Re: Gharama ya Wivu wa Mapenzi hii hapa

By
Lizzy
Hapo sasa. . .
Kidogo kidogo ataona hata kuwa mama wa nyumbani haitoshi, itabidi aache kwenda sokoni, then dukani na mwisho asotoke kabisa bila mume maana hata akikaa barazani tu anaweza akatamaniwa na kutongozwa.
Nasikia mwanaume ndiye anayekwenda dukani. Mwanamke anashinda ndani ya geti, hakuna kutoka nje. Saloon haendi, anakwenda saloon za kiume na mumewe kunyoa na siyo kusuka wala kuset. She has lived such a life muda mrefu, amesha zoea kabisa, na aliona kawaida kuacha kazi. Alihitimu masomo ya uhasibu - Diploma mwaka 2010, akapata kazi mara 2 mumewe kamkatalia, mwaka huu March kapata ajira, juzi kaitema kisa mumewe hataki aendelee na kazi. Hawana duka wala kibanda, mumewe ni Mwalimu wa sekondari
".....development is the growth of thoughts....." Yes. We can!!
Follow Us Here