfsonwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2012
   Posts : 14,868
   Rep Power : 263553721
   Likes Received
   14317
   Likes Given
   19140

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By BADILI TABIA View Post
   hahhahahah nitamfundisha tu.....
   ila ujue Asprin ni mtaalam? ooooh
   huyu sijui kama anaijua staili ya mfyonzo muulize Kaizer hii ni funga kazi kuliko zote. huyu Asprin akiigundua tu umeisha ma dia itabidi uanze kupiga chupa za wine ili kujinyegeza. ni noma
   Asprin and BADILI TABIA like this.

  15. gfsonwin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2012
   Posts : 14,868
   Rep Power : 263553721
   Likes Received
   14317
   Likes Given
   19140

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By Asprin View Post
   Ungekuwa hulei?
   ule imetumika kama kielezi kuelezea kuwa kucheat kwangu ni kitu ambacho siwez hata kukiwaza kwasasa. so ondoa shaka. au unataka nikwambie nitakupa bynite moja uone shemejio anafaidi je? omba ruhusa kwanza kwa mkeo na mahawara zako wote kwa maandishi na waweke sahihi sitaki kesi kisha nenda kwa dr maprucino akupime magonjwa yote hatarish hasa bp na kisukari ili usije ukanifia kisha kata bima kabisa ndipo uje kwangu.
   Asprin and Yummy like this.

  16. Yummy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th September 2011
   Posts : 1,793
   Rep Power : 2000
   Likes Received
   1300
   Likes Given
   1004

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By Bishanga View Post
   Ulifurahi eh?
   Halafu nimekusoma sana post zako zote kwenye hii thread,trend ya post zako inaonyesha umedata mahali na una plan kum cheat mzee,be careful mapenzi ni kikohozi.........
   Nilitaka kusema hivi hivi...... gfsonwin hapa hata huwezi kukanusha kabisaaaa maana huo mtiririko wako nilivoufatilia kuna uwalakini!!!
   Asprin likes this.
   God can heal a broken heart but you have to give him all the pieces.

  17. Yummy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th September 2011
   Posts : 1,793
   Rep Power : 2000
   Likes Received
   1300
   Likes Given
   1004

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By BADILI TABIA View Post
   @kongosho hebu mpige biti mapemaaaaaa huyo, Asprin ni wangu, Yummy peke yake ndo anaruhusiwa kumrembulia macho.....
   ila hiyo style unayomfundisha mwenzio hala hala asitegue kiuno....
   BADILI TABIA funguka mpendwa hilo tu?????
   Kongosho likes this.
   God can heal a broken heart but you have to give him all the pieces.

  18. Asprin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2008
   Location : Psychiatric Ward
   Posts : 36,042
   Rep Power : 112937068
   Likes Received
   23347
   Likes Given
   28081

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By Yummy View Post
   Nilitaka kusema hivi hivi...... gfsonwin hapa hata huwezi kukanusha kabisaaaa maana huo mtiririko wako nilivoufatilia kuna uwalakini!!!
   Na wewe Yummy unafanya nini huku jukwaa la wakubwa?
   Kongosho likes this.
   ....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....

  19. Asprin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2008
   Location : Psychiatric Ward
   Posts : 36,042
   Rep Power : 112937068
   Likes Received
   23347
   Likes Given
   28081

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By gfsonwin View Post
   huyu sijui kama anaijua staili ya mfyonzo muulize Kaizer hii ni funga kazi kuliko zote. huyu Asprin akiigundua tu umeisha ma dia itabidi uanze kupiga chupa za wine ili kujinyegeza. ni noma
   Wala usiwe na shaka BADILI TABIA nimempendea mengi, ngono ni kimalizio tu lol hata style ya death of cockroach sie twende kazi..... ili mradi miguuye ikae mabegani mwangu...khaa!!
   Kongosho and gfsonwin like this.
   ....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....

  20. MBOMBO's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : Dar
   Posts : 37
   Rep Power : 586
   Likes Received
   11
   Likes Given
   1

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   [QUOTE=Litty;4077796]Sijaona raha yoyote ya ndoa zaidi ya kufurahia watoto wangu. Mengine yote kwangu hakuna cha raha wala nini! Kawaida tu.

   Nafkiri na naamini raha ya ndoa ni matokeo ya jinsi wenye hiyo ndoa wanavyoishi, maana furaha ni matokeo\matunda yanayopatikana baada ya hatua\kitendo fulani. Vitu mtakavyofanya katika ndoa kama vitakufanya ujione UMEPIGA HATUA FULANI kwa sababu UPO NA MWENZAKO, na hatua hiyo HAINGEWEZEKANA kama ungekua pekeyako, hiyo ni raha ya wewe kua kwenye ndoa. Watoto ni MATUNDA mojawapo ya NDOA, japo ndoa ipo BILA WATOTO kuwepo; kwa maana NDOA NI MAKUBALIANO YA KUISHI PAMOJA MKE NA MUME wenye umri unaotambulika kisheria kwa hatua hii.

   Sasa furaha au kukosekana kwayo apa ni JUKUMU la wenye AGANO hilo

  21. Rada's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 29th February 2012
   Posts : 123
   Rep Power : 486
   Likes Received
   40
   Likes Given
   13

   Default Re: Raha ya ndoa NI NINI?

   Quote By The Boss View Post
   raha ya ndoa ni pale uko na mtu na u feel 'home'...
   na asipokuwepo u feel 'something is missing'...
   Sasa Boss hivi si unaweza kuvipata hata kama hujaoa/olewa?
   The Boss likes this.


  Page 5 of 9 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...