Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

    Report Post
    Page 1 of 3 123 LastLast
    Results 1 to 20 of 54
    1. #1
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 11,331
      Rep Power : 34416
      Likes Received
      10545
      Likes Given
      14624

      Default mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Wana mmu polen kwa kazi mchana huu.

      Jamani kisa hiki ni cha kweli na kiko kinasubiria mashauri ili kufikia mahali pazuri.

      Baba mmoja mjeda ana ndoa yapata 25 yrs sasa, kwa bahati nzuri sana ana watoto wakubwa ambao ni college students. maisha ya familia za kijeda nafikir wengi tunayajua so huko sitaki kwenda ila haya ndiyo yalyotokea kwenye familia yake.

      Mkewe mjeda kwa siri kaamua kuuza mali za familia ambazo baba ndiye aliyezichuma kwasababu ya kuwa yeye ndio source of income nyumban na mama alikuwa ni goli kipa kitu. Mama huyu kauza nyumba maeneo fulan ambayo baba aliijenga ili atakapo staafu akapate mahalia pa kuish kuliko kubanana na watoto mjini, pia kauza kiwanja kingine kikubwa cha familia. Ha yote huyu mama anayafanya akishirikiana na watoto pasi kumwambia baba chochote. na pia aliuza wakati baba huyu alipopelekwa masomon na jeshi so akawa mbali na familia kwa wakati huo.

      hela hizi mama kazitumia kumpeleka mtoto chuo nje ya nchi na kwa hesabu za haraka haraka ni kama sh mil 14 zinahitajika kwa mwaka kwaajili ya ada ya huyu kijana level ya elimu ni kusoma degree ya kwanza. wakati taratibu zote hizi zinapangwa mama hakumuhusisha baba hata kidogo na baba alikuja kumbiwa a week before kuwa mtto anakwenda ulaya kusoma alipohoji kivipi mama ikabidi amwambie ameuza nyumba na kiwanja.

      Baba kuskia hivyo presha juu, akakasirika sana, alipohoji kwa hasira mtoto huyu ambaye anapelekwa ulaya akamkashifu baba yake kwamba mbona yeye amekuwa mjeda na haoni faida yake nzaid tu ya kuskia ana madem nje? tena akamwambia bora niende na mimi huko manake wewe hata dem wangu waweza kutembea nae tu nikimleta hapa home.

      Baba kuyaskia na haya alishindwa kuvumilia akamtolea mwanae utupu wake akamwambia kama wewe niikutoa humu basi utakuwa kama kizibo cha kalam kinavyoning,inia kwenye mfuko wa shati. na sitaki kuona mtu akimleta padri hapa kuja kunibmbeleza juu ya kauli yangu.Baada ya kusema hayo hakuendelea kusema neno ingine akaa kimya.

      sasa imebidi kijana asafiri tu kwenda shule mama yupo, na binti liyekuwepo wakati wa ugomvi ndiye aliyekwenda kusema kilichotokea. hivi kweli hii ni akili au matope? Na kwanini wanawake hatujifunzi kuwa kukosa akili kwa mara moja tu kwaweza kuondoa amani na ushirikiano ulioujenga kwa miaka mingi sana?

      naombeni mawazo yenu kama ushauri ili kuinusuru familia hii na laana na mikosi ambayo tayari sasa imeingia.
      Mtambuzi and mbalu like this.


    2. #2
      Blaine's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 11th January 2012
      Location : beacon hills
      Posts : 1,572
      Rep Power : 3798
      Likes Received
      1107
      Likes Given
      413

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      mwanamke kaharibu sana, je alichunguza tuhuma za hao vimada aliowasema kwenye ugomvi? nampa pole mzee kwa kuoa kiazi.
      gfsonwin likes this.
      the worst is yet to come

    3. #3
      Excellent's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2009
      Posts : 5,752
      Rep Power : 14509
      Likes Received
      2471
      Likes Given
      4277

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      labda baba alipoenda nje ya nchi alikaa mda mrefu sana na mawasiliano yalikatika mpaka nyumbani wakakata tamaa ya kumwona tena.Ila mama hajachukua uamuzi mzuri kuuza mali bila kumshirikisha mme
      Mbuzi kafia kwa mwuza supu.

    4. #4
      HorsePower's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd August 2008
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 2,798
      Rep Power : 3829
      Likes Received
      1771
      Likes Given
      1641

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Huyo mama kichwani inaonekana hakuna kitu kabisa, sasa kamkomoa nani? Maana nyumba hiyo ndiyo angeishi yeye na watoto wake na familia yake kwa ujumla baada ya kustaafu!
      Namsikitia pia kuwa na kijana wa kiume bogus kama huyo ambaye anashirikiana na mama yake kuingamiza familia yake mwenyewe!
      Sijui wanafikiri wataendelea kuishi nyumba za kupanga mpaka lini?!
      mgeni10 likes this.
      Don’t judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.

    5. #5
      ndetia's Avatar
      Member Array
      Join Date : 9th June 2012
      Posts : 38
      Rep Power : 361
      Likes Received
      8
      Likes Given
      11

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Laana ikishatolea na mtu haiwezikuisha hadi aliyetoa asamehe huyo kijana imekula kwake!!!


    6. #6
      Fidel80's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2008
      Location : UVUNGUNI
      Posts : 19,136
      Rep Power : 9519
      Likes Received
      3234
      Likes Given
      1264

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Mjeda inabidi amtandike risasi mbili za masaburi kila pande manina sana huyo mwanamke
      sangija likes this.
      **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
      Chuda Raha
      Email: [email protected]

    7. #7
      bornagain's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Location : Nyakanazi - Biharamulo
      Posts : 1,780
      Rep Power : 730
      Likes Received
      482
      Likes Given
      356

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Huyo mama anafikilia kuwa kumsomesha mtoto nje kwa ghalama ya kuuza asset za familia kwamba anamkomoa mume wake na eti mtoto atakuja kumsaidia baadae hata kama watakua wameachana na mume wake(just my thoughts).Hajui kama huyo mtoto aliempeleka nje anaweza asimsaidie chochote nafuu angemsomesha hata kwenye vyuo vyetu vya kata akapata boom maana matumizi yangepungua
      There is a saying in aviation "You haven't crashed until you've crashed. Until then, keep flying the plane".

    8. #8
      Kongosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Location : Location loading...
      Posts : 26,173
      Rep Power : 25450
      Likes Received
      14879
      Likes Given
      15834

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Mmmmm!
      No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria

    9. #9
      Mwanaweja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2011
      Posts : 3,520
      Rep Power : 1128
      Likes Received
      480
      Likes Given
      1065

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      huyo mama akili yake haifanyi kazi kabisa na pia hata huyo dogo ndio imekula kwake asitegemee hata anakoenda kusoma atasoma kwa amani kitakacofuta anaweza kuwa mhuni au hata mlevi wakupindukia

    10. #10
      chachu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th May 2011
      Posts : 101
      Rep Power : 430
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Akili tope!
      Mtoto anamfundisha baba yake jinsi ya ku do na mama yake. Kauzu zaidi ya dagaa.
      Quote By gfsonwin View Post
      wana mmu polen kwa kazi mchana huu.

      Jamani kisa hiki ni cha kweli na kiko kinasubiria mashauri ili kufikia mahali pazuri.

      Baba mmoja mjeda ana ndoa yapata 25 yrs sasa, kwa bahati nzuri sana ana watoto wakubwa ambao ni college students. Maisha ya familia za kijeda nafikir wengi tunayajua so huko sitaki kwenda ila haya ndiyo yalyotokea kwenye familia yake.

      Mkewe mjeda kwa siri kaamua kuuza mali za familia ambazo baba ndiye aliyezichuma kwasababu ya kuwa yeye ndio source of income nyumban na mama alikuwa ni goli kipa kitu. Mama huyu kauza nyumba maeneo fulan ambayo baba aliijenga ili atakapo staafu akapate mahalia pa kuish kuliko kubanana na watoto mjini, pia kauza kiwanja kingine kikubwa cha familia. Ha yote huyu mama anayafanya akishirikiana na watoto pasi kumwambia baba chochote. Na pia aliuza wakati baba huyu alipopelekwa masomon na jeshi so akawa mbali na familia kwa wakati huo.

      Hela hizi mama kazitumia kumpeleka mtoto chuo nje ya nchi na kwa hesabu za haraka haraka ni kama sh mil 14 zinahitajika kwa mwaka kwaajili ya ada ya huyu kijana level ya elimu ni kusoma degree ya kwanza. Wakati taratibu zote hizi zinapangwa mama hakumuhusisha baba hata kidogo na baba alikuja kumbiwa a week before kuwa mtto anakwenda ulaya kusoma alipohoji kivipi mama ikabidi amwambie ameuza nyumba na kiwanja.

      Baba kuskia hivyo presha juu, akakasirika sana, alipohoji kwa hasira mtoto huyu ambaye anapelekwa ulaya akamkashifu baba yake kwamba mbona yeye amekuwa mjeda na haoni faida yake nzaid tu ya kuskia ana madem nje? Tena akamwambia bora niende na mimi huko manake wewe hata dem wangu waweza kutembea nae tu nikimleta hapa home.

      Baba kuyaskia na haya alishindwa kuvumilia akamtolea mwanae utupu wake akamwambia kama wewe niikutoa humu basi utakuwa kama kizibo cha kalam kinavyoning,inia kwenye mfuko wa shati. Na sitaki kuona mtu akimleta padri hapa kuja kunibmbeleza juu ya kauli yangu.baada ya kusema hayo hakuendelea kusema neno ingine akaa kimya.

      Sasa imebidi kijana asafiri tu kwenda shule mama yupo, na binti liyekuwepo wakati wa ugomvi ndiye aliyekwenda kusema kilichotokea. Hivi kweli hii ni akili au matope? Na kwanini wanawake hatujifunzi kuwa kukosa akili kwa mara moja tu kwaweza kuondoa amani na ushirikiano ulioujenga kwa miaka mingi sana?

      Naombeni mawazo yenu kama ushauri ili kuinusuru familia hii na laana na mikosi ambayo tayari sasa imeingia.

    11. #11
      Mukalunyoisa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th March 2012
      Posts : 139
      Rep Power : 393
      Likes Received
      19
      Likes Given
      2

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Nampa pole mama huyu kwa kuitakia familia yake laana

    12. #12
      Mtambuzi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 29th October 2008
      Location : Dar Es Salaam
      Posts : 6,182
      Rep Power : 27036
      Likes Received
      8457
      Likes Given
      17777

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Duh! Sasa hii akili au matope..............
      gfsonwin likes this.

    13. RR is offline
      RR
      #13
      RR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2007
      Location : Close
      Posts : 5,636
      Rep Power : 1754
      Likes Received
      1035
      Likes Given
      485

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Asee
      Bunge: Upuuzi unaolindwa na sheria...kwa kutumia hela za Watz!

    14. #14
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 11,331
      Rep Power : 34416
      Likes Received
      10545
      Likes Given
      14624

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Quote By blaine n kurt View Post
      mwanamke kaharibu sana, je alichunguza tuhuma za hao vimada aliowasema kwenye ugomvi? nampa pole mzee kwa kuoa kiazi.
      lakin sasa mkuu utafanyaje ili kuinusuru hii familia na laana?

    15. #15
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 11,331
      Rep Power : 34416
      Likes Received
      10545
      Likes Given
      14624

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Quote By Mtambuzi View Post
      Duh! Sasa hii akili au matope..............
      sasa Mtambuzi kama wewe umeletewa shauri hili ili uwashauri wewe ungemwambia huyo mama afanye nini na huyu baba je? ok najua mama na mtoto wamekosea lkn je baba kafanya sahihi kumlaani mwanae?
      Mtambuzi likes this.

    16. #16
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 11,331
      Rep Power : 34416
      Likes Received
      10545
      Likes Given
      14624

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Quote By Mukalunyoisa View Post
      Nampa pole mama huyu kwa kuitakia familia yake laana
      sasa mkuu huyu mama kweli kakosea lkn je huyu baba naye hajutii siku yake aliyopoteza kumtia huyu mama mimba ya huyu kijana?

    17. #17
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,121
      Rep Power : 14538
      Likes Received
      6475
      Likes Given
      5043

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      kufanikiwa kwa mwanaume mara nyingi huwa kuna efforts za mwanamke! na anguko lake pia ni huyo huyo MWANAMKE! pole kwa huyo baba! ila kweli ujinga unatofautiana viwango!
      gfsonwin likes this.
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    18. awp is online now
      awp
      #18
      awp's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2012
      Location : Around the Corner
      Posts : 1,002
      Rep Power : 555
      Likes Received
      316
      Likes Given
      1093

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      baba yupo sahihi asilimia mia? mi nina wasiwasi na mama na mtoto, upendo umezidi uwezo. si unajua watoto wa siku hizi may be kuna kitu kimejifisha hapo
      "Look Deep into Nature and then you will Understand Everything Better" - ALBERT Einstein

    19. #19
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 11,331
      Rep Power : 34416
      Likes Received
      10545
      Likes Given
      14624

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Quote By Level View Post
      labda baba alipoenda nje ya nchi alikaa mda mrefu sana na mawasiliano yalikatika mpaka nyumbani wakakata tamaa ya kumwona tena.Ila mama hajachukua uamuzi mzuri kuuza mali bila kumshirikisha mme
      sasa Level hapana level huyu mjeda alikuwa mtu wa kuijali sana familia but ni kama vile mama alitaka sifa ya kumuona mtoto anasoma huko majuu. anyway makosa yameshatokea sasa je baba alikuwasahihi kumlaani mwanae?

    20. #20
      TANMO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2008
      Location : Tanzagiza
      Posts : 5,103
      Rep Power : 7784
      Likes Received
      1834
      Likes Given
      3454

      Default Re: mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

      Hizi ndiyo hasara za kuoa vilaza.. Matokeo yake Mtoto kabeba akili za mamaake!

    Page 1 of 3 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...