Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?

Anadai ananipenda ila eth hajazoea kuwa na girlfriends,xo hajui jns ya kuwa treat nicely
Huyo mpenzi wa mawasiliano kwa ajili ya kudu tu, nina mashaka nae!Kama wampenda na wamuamini poa tu
The best mind-ultering drug is truth.
anakuzingua tu,achana naye sasa hapo kuna future gani kama hajui wajibu wake
Mmh hayo nayo maneno..,!ila nimejarib mara nyng kumuacha ila mwsho wa cku najikuta naendeleza relation,idon kna nitumie njia zp kumuepuka
anakupenda kwa ajili ya ku du tu
Kitandani anajiweza?
do you have more to offer than that?
No comment!
Huyo anajipumzisha tu, lakini soon utalia...ushauri wangu kabla hajakuliza chapa lapa!
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Follow Us Here