nipo ilala bungoni, bei ni nafuu
nipo ilala bungoni, bei ni nafuu
Duuuu!! hhakyaaa mungu whallah!!! hawa waganga wa kienyeje wamezidi, yaaani Freemason imepamba moto tuu baaasi wameona pakupatia hela hapo...!
"Kama tunalipa wabunge sitting allowances, basi tulipe walimu standing allowance!"- Dr.Slaa
nimecheka sana jamani...
kazi kweli kweli!!!!!!!
'HAKIMU AKIWA FISI, HUKUMU YA MBUZI NI KIFO'
Eti anatibu kujiunga na free massons! Mmmmh!
hahhahaaa kweli wanabadilika kutokana na demand loh...
sikujua kama kujiunga fremasoni ni ugonjwa.
Kwani ndo anatibu vipi kujiunga au anamaanisha ana fomu za kujiunga?
You are what you eat
..hawa sio walio jitangaza juzi kweli redioni...?
kuna sku nakatiza kitaa nkakuta tangazo kaa hilo la nguvu za kiume, halafu wamechora mwananke wa 'kibantu'..these guys are getting really creative and hilarious at the same time...kaz kwelkwel.
Moola's the motive
yaaan,,,bongo da si salama,,,,,mwalim dasan nadanganya oi,na uzushi na maneno mbofumbofu,,,,,,,,,,,rip mr ebo,
Tapeli mkubwa huyu,huyu jamaa kawah kumtapeli ndugu yangu mmoja alienda kutibiwa kwake kitu cha kwanza anachofanya ni kupiga ramli na anatumia simu na spika aliyoiunganisha kwenye kibuyu then mtu mwingine anakua anaongea kutoka chumba kingine.Na akitapeli sehemu moja anahamia nyingine ni mtandao wa wezi na matapeli ana ofisi (kijiwe) nyingine sijui tabata,ukonga,kinyerezi nk
I see. . . . . . . . . . . . . . !!
lord have mercy jamani, kha!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
hamjaona matatizo mengne mbona mmeshikilia fremasn?
Unatoa huduma gani ?
INAWEZEKANA, TIMIZA WAJIBU WAKO
Hahahah! kweli mjini shule na kuzaliwa mjini tu tayari form6.
Mweeh....kazi kweli kweli
Hii shughuli pevu. Sikujua FREEMANSOn ni ugonjwa.
Bibie! Usijisifu Kuwa Una Mimba: Msifie Aliyekupa Mimba.
Follow Us Here