Je, mwanamke uliye nae ni wify au kimada material?
Matumizi ya neno kimada hapa yasitafsiriwe kuwa nimekosa heshima kwa wanawake. Wengi mnafahamu kuwa kuna mwanamke unayeweza kuwa naye kwa gharama zozote, kwa mda wowote lakini hautamani awe mkeo. Na ikitokea siku akaanza kuforce ndoa, basi unatafuta namna ya kuvunja mahusiano.
Kuna mwanamke unayeweza kuwa naye kwenye mahusiano hata siku mbili, ukatamani kuwa na familia nae kama mke na mume.
Hivi kuna tofauti gani bayana kati ya mwanamke anayevutia sana kimapenzi lakini havutii kuwa mwanandoa, na mwanamke anayevutia sana kuwa mwanandoa (regardless anavutia au havutii kimapenzi)?
NOTE: Sura, umbile, elimu, kabila, umri, vyote haviwezi kuwa sababu... kwa maoni yangu
Re: Je, mwanamke uliye nae ni wify au kimada material?
Ngoja nichangie japo hayanihusu. Kuna dada alimpeleka best friend wake kwa kaka yake ili amuunganishie ili kaka amuoe huyo best friend na kumpiga chini mchumba aliyenaye kisa hawaivi. Wamefika kwa brother, yule binti ambaye ametoka familia bora saaana kaanza nyodo,
Binti: Mbona nyumba yako ina joto sana,
Kaka: Umeme umekatika
Binti: Huna Generator?
Kaka: Nimeipeleka kufanyiwa service
Rafiki mtu kakazana kumkonyeza aache maswali yatamkosesha mchumba yeye anajifanya aoni, anaendelea
Binti: Unajua nimetoka kwenye gari, gari yangu ina AC kali sana...Baba amenambia nikimaliza undergraduate atanipeleka UK nikafanye masters.... Makochi yako mbona ya kizamani...
hata wewe ni material full kwake, Umemzalia dume unafikili mchezo. Mungu akubariki wewe na mwanao. tatizo mnawaitaga majina magumu watoto wenu. anaitwa nani vile!?...mia

du! Kweli zege halilali, tayari washakupa habari? Huyu dogo bado sijamchagulia jina rasmi, nasubiri maumivu yapungue network irudi ndo nimtaftie jina.
Re: Je, mwanamke uliye nae ni wify au kimada material?
kweli wapo wife materials na wapo vimada na hili kila mwanaume huwa analitambua pindi anapotupa ndoano zake.tatizo wanawake huwa hawajui kama wamekaa kama kimada au wife...kila mtu huwa anadhani anaweza kuwa wife kitu ambacho sio kweli
vimada ni wengi kuliko wifes na hata mie nnao kadhaa ..cha ajabu wife materials wengi sio wa kuvutia kiviile at first sight na hawanaga swaga za usister du kiviile ..ila hawa vimada ni noma sana wana mvuto wa fasta ila unaokinai fasta vile vile
Re: Je, mwanamke uliye nae ni wify au kimada material?
By nyumba kubwa
Ngoja nichangie japo hayanihusu. Kuna dada alimpeleka best friend wake kwa kaka yake ili amuunganishie ili kaka amuoe huyo best friend na kumpiga chini mchumba aliyenaye kisa hawaivi. Wamefika kwa brother, yule binti ambaye ametoka familia bora saaana kaanza nyodo,
Binti: Mbona nyumba yako ina joto sana,
Kaka: Umeme umekatika
Binti: Huna Generator?
Kaka: Nimeipeleka kufanyiwa service
Rafiki mtu kakazana kumkonyeza aache maswali yatamkosesha mchumba yeye anajifanya aoni, anaendelea
Binti: Unajua nimetoka kwenye gari, gari yangu ina AC kali sana...Baba amenambia nikimaliza undergraduate atanipeleka UK nikafanye masters.... Makochi yako mbona ya kizamani...
Ni movie lakini ya kinaigeria inaitwa " Jealous Lovers"
haa haaa
unasemaje kuhusu PAT ?
nafikiri ni better kuliko hata Nonso...
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
Re: Je, mwanamke uliye nae ni wify au kimada material?
kimada material unaweza kum upgrade akawa wife material
its all about upgrade...

Mimi nimekuwa bendera sasa hivi. Kwa kweli Pat ni bomba kuliko hata John nini Nonso. Nimeshaangalia movie zake karibu zote in a month. Ana vutia aswaaa.
By The Boss
haa haaa
unasemaje kuhusu PAT ?
nafikiri ni better kuliko hata Nonso...
Re: Je, mwanamke uliye nae ni wify au kimada material?
Ukimu upgrade kimada material utamweza wewe??? Tayari yuko juu ka dege la Obama wewe unataka uendelee kumpaisha. Kimada material unatakiwa umshushe; ili awe wife material siyo ku up grade. Akikwambia ooh mi nataka lunch Serena unampeleka pale nyuma ya Posta hataki achape lapa.
By The Boss
kimada material unaweza kum upgrade akawa wife material
Re: Je, mwanamke uliye nae ni wify au kimada material?
By nyumba kubwa
Mimi nimekuwa bendera sasa hivi. Kwa kweli Pat ni bomba kuliko hata John nini Nonso. Nimeshaangalia movie zake karibu zote in a month. Ana vutia aswaaa.
hivi unajua mimi nilipotazama movie zake nikasema au huyu ndo
Nonso wa Nyuma kubwa..but nilipotazama jina nikaona Pat..
the guy ana pozi safi...swag zako kabisa zile lol
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
Re: Je, mwanamke uliye nae ni wify au kimada material?
By nyumba kubwa
Ukimu upgrade kimada material utamweza wewe??? Tayari yuko juu ka dege la Obama wewe unataka uendelee kumpaisha. Kimada material unatakiwa umshushe; ili awe wife material siyo ku up grade. Akikwambia ooh mi nataka lunch Serena unampeleka pale nyuma ya Posta hataki achape lapa.
kumbe bas mimi huwa nawashusha daily lol

Follow Us Here