I agree with you... kwanza kidume utajipeleleka kwa mpenzi/nyumba ndogo wakati uko vizuri siku hiyo financially (kama uko alosto utakuwa na visingizio kibao vya kutotia timu); mpenzi naye most probably atakuwa ameenda kujilipua salon; mtakuwa hamjaonana kitambo, so kila mmoja ana hamu na mwenzake; mtakuwa mshawekana tayari psychologically kwa vi-sms vya 'i miss you', 'i am dying to see you'; 'leo nna nyege sana' na uwongo uwongo mwingine kibao n.k.
in contrast, nyumba kubwa mnaishi maisha real na mna-face real problems/situations: kuna kulipa bills, school fees, mna mgonjwa katoka kijijini kuja kutibiwa mjini, kodi ya nyumba imeisha (kama hamjajenga), mama/baba mnalala wote, mnaamka wote so unamuona jinsi alivyo in her/his natural state (kwa wale wanaoangalia big brother africa mtakuwa mmemuona barbz wa siku hizi na yule aliyeingia kwa mbwembwe siku ya kwanza, kwa sababu unamuona 24/7 na kuna wakati anakuwa kama ametoka kijijini leo).
so maisha ya kukaa na mtu ndani ya ndoa (even hata cohabitation tu) yanahitaji effort ya pekee kufanya moto wa mapenzi uendelee kuwaka, la sivyo mnaweza ku-turn out kuwa mtu na dadake hivihivi...
Follow Us Here