Naomba ushauri jamani. wasichana woote niliowapa mambo kabla sijaoa wanataka niendelee kuwapa mambo flani.Simu zao zimekuwa chungu kwangu na ndoa yangu. nabadilisha namba nashangaa kuona wanajua namba zangu mpya na nnajiuliza wanazipataje. Namueleza wife kuwa sina mahusiano nao inakuwa balaa..................
NIFANYAJE????????????????

Reply With Quote



Follow Us Here