Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

    Report Post
    Page 7 of 18 FirstFirst ... 5678917 ... LastLast
    Results 121 to 140 of 354
    1. #1
      NGOSWE.120's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 9th July 2011
      Location : KAZINI
      Posts : 134
      Rep Power : 424
      Likes Received
      57
      Likes Given
      276

      Default Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Ndugu zangu wana JF,

      Mke wangu ni mwalimu wa sec, ana mtoto mdogo wa miezi 6, toka ajifungue vituko vilikuwa haviishi....kuninunia daily sometimes hadi 3 weeks or mwezi. Nilipoona mambo yanazidi nilimrudisha kwao kwa muda kama wa mwezi mmoja hivi kwa sababu alikuwa ana maternity leave. Hata hivyo nilijua huenda postnatal period ndio inamfanya awe vile hivyo kwangu nikaona ni busara kuwa mpole ili kuepusha shari.

      Aliporudi kutoka kwao tuliishi kwa maelewano mazuri kwa muda wa wiki moja tu, then yakarudi yale yale...ful mnuno kwangu lakini stori nyingi tu kwa mashost zake na majirani.

      Mke wangu anafundisha kibaha, na tulikuwa tunaishi sote Dar sababu ndiko nilikojenga kibanda chetu cha kuishi na pia mimi ndiko ninakofanyia kazi. Mwezi uliopita nilishangaa mke wangu kuniambia kuwa yeye anataka kuhamia kibaha ili awe karibu na kituo cha kazi, pili ili aweze kupunguza gharama za usafiri za kila siku. Ikumbukwe kuwa ameanza kazi toka February 2011 na mimi siulizii mshahara wake anafanyia nini yeye ndiye ajuaye....but baada ya hoja yake hiyo nikajiuliza apunguze gharama za nauli....? je hela anafanyia nini? sikutaka ugomvi nikamruhusu lakini nikamuuliza vipi kuhusu maandalizi akasema kila kitu kipo sawa...chumba, kitanda+godoro na mahitaji mengine yote.

      Ameondoka tarehe 04 June kuhamia kibaha, nikamwambia nitampeleka na gari hadi kibaha alikataa kata kata na kusema nimuache tu ubungo atapanda bus. Pia aka-haidi weekend atarudi lakini hakurudi na bila kutoa sababu. Ijumaa ya juzi amerudi home but still hakuwa mchangamfu, pia kuonekana kama ana chuki nami.

      Kwa kuwa ni muda mrefu sijapata unyumba na yeye ndio mke wangu usiku wa kuamkia leo nikaomba haki yangu,.....WANA JF HAMUWEZI KUAMINI LAKINI NAWAAMBIA UKWELI....Nimekuta ikulu ya mke wangu imetumika kiasi cha kutosha saana hadi kiasi kwamba nilipatwa na mshangao wa ajabu....hiyo ilikuwa round ya kwanza, nilipojaribu ya pili...nilishindwa kumaliza game...coz sio K bali ni hatari. NILIUMIA SANA.

      Toka saa 8.30 usiku sijalala hadi saa 10.30 usiku/alfajiri, niliamua kumuuliza tena kwa upole huku nimemkumbatia....kuwa huko kibaha ana wanaume ana-do nao!Alikataa kata kata....but alipoona naongea kwa upole sana akaingia kingi na kusena ndio anakiri ...lakini ni mwanaume mmoja tu ndio anatembea nae lakini sio wengi. Nikahoji ni nani huyo? nikaambiwa ni mfanyabiashara, anakaa kimara baruti, mmeanza toka lini mahusiano yenu....akasema toka...mwezi uliopita, mlifahamiana wapi.....tulifahamiana kwenye bus wakati naenda kazini.

      Baada ya hapo akaanza kuliaaa.....na kusema anaomba nimsamehe!Nikamuuliza uliomba ruhusa ya kuhamia kibaha ili uwe huru? Je umekosa nini kwangu au mimi nilikuwa sikutoshelezi? akajibu hapana!

      ......WANA JF am so sorry kwa maelezo marefu but nimechanganyikiwa na simuelewi mke wangu. Anataka nimsamehe, but kabla sijachukua maamuzi nimeona ni vema niwashirikishe nyie ndugu zangu ili niweze kujiridhisha kwa uamuzi nitakao uchukua baada ya kupata maoni yenu.

      NARUDIA TENA.....SAMAHANI KAMA MTAKWAZIKA KWA KUSOMA MAELEZO MAREFU...!

      UPDATES

      1. mke wangu ana miaka 32 na wala sio mtoto wa under 20!
      2. UKIWA MAKINI NA MKEO/MPENZI WAKO NI RAHISI SANA KUJUA KAMA K IMETUMIKA....believe my words plse.

      @ NGOSWE.120

      Last edited by NGOSWE.120; 18th June 2012 at 21:47. Reason: updating
      BAK, Asprin, Sniper and 24 others like this.

    2. Study Abroad

    3. #121
      IGWE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Location : Blue Plaza Building-Arusha
      Posts : 5,075
      Rep Power : 3256
      Likes Received
      1244
      Likes Given
      1194

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By Matola
      Bahati mbaya akitoombwa toombwa nje atakuwa anatafuta ahueni maana alishanishauri ninunuwe pete ya kuvisha mtarimbo wangu eti inagusa kizazi.

      Mimi nikiwa kwenye Privacy huwa naacha kazi nafanya kazi ndio maana sina muda wa kufikiria cheating, all loop hall za cheating kwangu ziko bloked. ukinicheat mimi ni kwa raha zako tu.

      Kuhusu swala la kuacha au kutoakuacha nadhani hili kwangu halipo applicable kwa sababu sina mapenzi ya kweli nazuga tu ili nisionekane Cowboy. i will like them but not to love them, this is fact on me.
      Nimeipeta saaaaaaana hiyo aya ya chini(blue)....pamoja tunasafiri mkuu
      Matola likes this.
      "We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"

    4. #122
      IGWE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Location : Blue Plaza Building-Arusha
      Posts : 5,075
      Rep Power : 3256
      Likes Received
      1244
      Likes Given
      1194

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By BIG Banned
      Dah!! hiyo kali, sijui nishauri nini hapa!! kama ningekuwa ni mimi kwa kweli Mungu naapa anafunga vilago vyake, sitataka hata kumuona machoni pangu.
      Unatambua vema nafasi yako kama mwanaume mkuu_keep it up
      NGOSWE.120 likes this.
      "We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"

    5. #123
      Hute's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 1,402
      Rep Power : 710
      Likes Received
      354
      Likes Given
      23

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      pole sana naomwomba Mungu akusaidie, kwasababu mtihani huu ni mgumu sana, na maamuzi yake huwa magumu sana....potezea tu. kama Mungu anasamehe na wewe samehe.
      NGOSWE.120 likes this.
      Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!

    6. #124
      mbalu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th May 2012
      Location : Ntuzu
      Posts : 214
      Rep Power : 395
      Likes Received
      98
      Likes Given
      68

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Pole sana Kaka ama kweli ndoa yaweza kuwa paradiso ama kambi ya jeshi ni kutokana na akili ya mwanamke. Ni mama wa mtoto wako kaomba samahani kaeni mkubaliane msamaha na jitahidi kulinda ndoa yako kaka mwambie arudi nyumbani mjenge familia, ni miti tu ndo haigombani lakini binadamu hajakamilika kwani ni dhaifu siku zote.
      NGOSWE.120 likes this.
      Ong'wizukuru Shimba nawe Shimba.

    7. #125
      Mbundenali's Avatar
      Member Array
      Join Date : 9th January 2012
      Posts : 64
      Rep Power : 383
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Huyo hakufai tena kaka. Wanawake wengi namna hii. Kwa nini uumize kichwa kuwaza kumsamehe?. Achana nae
      NGOSWE.120 likes this.

    8. Miaka 50

    9. #126
      wiseboy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2011
      Posts : 638
      Rep Power : 540
      Likes Received
      169
      Likes Given
      29

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      pole sana, angalia nyuma mlipo toka, je amekuwa na hyo tabia ya kununa na hatimaye kukusaliti? kama haikuwa hvyo basi muombe akuambie y huwa anakununia nunia, then utapata jibu na hapo ndo msingi wa kutatua tatizo lisijirudie tena.
      NGOSWE.120 likes this.

    10. #127
      marrykate's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2012
      Posts : 350
      Rep Power : 434
      Likes Received
      112
      Likes Given
      190

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By Nyani Ngabu
      Vyovyote vile mimi siamini kama mwanamke mwenye ndoa anaweza akatoombesha nje. Haiwezekani kabisa. Na hata kama akitoombesha huko nje mpango mzima ni kusamehe tu kwa sababu ukimuacha utaacha wangapi sasa...? Dawa ni kusamehe saba mara mia saba.
      wonders shall never end, kweli ngabu umebali misimamo, leo unaongea maneno kama haya, akipata ukimwi ndo atajua umuhimu wa kumsaheme cheater
      NGOSWE.120 likes this.

    11. #128
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,767
      Rep Power : 30194
      Likes Received
      4629
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By Nyani Ngabu
      Hahahahaaa pole sana. Huyo mkeo wala hajakucheat bana. Toka lini wanawake wakacheat - hususan walioolewa? Wanawake walioolewa wanazithamini sana ndoa zao.

      Tatizo unalo wewe mwenyewe. Hujiamini. Unawaza mabaya muda wote. Acha kuwa na mtazamo hasi na anza kuwa mtazamo chanya uone jinsi ambavyo mambo yatatengemaa.

      Sidhani kama kama huyo mkeo anakucheat. Lakini hata kama akikucheat mara 2,000 wewe msamehe tu bana. Kwani akikucheat mara 2,000 ndo nini bana? Wewe samehe tu msonge mbele na maisha yenu.

      Pole lakini.
      maneno yako mazuri lakini yawe hayajakufika! Baba usiombe,kumegewa vibaya!
      NGOSWE.120 likes this.

    12. #129
      Eliphaz the Temanite's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2010
      Posts : 1,171
      Rep Power : 712
      Likes Received
      151
      Likes Given
      29

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Huo ni mtihani mkubwa! Mwanamke anatembea na Mfanyabiashara huo ni mtandao ambao hatima yake ni Ngoma ni kifo! Kwa vile ameamua kusema ukweli huenda bila kushurutiswa may be anaweza kuwa amejutia kile alichofanya, nenda ukapime kabla hamjaendelea na mambo mengine angalia mwenendo wake kwa kipindi hiki LAKINI HAKIKISHA HICHO KI NYUMBA KIDOGO CHA KIBAHA KINAKOMA MARA MOJA!!!!
      NGOSWE.120 likes this.
      Be Proactive controlling a situation by causing something to happen rather than waiting to respond to it after it happens

    13. #130
      fisi 2's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 144
      Rep Power : 0
      Likes Received
      32
      Likes Given
      0

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      ana ukimwi kiasi gani?umejiuliza?
      NGOSWE.120 likes this.

    14. #131
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,171
      Rep Power : 31374
      Likes Received
      9576
      Likes Given
      683

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By Pombekali
      maneno yako mazuri lakini yawe hayajakufika! Baba usiombe,kumegewa vibaya!
      Dawa ni kusamehe tu maana ukimuacha sasa utaacha wangapi? Jifunzeni kusamehe.
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    15. #132
      mdoe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : Tz... sweet home
      Posts : 406
      Rep Power : 605
      Likes Received
      81
      Likes Given
      46

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Kusamehe!!??? I don't advice! Hata vitabu vya dini vimekataa! Kama aliku-cheat nkiwa kwenye good terms, anashindwa nn baadae? Kama alimpa mwingine na yuko na wewe tena more than once, ujue huyo mwingine ni bora kuliko wewe. Kubali kushea au uachane na hilo gubegube utafute mke. Pooole!!!
      NGOSWE.120 likes this.

    16. #133
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,171
      Rep Power : 31374
      Likes Received
      9576
      Likes Given
      683

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By marrykate
      wonders shall never end, kweli ngabu umebali misimamo, leo unaongea maneno kama haya, akipata ukimwi ndo atajua umuhimu wa kumsaheme cheater
      Wewe umejiunga "4th March 2012"

      Sasa umejuaje kama nimebadili msimamo? Majina yako mengine ni yapi?
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    17. #134
      elmagnifico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th July 2011
      Location : Brussels
      Posts : 1,928
      Rep Power : 2542
      Likes Received
      539
      Likes Given
      36

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      pole sana mkuu, kapime ngoma lakini usimasamehe kiraisi onesha kuwa jambo alilo fanya ni kosa kubwa maana ukimsamehe kiraisi atakuchukulia poa sana
      NGOSWE.120 likes this.

    18. #135
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,767
      Rep Power : 30194
      Likes Received
      4629
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By wiseboy
      pole sana, angalia nyuma mlipo toka, je amekuwa na hyo tabia ya kununa na hatimaye kukusaliti? kama haikuwa hvyo basi muombe akuambie y huwa anakununia nunia, then utapata jibu na hapo ndo msingi wa kutatua tatizo lisijirudie tena.
      kama kuna kitu kibaya basi ni kumegewa,afu mke na mna mtoto mdogo.dah inauma sana
      NGOSWE.120 likes this.

    19. #136
      Dreamliner's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2010
      Location : Kijijini
      Posts : 1,968
      Rep Power : 868
      Likes Received
      167
      Likes Given
      166

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Mwanamke asiachwe ISIPOKUWA kwa UASHERATI....
      NGOSWE.120 likes this.
      T0 test the SWEETNESS of life, you must have the power to forget the past.

    20. #137
      Mauu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th May 2012
      Posts : 48
      Rep Power : 361
      Likes Received
      19
      Likes Given
      2

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Quote By NGOSWE.120
      Ndugu zangu wana JF,

      Mke wangu ni mwalimu wa sec, ana mtoto mdogo wa miezi 6, toka ajifungue vituko vilikuwa haviishi....kuninunia daily sometimes hadi 3 weeks or mwezi. Nilipoona mambo yanazidi nilimrudisha kwao kwa muda kama wa mwezi mmoja hivi kwa sababu alikuwa ana maternity leave. Hata hivyo nilijua huenda postnatal period ndio inamfanya awe vile hivyo kwangu nikaona ni busara kuwa mpole ili kuepusha shari.

      Aliporudi kutoka kwao tuliishi kwa maelewano mazuri kwa muda wa wiki moja tu, then yakarudi yale yale...ful mnuno kwangu lakini stori nyingi tu kwa mashost zake na majirani.

      Mke wangu anafundisha kibaha, na tulikuwa tunaishi sote Dar sababu ndiko nilikojenga kibanda chetu cha kuishi na pia mimi ndiko ninakofanyia kazi. Mwezi uliopita nilishangaa mke wangu kuniambia kuwa yeye anataka kuhamia kibaha ili awe karibu na kituo cha kazi, pili ili aweze kupunguza gharama za usafiri za kila siku. Ikumbukwe kuwa ameanza kazi toka February 2011 na mimi siulizii mshahara wake anafanyia nini yeye ndiye ajuaye....but baada ya hoja yake hiyo nikajiuliza apunguze gharama za nauli....? je hela anafanyia nini? sikutaka ugomvi nikamruhusu lakini nikamuuliza vipi kuhusu maandalizi akasema kila kitu kipo sawa...chumba, kitanda+godoro na mahitaji mengine yote.

      Ameondoka tarehe 04 June kuhamia kibaha, nikamwambia nitampeleka na gari hadi kibaha alikataa kata kata na kusema nimuache tu ubungo atapanda bus. Pia aka-haidi weekend atarudi lakini hakurudi na bila kutoa sababu. Ijumaa ya juzi amerudi home but still hakuwa mchangamfu, pia kuonekana kama ana chuki nami.

      Kwa kuwa ni muda mrefu sijapata unyumba na yeye ndio mke wangu usiku wa kuamkia leo nikaomba haki yangu,.....WANA JF HAMUWEZI KUAMINI LAKINI NAWAAMBIA UKWELI....Nimekuta ikulu ya mke wangu imetumika kiasi cha kutosha saana hadi kiasi kwamba nilipatwa na mshangao wa ajabu....hiyo ilikuwa round ya kwanza, nilipojaribu ya pili...nilishindwa kumaliza game...coz sio K bali ni hatari. NILIUMIA SANA.

      Toka saa 8.30 usiku sijalala hadi saa 10.30 usiku/alfajiri, niliamua kumuuliza tena kwa upole huku nimemkumbatia....kuwa huko kibaha ana wanaume ana-do nao!Alikataa kata kata....but alipoona naongea kwa upole sana akaingia kingi na kusena ndio anakiri ...lakini ni mwanaume mmoja tu ndio anatembea nae lakini sio wengi. Nikahoji ni nani huyo? nikaambiwa ni mfanyabiashara, anakaa kimara baruti, mmeanza toka lini mahusiano yenu....akasema toka...mwezi uliopita, mlifahamiana wapi.....tulifahamiana kwenye bus wakati naenda kazini.

      Baada ya hapo akaanza kuliaaa.....na kusema anaomba nimsamehe!Nikamuuliza uliomba ruhusa ya kuhamia kibaha ili uwe huru? Je umekosa nini kwangu au mimi nilikuwa sikutoshelezi? akajibu hapana!

      ......WANA JF am so sorry kwa maelezo marefu but nimechanganyikiwa na simuelewi mke wangu. Anataka nimsamehe, but kabla sijachukua maamuzi nimeona ni vema niwashirikishe nyie ndugu zangu ili niweze kujiridhisha kwa uamuzi nitakao uchukua baada ya kupata maoni yenu.

      NARUDIA TENA.....SAMAHANI KAMA MTAKWAZIKA KWA KUSOMA MAELEZO MAREFU...!

      Ni mimi NGOSWE.120

      Ndugu yangu, hapo kuna tatizo kubwa sana sana, na hasa tatizo linaonekana ni WEWE MUME. Sina haja ya kurudia, mengi umeyasema mwenyewe hapo juu, haina ubishi kuwa wewe ndo SABABU YA YOTE HAYO. Na ndio maana mke amepata confidence ya kukujibu/kukiri hayo, anajua mapungufu yako. Na pengine iwe changamoto kwako kusimama kama MUME na si GUMEGUME.
      nyumba kubwa and NGOSWE.120 like this.

    21. #138
      Landala's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Posts : 562
      Rep Power : 538
      Likes Received
      122
      Likes Given
      25

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      Kama amekiri kosa naomba msamehe,pia fanya juu chini umhamishe kutoka Kibaha ili aje kufanyia kazi Dar ili muwe karibu,pia fuatilia kama kweli ameachana na huyo jamaa mfanyabiashara.
      NGOSWE.120 likes this.

    22. #139
      Baba V's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Location : Buguruni Mnyamani
      Posts : 10,767
      Rep Power : 30194
      Likes Received
      4629
      Likes Given
      3477

      Default

      Quote By NGOSWE.120
      Ndugu zangu wana JF,

      Mke wangu ni mwalimu wa sec, ana mtoto mdogo wa miezi 6, toka ajifungue vituko vilikuwa haviishi....kuninunia daily sometimes hadi 3 weeks or mwezi. Nilipoona mambo yanazidi nilimrudisha kwao kwa muda kama wa mwezi mmoja hivi kwa sababu alikuwa ana maternity leave. Hata hivyo nilijua huenda postnatal period ndio inamfanya awe vile hivyo kwangu nikaona ni busara kuwa mpole ili kuepusha shari.

      Aliporudi kutoka kwao tuliishi kwa maelewano mazuri kwa muda wa wiki moja tu, then yakarudi yale yale...ful mnuno kwangu lakini stori nyingi tu kwa mashost zake na majirani.

      Mke wangu anafundisha kibaha, na tulikuwa tunaishi sote Dar sababu ndiko nilikojenga kibanda chetu cha kuishi na pia mimi ndiko ninakofanyia kazi. Mwezi uliopita nilishangaa mke wangu kuniambia kuwa yeye anataka kuhamia kibaha ili awe karibu na kituo cha kazi, pili ili aweze kupunguza gharama za usafiri za kila siku. Ikumbukwe kuwa ameanza kazi toka February 2011 na mimi siulizii mshahara wake anafanyia nini yeye ndiye ajuaye....but baada ya hoja yake hiyo nikajiuliza apunguze gharama za nauli....? je hela anafanyia nini? sikutaka ugomvi nikamruhusu lakini nikamuuliza vipi kuhusu maandalizi akasema kila kitu kipo sawa...chumba, kitanda+godoro na mahitaji mengine yote.

      Ameondoka tarehe 04 June kuhamia kibaha, nikamwambia nitampeleka na gari hadi kibaha alikataa kata kata na kusema nimuache tu ubungo atapanda bus. Pia aka-haidi weekend atarudi lakini hakurudi na bila kutoa sababu. Ijumaa ya juzi amerudi home but still hakuwa mchangamfu, pia kuonekana kama ana chuki nami.

      Kwa kuwa ni muda mrefu sijapata unyumba na yeye ndio mke wangu usiku wa kuamkia leo nikaomba haki yangu,.....WANA JF HAMUWEZI KUAMINI LAKINI NAWAAMBIA UKWELI....Nimekuta ikulu ya mke wangu imetumika kiasi cha kutosha saana hadi kiasi kwamba nilipatwa na mshangao wa ajabu....hiyo ilikuwa round ya kwanza, nilipojaribu ya pili...nilishindwa kumaliza game...coz sio K bali ni hatari. NILIUMIA SANA.

      Toka saa 8.30 usiku sijalala hadi saa 10.30 usiku/alfajiri, niliamua kumuuliza tena kwa upole huku nimemkumbatia....kuwa huko kibaha ana wanaume ana-do nao!Alikataa kata kata....but alipoona naongea kwa upole sana akaingia kingi na kusena ndio anakiri ...lakini ni mwanaume mmoja tu ndio anatembea nae lakini sio wengi. Nikahoji ni nani huyo? nikaambiwa ni mfanyabiashara, anakaa kimara baruti, mmeanza toka lini mahusiano yenu....akasema toka...mwezi uliopita, mlifahamiana wapi.....tulifahamiana kwenye bus wakati naenda kazini.

      Baada ya hapo akaanza kuliaaa.....na kusema anaomba nimsamehe!Nikamuuliza uliomba ruhusa ya kuhamia kibaha ili uwe huru? Je umekosa nini kwangu au mimi nilikuwa sikutoshelezi? akajibu hapana!

      ......WANA JF am so sorry kwa maelezo marefu but nimechanganyikiwa na simuelewi mke wangu. Anataka nimsamehe, but kabla sijachukua maamuzi nimeona ni vema niwashirikishe nyie ndugu zangu ili niweze kujiridhisha kwa uamuzi nitakao uchukua baada ya kupata maoni yenu.

      NARUDIA TENA.....SAMAHANI KAMA MTAKWAZIKA KWA KUSOMA MAELEZO MAREFU...!

      Ni mimi NGOSWE.120
      Pole sana mkuu,kimsingi hilo jambo linaumiza sana na kudhalilisha pia,lakini ili kuepusha maumivu mengine mbeleni ni vema ukachukua maamuzi magumu na uwashirikishe ndugu baadhi wa pande zote mbili,cha msingi angalia asikuulie mtoto kwa kumbemenda.chambua michango ya wadau kwa makini then chukua uamuzi.kwa upande wangu naona huyo amepoteza sifa ya kuwa mkeo,na ukiendelea nae you will regret it mkuu!
      NGOSWE.120 likes this.

    23. #140
      Rogie's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd November 2010
      Location : Darul Islamia
      Posts : 1,913
      Rep Power : 1144
      Likes Received
      480
      Likes Given
      334

      Default Re: Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

      aaaah...sababu nyingine hii ya kunifanya nifikirie mara mbili mbili suala la kuoa..
      NGOSWE.120 likes this.

    24. FemaTV & Radio
    Page 7 of 18 FirstFirst ... 5678917 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...