Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

    Report Post
    Page 3 of 6 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 115
    1. #1
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,264
      Rep Power : 12577
      Likes Received
      5808
      Likes Given
      768

      Default Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Wanabodi.

      Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Paulo Mhame amesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume.

      Alisema pamoja na tatizo hilo kuwa kubwa, cha ajabu serikali bado haijakubali kutumia pesa kufanya utafiti wa kuandaa dawa ya kisasa ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume...watu wengi wanamiminika kwa waganga wa asili kusaka dawa alisema.

      Mpaka sasa waganga wa jadi zaidi ya 1,000 wamejiandikisha nchini kwa wanatoa dawa za kutibu upungufu wa nguvu za kiume,

    2. Miaka 50

    3. #41
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,858
      Rep Power : 6968
      Likes Received
      2013
      Likes Given
      1551

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By Smile
      heri msiwe nazo muache uchangudoa..
      hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
      ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi
      Naona mnatafuta kisingizio cha kutoka nje ya ndoa!
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    4. #42
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,705
      Rep Power : 10173
      Likes Received
      5667
      Likes Given
      12666

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By Smile
      heri msiwe nazo muache uchangudoa..
      hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
      ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi
      na wewe utakuwa na li plastiki lako unajiliwaza au sio?
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    5. #43
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By cacico
      ritz wengine wananza kuchokonolewa chemba zao wakiwa wadogoooooooo! hata kama alizaliwa rijali unakuta baada ya muda na yeye ni victim, enzi hizo kabla sijaolewa nilikutana na mkaka, nikasema ni mkaka wa haja, ila wakati tunakiss for the first tym nikaona ukimshika makalio anapiga ukunga wa ajabu, nikasema hichi nini, hebu leo nijionee, ukimuweka v.i.d.o.l.e anafurahia mpaka basi anataka niendelee tu kumuweka tu, lakini ku-du ha du wala nini?? na hiyo ni miaka ya 2000 alikuwa 24yrs old mimi ndio tu nimemaliza A level. lol nilishangaa sana na ndio ukawa mwisho wangu mi na yy! so mambo mengi yanachangia now days guys kuwa hawako imara kama simba! ila huyo kaka anatamani kuwa normal mpaka kesho, hajaoa, ila huwa tunawasiliana na ninampa moyo kuwa akiamua anaweza kuacha na akawa mzima tena!
      Usiniambie uliliwa na p.u.n.g.a! Du! Malizia stori bana enhe na wewe uli-enjoy?
      cacico likes this.

    6. #44
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,705
      Rep Power : 10173
      Likes Received
      5667
      Likes Given
      12666

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      inabidi tuwaulize wadada hapa kuwa waume zenu vipi? mnawaonaje?
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    7. #45
      webondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Location : Chini ya mwembe
      Posts : 1,167
      Rep Power : 589
      Likes Received
      178
      Likes Given
      381

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By King Kong III
      Watu hawajiamini,mwanamme kamili bao la kwanza ni ndani ya dakika 1 hadi tano,sasa watu wamemezeshwa sumu kwamba lazima uende nusu saa bao 1 ukienda chini ya hapo basi una upungufu wa nguvu za kiume,wanaume tujiamini,kama unataka kupiga bao moja kwa nusu saa zipo njia natural(withdrawal) na great foreplay na si kutumia madawa,achaneni na hayo madawa.
      Naungana nawe!

    8. FemaTV & Radio

    9. #46
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By Saint Ivuga
      na wewe utakuwa na li plastiki lako unajiliwaza au sio?
      Atakuwa na shamba boy au dereva wake anamsokonyoa kisolokupwinyo!
      Saint Ivuga likes this.

    10. #47
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,255
      Rep Power : 2623
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Tafsiri ya nguvu ya kiume ni kusimamisha au kuzalisha? Isije ikawa na hawa jamaa wanachanganya habari. Ila juzi tena kuna ishu nyingine kuwa mabodaboda wako hatarini kuwa wagumba. Hii ni hatari
      BelindaJacob and LD like this.
      Beware of a sucker punch

    11. #48
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By Raia Fulani
      Tafsiri ya nguvu ya kiume ni kusimamisha au kuzalisha? Isije ikawa na hawa jamaa wanachanganya habari. Ila juzi tena kuna ishu nyingine kuwa mabodaboda wako hatarini kuwa wagumba. Hii ni hatari
      Ah, hao mabodaboda wacha wawe wagumba wamalize kizazi cha mabodaboda, wahuni sana, last week mwenzao kaja kapita upande wa kushoto wakati nimesimamisha gari kumpisha mtoto avuke akaja kumgonga na kuanza kunishutumu mie wakajaa kama nzi pale, nina bahati nilikuwa na silaha wakasogea mbali leo ningekuwa marehemu kwa kosa la mhuni mwenzao nae kaanguka kaumia kichwa. Wakome though am sorried to the passengers!

    12. #49
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,055
      Rep Power : 14521
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5004

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By Bondpost
      Usiniambie uliliwa na p.u.n.g.a! Du! Malizia stori bana enhe na wewe uli-enjoy?
      atanilaje na haifunction jamani mkuu Bondpost? hana meno my dear, hang'ati kabisa, yaani inakoroma! ni huruma kwa kweli!
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    13. #50
      Kizamani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th September 2011
      Posts : 389
      Rep Power : 466
      Likes Received
      97
      Likes Given
      3

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Katumia standard gani huyu? Kama mtu ana wanawake watatu na kapiga moja moja, si kwamba hana, ila kagawa. Wanaonunua hizi dawa ni wale wanaooa wake wengi na kila siku ana zamu. Siye wenye mke mmoja aka, kila siku inakuwa mpya. Pombe pia inafanya vijana wengi kuwa na nguvu hafifu. Acheni kunywa mipombe mikali.

    14. #51
      webondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Location : Chini ya mwembe
      Posts : 1,167
      Rep Power : 589
      Likes Received
      178
      Likes Given
      381

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Wanaume wengi naamini wako poa kabisa zaidi ya inavyodhaniwa, kuna vitu kadhaa vinachangia watu kuonekana hawana nguvu za kiume au kukosa kabisa nguvu za kiume. Lakini pia wakizingatia mambo flani hakika wanakuwa sawa kabisa.

      Kwanza kutojiamini; mwanaume akikosa kujiamini anapokuwa katika tendo la ndoa ni kawaida kukuta uume unakosa nguvu. Pili- Matumizi ya pombe. Wanaume wengi ambao wanatumia zaidi pombe (hasa pombe kali au ulevi wa kupitiliza) kamwe huwezi kuwa mzuri wa ngono, wengi wanajidanganya kuwa ukinywa pombe kali eti unachelewa kukojoa.... nadhani ni dhana potofu. Kwa mtu unayeweza kuchezea na ngono vizuri hata ukiwa mkavu bado unaweza kufanya uchelewe kukojoa. Tatu - Uwezo wa kuwa tayari wa kushiriki hiyo ngono... jamani ngozo huwa inajengwa na mawazo (feelings) ingawa nguvu inatumia pia, sasa mara zote ufanywaji wa ngono ni lazima uwe umeandaliwa kwa mawazo, kama mtu hakujiandaa kushiriki ngono kimawazo kamwe uume hauwezi kusimama au hata kama utasimama ushiriki wake hauwezi kuwa mzuri. Hii ina maana kuwa mtu mwenye msongo wa mawazo kamwe hawezi kushiriki vizuri. Nne - Matumizi ya tumbaku (sigara) na madawa ya kulevya, haya ndo balaa zaidi. Mtu ambaye anatumia hayo mambo kwa muda mrefu inapunguza nguvu za kiume. Kwetu sisi wanaume ubovu wake ni kuwa unapohitaji kufanya ngono lazima uume (mboo) usimame, hii ina maana moja kwa moja kama uume haukusimama basi tayari inakuwa tatizo. Kwa wenzetu kina dada (kina mama) hata kama hana hisia, au hana nguvu au vinginevyo ngumu kujua kwani maumbile yanawa-favor. Kwani wao hata wakiamua ku-pretend hutaweza kujua, mwingine waweza kukuta hata hamu hana lakini huwezi kujua.

    15. #52
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,705
      Rep Power : 10173
      Likes Received
      5667
      Likes Given
      12666

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      wanawake wenyewe hawa kwa nini nguvu zisipungue?
      Kaizer and Blaki Womani like this.
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    16. #53
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,705
      Rep Power : 10173
      Likes Received
      5667
      Likes Given
      12666

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By Bondpost
      Atakuwa na shamba boy au dereva wake anamsokonyoa kisolokupwinyo!
      hahaa manake kweli anataka kutuhakikishia kuwa anaweza kukaa mwaka bila kuwashwa ama kutaka apigwe mjegejo
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    17. #54
      Azimio Jipya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Location : Universal Space Station
      Posts : 3,281
      Rep Power : 5415
      Likes Received
      1006
      Likes Given
      1731

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By King Kong III
      Watu hawajiamini,mwanamme kamili bao la kwanza ni ndani ya dakika 1 hadi tano,sasa watu wamemezeshwa sumu kwamba lazima uende nusu saa bao 1 ukienda chini ya hapo basi una upungufu wa nguvu za kiume,wanaume tujiamini,kama unataka kupiga bao moja kwa nusu saa zipo njia natural(withdrawal) na great foreplay na si kutumia madawa,achaneni na hayo madawa.
      Seconded!!!
      Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
      "Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.

    18. #55
      Kunta Kinte's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th May 2009
      Posts : 2,570
      Rep Power : 2536
      Likes Received
      604
      Likes Given
      762

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By Davie S.M
      Hawa Jamaaa kweli shule yao haiwasaidii...ratio ya Tz inaruhusu,nina wanawake wa4, acha nightstand ..niwapige 3 x 4/week ????? Its obvious watapigwa Moja moja wote..ya Nini Nijichoshe wakati Urithi wetu ..Mambo ya Kumpiga 3 au 4 hayapo siku izi.

      Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
      uKIZINGATIA NA HAKA KAUGONJWA KETU UKIJITIA UFUNDI MWINGI NI LAZIMA UUKWAE- KAMOJA TU KA HAMU KANATOSHA!!
      Have patience with all things, but chiefly have patience with yourself.- Saint Francis de Sales

    19. #56
      Msaranga's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th February 2009
      Posts : 170
      Rep Power : 558
      Likes Received
      24
      Likes Given
      67

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      nakubaliana na mdau kwa 100% hivi vitu tumevizuea sana kuviona hadharani inabidi wavisitiri kidogo
      Quote By ndetia
      kweli kabisa wanaume wengi hatuna nguvu na inasababishwa na mambo mengi vyakula,ugumu wa maisha na wamawake wenyewe unakuta ofisin mwanmke kajaliwa hips halafu kavaa min ikiinama shida akikaa mbele yako tabu tupu sas wanaume tumeshazoea kuona maumbile ya kike kiholela kwa hiyo kunakuwa hamna cha ajabu hata hisia zinaisha zaman kuona chupi ya mwanamke ni ishu leo hii majumba chupi zote zinaanikwa sehemu moja hata ukiwa kwenye daladal lazima uone chupi in short macho yamezoea kuona maumbile ya kike ya siri ndio maana wadhungu wananyonyona sana ili kuweka ile kitu stable

    20. #57
      Azimio Jipya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Location : Universal Space Station
      Posts : 3,281
      Rep Power : 5415
      Likes Received
      1006
      Likes Given
      1731

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By ritz
      Wanabodi.

      Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Paulo Mhame amesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume.

      Alisema pamoja na tatizo hilo kuwa kubwa, cha ajabu serikali bado haijakubali kutumia pesa kufanya utafiti wa kuandaa dawa ya kisasa ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume...watu wengi wanamiminika kwa waganga wa asili kusaka dawa alisema.

      Mpaka sasa waganga wa jadi zaidi ya 1,000 wamejiandikisha nchini kwa wanatoa dawa za kutibu upungufu wa nguvu za kiume,
      Mkuregenzi .. I honestly beg to differ ... Hakuna Mapungufu ya Nguvu hata kidogo ... kuna matumizi yasiyo sahihi ya nguvu za kiume!! Wote hao wanaokwenda kutafuta dawa etc ... wako kwenye namna fulani ya abuse nguvu zao etc ...!! ..!!
      Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
      "Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.

    21. #58
      Nivea's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 5,680
      Rep Power : 0
      Likes Received
      3141
      Likes Given
      4053

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By NDAMANDOO
      acha hizo wewe! kwa taarifa yako wanawake walioachika ndio wanasababisha maambukizi kwa asilimia kubwa wakifatiwa na wanawake/wasichana vyuoni.
      kweli wewe NDAMANDOO yani kwa aili zako hao ndio wanaoambukiza ukimwi napata mshak akama mkuu NDAMANDOO unawaza kwakutumia ubongo au matope

    22. #59
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,255
      Rep Power : 2623
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By Bondpost
      Ah, hao mabodaboda wacha wawe wagumba wamalize kizazi cha mabodaboda, wahuni sana, last week mwenzao kaja kapita upande wa kushoto wakati nimesimamisha gari kumpisha mtoto avuke akaja kumgonga na kuanza kunishutumu mie wakajaa kama nzi pale, nina bahati nilikuwa na silaha wakasogea mbali leo ningekuwa marehemu kwa kosa la mhuni mwenzao nae kaanguka kaumia kichwa. Wakome though am sorried to the passengers!
      Duh! Pole sana kwa mkasa. Ila kwa upande mwingine wanasaidia sana katika sekta ya usafiri sema hawana mwongozo
      Beware of a sucker punch

    23. #60
      Smile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th July 2011
      Location : paradise
      Posts : 11,213
      Rep Power : 23384
      Likes Received
      8169
      Likes Given
      5853

      Default Re: Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

      Quote By cacico
      ritz wengine wananza kuchokonolewa chemba zao wakiwa wadogoooooooo! hata kama alizaliwa rijali unakuta baada ya muda na yeye ni victim, enzi hizo kabla sijaolewa nilikutana na mkaka, nikasema ni mkaka wa haja, ila wakati tunakiss for the first tym nikaona ukimshika makalio anapiga ukunga wa ajabu, nikasema hichi nini, hebu leo nijionee, ukimuweka v.i.d.o.l.e anafurahia mpaka basi anataka niendelee tu kumuweka tu, lakini ku-du ha du wala nini?? na hiyo ni miaka ya 2000 alikuwa 24yrs old mimi ndio tu nimemaliza A level. lol nilishangaa sana na ndio ukawa mwisho wangu mi na yy! so mambo mengi yanachangia now days guys kuwa hawako imara kama simba! ila huyo kaka anatamani kuwa normal mpaka kesho, hajaoa, ila huwa tunawasiliana na ninampa moyo kuwa akiamua anaweza kuacha na akawa mzima tena!
      whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aat??????????????????????
      cacico likes this.
      It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long

    Page 3 of 6 FirstFirst 12345 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...