Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

    Report Post
    Page 8 of 18 FirstFirst ... 678910 ... LastLast
    Results 141 to 160 of 354
    1. #1
      NGOSWE.120's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 9th July 2011
      Location : KAZINI
      Posts : 134
      Rep Power : 424
      Likes Received
      57
      Likes Given
      276

      Default Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Ndugu zangu wana JF,

      Mke wangu ni mwalimu wa sec, ana mtoto mdogo wa miezi 6, toka ajifungue vituko vilikuwa haviishi....kuninunia daily sometimes hadi 3 weeks or mwezi. Nilipoona mambo yanazidi nilimrudisha kwao kwa muda kama wa mwezi mmoja hivi kwa sababu alikuwa ana maternity leave. Hata hivyo nilijua huenda postnatal period ndio inamfanya awe vile hivyo kwangu nikaona ni busara kuwa mpole ili kuepusha shari.

      Aliporudi kutoka kwao tuliishi kwa maelewano mazuri kwa muda wa wiki moja tu, then yakarudi yale yale...ful mnuno kwangu lakini stori nyingi tu kwa mashost zake na majirani.

      Mke wangu anafundisha kibaha, na tulikuwa tunaishi sote Dar sababu ndiko nilikojenga kibanda chetu cha kuishi na pia mimi ndiko ninakofanyia kazi. Mwezi uliopita nilishangaa mke wangu kuniambia kuwa yeye anataka kuhamia kibaha ili awe karibu na kituo cha kazi, pili ili aweze kupunguza gharama za usafiri za kila siku. Ikumbukwe kuwa ameanza kazi toka February 2011 na mimi siulizii mshahara wake anafanyia nini yeye ndiye ajuaye....but baada ya hoja yake hiyo nikajiuliza apunguze gharama za nauli....? je hela anafanyia nini? sikutaka ugomvi nikamruhusu lakini nikamuuliza vipi kuhusu maandalizi akasema kila kitu kipo sawa...chumba, kitanda+godoro na mahitaji mengine yote.

      Ameondoka tarehe 04 June kuhamia kibaha, nikamwambia nitampeleka na gari hadi kibaha alikataa kata kata na kusema nimuache tu ubungo atapanda bus. Pia aka-haidi weekend atarudi lakini hakurudi na bila kutoa sababu. Ijumaa ya juzi amerudi home but still hakuwa mchangamfu, pia kuonekana kama ana chuki nami.

      Kwa kuwa ni muda mrefu sijapata unyumba na yeye ndio mke wangu usiku wa kuamkia leo nikaomba haki yangu,.....WANA JF HAMUWEZI KUAMINI LAKINI NAWAAMBIA UKWELI....Nimekuta ikulu ya mke wangu imetumika kiasi cha kutosha saana hadi kiasi kwamba nilipatwa na mshangao wa ajabu....hiyo ilikuwa round ya kwanza, nilipojaribu ya pili...nilishindwa kumaliza game...coz sio K bali ni hatari. NILIUMIA SANA.

      Toka saa 8.30 usiku sijalala hadi saa 10.30 usiku/alfajiri, niliamua kumuuliza tena kwa upole huku nimemkumbatia....kuwa huko kibaha ana wanaume ana-do nao!Alikataa kata kata....but alipoona naongea kwa upole sana akaingia kingi na kusena ndio anakiri ...lakini ni mwanaume mmoja tu ndio anatembea nae lakini sio wengi. Nikahoji ni nani huyo? nikaambiwa ni mfanyabiashara, anakaa kimara baruti, mmeanza toka lini mahusiano yenu....akasema toka...mwezi uliopita, mlifahamiana wapi.....tulifahamiana kwenye bus wakati naenda kazini.

      Baada ya hapo akaanza kuliaaa.....na kusema anaomba nimsamehe!Nikamuuliza uliomba ruhusa ya kuhamia kibaha ili uwe huru? Je umekosa nini kwangu au mimi nilikuwa sikutoshelezi? akajibu hapana!

      ......WANA JF am so sorry kwa maelezo marefu but nimechanganyikiwa na simuelewi mke wangu. Anataka nimsamehe, but kabla sijachukua maamuzi nimeona ni vema niwashirikishe nyie ndugu zangu ili niweze kujiridhisha kwa uamuzi nitakao uchukua baada ya kupata maoni yenu.

      NARUDIA TENA.....SAMAHANI KAMA MTAKWAZIKA KWA KUSOMA MAELEZO MAREFU...!

      UPDATES

      1. mke wangu ana miaka 32 na wala sio mtoto wa under 20!
      2. UKIWA MAKINI NA MKEO/MPENZI WAKO NI RAHISI SANA KUJUA KAMA K IMETUMIKA....believe my words plse.


      @ NGOSWE.120


      Last edited by NGOSWE.120; 18th June 2012 at 21:47. Reason: updating
      BAK, Asprin, Sniper and 24 others like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #141
      Rogie's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd November 2010
      Location : Darul Islamia
      Posts : 1,917
      Rep Power : 1146
      Likes Received
      485
      Likes Given
      334

      Default

      Quote By Eliphaz the Temanite
      Huo ni mtihani mkubwa! Mwanamke anatembea na Mfanyabiashara huo ni mtandao ambao hatima yake ni Ngoma ni kifo! Kwa vile ameamua kusema ukweli huenda bila kushurutiswa may be anaweza kuwa amejutia kile alichofanya, nenda ukapime kabla hamjaendelea na mambo mengine angalia mwenendo wake kwa kipindi hiki LAKINI HAKIKISHA HICHO KI NYUMBA KIDOGO CHA KIBAHA KINAKOMA MARA MOJA!!!!
      uko sahihi..hawa wafanyabiashara sio wa kuwaamini kabisa aise..

    4. #142
      nemic4u's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th April 2011
      Posts : 159
      Rep Power : 443
      Likes Received
      78
      Likes Given
      293

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By Mbu
      ....kaka, unajua wakati unakula kiapo cha ndoa...kuna kipengele uliulizwa "unakubali kumuoa kwa shida na raha"..... ....kitendo cha wewe kushindwa kumstahmilia "shida." Mpaka ukaamua kumpeleka "ukweni" tayari ulishazua mazingira ya kushindwa kutekeleza kiapo chako cha ndoa. ....wewe ulichangia yeye kujiskia mpweke, na kujiskia hana thamani kwako. Nakuomba zingatia kwamba mpaka yeye afikie hayo, kuna mengine mengi umechangia. Msamehe mkeo, muweke karibu akueleze shida ni nini. Wewe umeumia tangu saa nane mpaka saa kumi, yeye alikuwa anakosa raha siku, wiki na miezi.....mpaka ulipoamua kumuuliza "kulikoni" ..... Msamehe, mfungue kurasa mpya wa maisha. Ila, jipimeni kama hamjaathirika na STD au hata HIV ...
      Bora hata Mbu umeliona hilo maana, sometimes( not all the times) wanawake wengi wanaotoka nje ya ndoa zao sababu kubwa huwa ni kulipiza kisasi ,unakutwa keshatendwa vya kutosha na mumewe kavumilia wee mpaka akachoka na yanini kujipa shida ilhali kuna watu wanampenda huko nje anaona bora akasuuze roho yake kidogo! Cha msingi huyu kaka ni kukaa chini na kuangalia wapi penye mapungufu wayamalize mana kuna uwezekano mkubwa u hata yeye huwa anatoka nje ya mahusiono yao!
      nyumba kubwa likes this.
      Empty mind is the devil's workshop

    5. #143
      Kaizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th September 2008
      Posts : 14,061
      Rep Power : 21908
      Likes Received
      7050
      Likes Given
      7867

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Kichwa kinaniuma. NGoja nilale kidogo.
      Roulette likes this.
      "Bunduki bila risasi yaua namna gani"
      Email: [email protected]

    6. #144
      nyumba kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 4,047
      Rep Power : 2305
      Likes Received
      2874
      Likes Given
      3980

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Mimi nimeshindwa hata kushangaa? Una uhakika mtoto huyo wa miezi sita ni wako au wa huyo jamaa? Maana sisi wanawake tunavyoweka kipaumbele kwa watoto iweje yeye achiti huku ananyonyesha? Alikuwa haoni kuwa anaweza kwaa HIV na kumwambukiza mtoto??

      Sina cha kukushauri maana mwanamke anachiti si kwa mhemko ni kwa sababu; cheating ni kama 'tip of the iceberg'. Anaweza kweli kuchiti na huku anakupenda? Na kama penzi limeisha, je mnaweza lirudisha? Au ulimchiti akiwa na mimba na yeye ameamua kulipiza kisasi; there must be a reason si mhemko, aweje na mhemko wakati wewe upo?



      Quote By georgeallen
      Mke wa ndoa mwenye mtoto wa miezi 6 hawezi kusamehewa kosa la hilo alilokiri mwenyewe kwa kinywa chake. Alichofanya hakisameheki, ni dharau na uamuzi sahihi ni kumuacha tu.
      Nguruvi3 and nemic4u like this.

    7. #145
      mdoe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : Tz... sweet home
      Posts : 407
      Rep Power : 606
      Likes Received
      81
      Likes Given
      46

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Cheater!!!!??? Haina kusamehe! Never do that! Huwezi beba gunia la miiba! Utajiumiza bure! Ashakushusha thamani, kwa kusema samahani na kulia lia, itakurudishia hadhi yako? Uliza, wanaosema usamehe, yangewakuta wao wangapi wangesamehe? Usidanganyike! Sepa!
      NGOSWE.120 likes this.

    8. Miaka 50

    9. #146
      Sabry001's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2011
      Location : everywhere
      Posts : 968
      Rep Power : 609
      Likes Received
      288
      Likes Given
      199

      Default

      Quote By EJL
      Pole sana ndugu,
      Hizo ndizo changamoto za mahusiano. Najua hapa kila mmoja atashauri la kwake lakini wewe ndiye unayepaswa kutafakari na kufanya uamuzi unaoona ni wa faida kwako, mwanao na mkeo. Pamoja na faida uamuzi huo ukuwezeshe kupata suluhisho la kudumu. Binafsi nakushauri ufanya haya:

      1. Zungumza na mkeo; kwa kuwa amekiri kosa na kuomba msamaha ahame Kibaha na arudi home (Dar). Mara nyingi kuishi mbali na mwenzi kuna vishawishi vingi sana. Hili mnalifanya kutokana na kuwa dalili zimejionesha wazi kuwa kua udhaifu. Kuishi pamoja kutakuondolea wasiwasi wa kuwa "huenda anakusailiti" pindi akiwa Kibaha.

      2. Mkiwa na mkeo fanyeni ibada ya toba kwa pamoja (kama mtaona vema mnaweza kumshirikisha kiongozi wenu wa dini)
      Binafsi ninaamini kuwa ni Mungu pekee aletaye msamaha wa dhati na ujasiri wa kushinda dhambi.

      3. Ni vema mkashauriana na mkeo mkaenda kupata ushauri na kupima VVU ; utaniuliza why? Kupima VVU hakuna maana kuwa baada ya kukuta majibu tofauti na matakwa yenu muachane, la! Kupima kutawawezesha kufahamu hali yenu ya maambukizo na kuamua ni kwa namna gani mtaishi bila kuambukizana na kama wote mko salama kufahamu namna gani mtaishi bila kupata maambukizi.


      4. Fanya utaratibu wa mkeo kupata kituo cha kazi hapo Dar; najua itachukua muda lakini ni vema kushughulikia uhamisho huo.

      Hili la mwisho ni ushauri kwako; si vema sana kuanika madhaifu ya mwenzanko hadharani. ninaposema hadharani naamanisha mahali kama jukwaa hili. Ni rahisi kudhani hakuna anayekufahamu kwa kuwa wengi tunatumia majina bandia; ukweli ni kuwa yamkini wawili watatu wanakufahamu na huenda wakamfahamu hata mkeo. Unaongeza watu wa kumdharau mkeo na kutomuamini. Najua haya ni maumivu makali sana; lakini ni vema kuwashirikisha aidha wadhamini wenu wa ndoa, kiongozi wa dini au wazazi (kama unaona vema na unawaamini watakushauri vema); kinyume cha hapo mara zote jaribuni kumaliza tofauti zenu kwa kutafuta suluhisho ninyi wenyewe!

      mchana mwema


      EJL
      Umemshauri vizuri sana huyu mtu, hasa la kumuanika mkewe hapa jamvini! Ndoa yao imekuwa na nyufa toka wanaoana, akiwa mjamzito na sasa ameshajifungua na hatua zote jamaa anaanikaga hapa jamvini na kila kitokeacho. I thnk the guy has played a great role kuufikisha unyumba wake hapo ulipo kwani Huwa nahsi jamaa ni immature au mtoto wa mama sana kwani malalamishi yake juu ya ndoa yanakera kweli na ni ya kila siku na humlaum mkewe tu bila kufikiria pande ya pili amecheza role gani mpaka mambo yakawa km yalivyo. Am sory 4 that lady and ths guy too cuz walioana hawapendani, wamebaki wanatesana tu. Ebu Kina baba wa humu..Bishanga, Mtambuzi, Aspirin na wengneo wenye busara mvuteni mwenzenu chemba mpeni ushauri wa kiume manake ameshapotea, amepoteza mwelekeo, hana tumaini na mkicheza anaweza jidhuru! Msaidieni mawazo maana dhuu...!

    10. #147
      Sabry001's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2011
      Location : everywhere
      Posts : 968
      Rep Power : 609
      Likes Received
      288
      Likes Given
      199

      Default

      Quote By Nyani Ngabu
      Wewe umejiunga "4th March 2012"

      Sasa umejuaje kama nimebadili msimamo? Majina yako mengine ni yapi?
      teh Nyani Ngabu umemkamata mwizi wa id? Teh! Aseme majina yake yote bhana

    11. #148
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,253
      Rep Power : 31391
      Likes Received
      9620
      Likes Given
      685

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By nyumba kubwa
      Sina cha kukushauri maana mwanamke anachiti si kwa mhemko ni kwa sababu; cheating ni kama 'tip of the iceberg'. Anaweza kweli kuchiti na huku anakupenda? Na kama penzi limeisha, je mnaweza lirudisha? Au ulimchiti akiwa na mimba na yeye ameamua kulipiza kisasi; there must be a reason si mhemko, aweje na mhemko wakati wewe upo?
      Hizi ndizo talalila nisizozikubali mimi. Kwani mhemko siyo sababu? Au sababu ni nini?

      Na kusema kwamba "mwanamke anachiti si kwa mhemko ni kwa sababu" ni sweeping generalization ambayo pia ni dhana potofu.

      Mtu unaposema hivyo ni kana kwamba wanawake wote hapa duniani wamekuambia na kukuthibitishia hivyo na wakakuteua wewe uwe msemaji wao jambo ambalo haliwezekani.

      Wapo wanawake wengi tu ambao wanacheat kwa sababu tu ya kuvutiwa na hao wanaume wanaocheat nao. Wapo wanawake ambao wanacheat kwa sababu wana 'loose morals'. Kwa ujumla sababu zinazopelekea wanawake kucheat ni nyingi na "mhemko" ikiwa ni mojawapo.

      Wanaume msibweteke na kuikubali hii dhana potofu. Inapotosha.
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    12. #149
      Mrembo by Nature's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2011
      Location : Ullentoppen
      Posts : 2,410
      Rep Power : 8912
      Likes Received
      1251
      Likes Given
      1416

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Ukimegewa mkeo na wewe tafuta mnyonge ummegee wake (source Mwana FA)......utashusha hasira

    13. #150
      MKUU WA KAYA's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th April 2012
      Posts : 189
      Rep Power : 395
      Likes Received
      48
      Likes Given
      45

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Ni kweli GALIMA Jamaa alikuwa mpole sana ,hawa wanawake wa siku hizi ukiwa mpole sana watakuita shost then utasaidiwa majukumu mengine kama Unyumba.Mimi mwenzenu jana usiku Nimemchapa makofi my wife maana alileta ushost na mimi siko kivile ,Mwanaume lazima ujipambanue nyumbani kwako Maana wewe ndio Commanda in chief sasa kama mke anahama tena anakwambia kila kitu kipo sawa unakubali tu bila kufikiri kuhoji na kutafutia majibu wakati unajua tabia ya mkeo haikuwa sawa ,hapo ulikosea sana Bro.Kumbuka hawa wakina mama inatakiwa tuishi nao kwa akiri sana .na ndio maana wakati mwingine lazima uwe mkali kama pilipili lakini unaongeza hamu ya kula .Think twice uamuzi ni wako !

    14. #151
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,515
      Rep Power : 19751
      Likes Received
      5444
      Likes Given
      3640

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Hili hii mada iwe nzuri, nina appointment na mke wa mtu jioni hii, nitarudi hapa kutoa ushuhuda hasa ni kwa nini hawa Wanawake huwa wanatuonjesha na sisi hata baada ya kuolewa.

      Nitarudi hapa usiku na nitajitahidi nielewe mawili matatu ni kwa nini jioni hii asijoin familia yake na ananihitaji mimi instead.
      Kaizer likes this.
      Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.

    15. #152
      Chokochoko's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th October 2011
      Posts : 134
      Rep Power : 410
      Likes Received
      16
      Likes Given
      3

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      ngoswe usikasirike umesaidiwa, shukuru

    16. #153
      Biohazard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,366
      Rep Power : 991
      Likes Received
      308
      Likes Given
      210

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Mie nimeblow na nimeshindwa kukushauri..... Kama hujaua kuku toka amejifungua yawezekana sababu kubwa ni recovery ya machine imekua ngumu afta kujifungua.

      ushauri katika ukubwa wa mbunye

      Inaonekana uke wake ni too alkalinity thats y umeshindwa kurudi sawa sawa mkuu.

      kama ungekua ni acidic unge recover very early na kurudi kama original. Ndo maana wadada wengine wanaopenda kuurudisha tight huwa wanatumia ndimu au limao

    17. #154
      mito's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th June 2011
      Posts : 1,047
      Rep Power : 610
      Likes Received
      442
      Likes Given
      1349

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By Mbu
      ....kaka, unajua wakati unakula kiapo cha ndoa...kuna kipengele uliulizwa "unakubali kumuoa kwa shida na raha".....

      ....kitendo cha wewe kushindwa kumstahmilia "shida." Mpaka ukaamua kumpeleka "ukweni" tayari ulishazua mazingira ya kushindwa kutekeleza kiapo chako cha ndoa.

      ....wewe ulichangia yeye kujiskia mpweke, na kujiskia hana thamani kwako. Nakuomba zingatia kwamba mpaka yeye afikie hayo, kuna mengine mengi umechangia.

      Msamehe mkeo, muweke karibu akueleze shida ni nini. Wewe umeumia tangu saa nane mpaka saa kumi, yeye alikuwa anakosa raha siku, wiki na miezi.....mpaka ulipoamua kumuuliza "kulikoni" .....

      Msamehe, mfungue kurasa mpya wa maisha. Ila, jipimeni kama hamjaathirika na STD au hata HIV ...
      Hata mimi mtizamo wangu ni huo hapo red. Simtetei mkeo lakini kiukweli wewe mwenyewe umechangia kwa kiasi kikubwa sana mke wake kutembea na huyo 'mfanyabiashara mchaga'. Tena ni kwamba amekuta alivyotarajia sivyo ndo maana amerudi, vinginevyo usingemuona tena.

      Yaani kitendo cha yeye kununa muda wote huo halafu we unatake easy tu - ni mbaya sana kwa mwanamke. Alitegemea umbembeleze akueleza kwanini ananuna nuna, we hukujali. Halafu ume-assume mshahara wake unamtosha kwa matumizi yake kazini (yaani nauli, chakula, maji, soda n.k). Mbaya zaidi anakuomba ahamie karibu na kazini kwake pia unakubali tu, tena unaona sawa tu kuambiwa tayari ana godoro, kitanda n.k. Kwa jinsi wanawake walivyo ni wazi kuwa alijenga mawazo kuwa humpendi, humjali na humthamini, ndo maana kila kitu kwake unatake easy tu!

      Kifupi ni kwamba ulimjengea mazingira hatarishi, na ndo maana huyo jamaa akampata kwa ku-take advantage ya hii weakness. Usiishe na mke hivyo aisee. Yaani hata ukioa mwingine, usipobadilika naye atakuwa kama huyu uliye naye. Binafsi nashauri umpe second chance, halafu na wewe ubadilike usim-treat tena hivyo, utaona atakavyobadilika na kuwa mwanamke mzuri zaidi. Kweli inauma lakini ndo hivyo inabidi uwe na moyo mkuu. Uzuri hiyo kitu haina makombo, ni perception tu lakini hakunaga alama, au mzee ulimkuta bikira?
      Haki ya mtu haipotei, inacheleweshwa tu!

    18. #155
      Neylu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 1,494
      Rep Power : 650
      Likes Received
      630
      Likes Given
      616

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Angalia vizuri kaka, inawezekana hiyo tabia hajaanza leo wala jana...Umchunguze vizuri na huyo mtoto si ajabu umeibiwa Kaka... Na utahakikisha vipi kama ameachana na huyo jamaa yake?? Pole sana...

    19. #156
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,253
      Rep Power : 31391
      Likes Received
      9620
      Likes Given
      685

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By mito
      Binafsi nashauri umpe second chance, halafu na wewe ubadilike usim-treat tena hivyo, utaona atakavyobadilika na kuwa mwanamke mzuri zaidi.
      How do you know for a fact that she will change for the better?
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    20. Mbu
      #157
      Mbu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2007
      Location : Stagnant Springs
      Posts : 10,830
      Rep Power : 9992
      Likes Received
      4709
      Likes Given
      6218

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      .....story zote zina pande tatu,...His-story, Her-story, and The Truth.....naamini huyu mama nae akija jitetea humu, upepo utageuza tanga...

      .....huyu mama ambaye taaluma ni mwalimu halafu atembee na mfanyabiashara...pia, lile tamko la awali kwamba "hajatembea na mkewe siku nyingi"...maswali yanaongezeka kwa ndugu yangu Ngoswe hapa.

      Mimi nadhani Ngoswe usiyumbishwe na michango ya humu. Akili kichwani mwako, madhali umelileta humu bda ya kukuuma...inathibitisha bado unampenda mkeo. Hiyo ni hatua nzuri ya kwanza.

      Sasa basi, akili za kuambiwa...changanya na zako, kisha kumbukia hata ukimuacha mkeo, sio kigezo kwamba utaishi kwa furaha na amani mbele ya safari. Tatua tatizo hili kiume, wewe mwanaume bana, usijikubalishe kusaidiwa na mwanaume mwenzako.

      Ondosha mapungufu atayokwambia mkeo. Ndoa si lelemama jamani. Ndoa ni kazi. Msidhani ukishaoa/ukishaolewa kazi imekwisha. Mnajukumu la kuendelea kujenga, kuboresha, kulinda na hata kujishusha pale mkeo atapokuwa anakukosoa kwa yale unayovuka mpaka wa makubaliano yenu ya ndoa...
      Freema Agyeman and mito like this.

    21. #158
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,253
      Rep Power : 31391
      Likes Received
      9620
      Likes Given
      685

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By Mbu
      Sasa basi, akili za kuambiwa...changanya na zako, kisha kumbukia hata ukimuacha mkeo, sio kigezo kwamba utaishi kwa furaha na amani mbele ya safari
      Hata asipomuacha si kigezo kwamba ataishi kwa furaha mbele ya safari maana kuwa cheated on ni traumatic experience vilevile.

      Uwezekano wa kupatwa na flashbacks ni mkubwa sana na hizo flashbacks zinaweza kabisa zikawa source ya simanzi na matatizo mbele ya safari.

      Akibaki na mkewe sidhani kama maisha yatakuwa kama yalivyokuwa huko nyuma maana wingu la mkewe kumegwa lazima litakuwepo tu kichwani mwake.

      I just can't envision life being the same again with someone who has cheated on me multiple times. Maybe others can but I just can't. I'll bring it up over and over again and she'll never be able to hear the end of it.

      But maybe dude can forgive and forget and move on happily ever after. Maybe.....
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    22. #159
      Jotojiwe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2012
      Location : Tanzania
      Posts : 141
      Rep Power : 389
      Likes Received
      30
      Likes Given
      8

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Kaka nakusihi sana usihalalishe huo mchezo unaofanyiwa, mi'najua hato acha kamwe hiyo tabia, chakufanya anza kumfatilia taratibu ukiwa umemwambia umemsamehe chukua kama miez 2 hv kumtrack everymove utajua kwanini nakwambia mtimue.

    23. #160
      Mandingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd September 2011
      Posts : 927
      Rep Power : 573
      Likes Received
      186
      Likes Given
      52

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      "naahidi kuwa mwaminifu kwako na nitakupenda hadi kifo kitakapo
      tutenganisha".
      Kama alizungumza haya maneno huyo fukukuza kabisa!
      Mkuu wewe ni kijana kbs chukua mtoto wako lea mwenyewe huyu
      lazima atakuja kukusumbua tu na kwa weakness alizo onyesha huyu
      kuna siku atashauriwa hata aku ue ili warithi mali tumeshuhudia
      na tumeona shtuka na chukua hatua brooooo....!

    Page 8 of 18 FirstFirst ... 678910 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...