Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY

    Report Post
    Page 3 of 13 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 250
    1. #1
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY

      Hivi unapotaka kuzaa na kidume au hata yule uliyezaa naye au yule ambaye ungependa kufunga naye pingu za milele au yule ambaye sasa hivi unatesa naye....lol..................sifa ipi huwa kwako ndiyo iko kwenye mstari wa mbele?

      a) Mbegu zake za kiume waziona bora kutokana na siha yake na hivyo kuashiria watoto wako watakuwa kama yeye?

      Mjadala wa ziada kuhusiana na ubora wa mbegu za kiume bofya hapa
      Healthy sperms key to a healthy foetus

      b) Anafanana na wewe na kwa vile hujiona kwenye kioo chako hakuna kama wewe basi hapo unaona hujakalia kuti kavu..lol

      c) Vijisenti vyake vinajitosheleza vikikuashiria ya kuwa wewe na uzao wako hamtakumbana na vijishida vya hapa na pale.......................uki ona hivyo basi unatia tiki tu......................mbele kwa mbele mengineyo utajaza mbele ya safari.

      d) Kabila au dini unaona maelewano yatakuwa hayana simile............

      e) Umri wake kakuzidi kwa hiyo unaona anajua mengi kukuzidi na hivyo kuwepo maelewano.............

      f) Mlisoma wote au ni jirani yako au ni childhood sweetheart............kwa hiyo unaona bora zimwi likujualo halikuli likakwisha and that is what makes you tick.......................... ..kama una mengineyo zaidi usihofu funguka tu...............

      michango ya vidume naona ni ya hisia lakini rukhsa nao walonge wanahisi ni kipi kilimfanya mwandani wake kusema IT IS HIM.......and no one else................
      Last edited by Rutashubanyuma; 9th June 2012 at 12:30. Reason: Heading correction
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    2. Miaka 50

    3. #41
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Rutashubanyuma ungeandika kichwa cha habari kisicho na utata.
      Kichwa cha habari ndio kinakufanya eitha uyasome ya ndani au usiyasome
      Kwani utata uko wapi? Mwanamke hazalishwi na anayemzalisha si ana lake la kulonga pia? Bujibuji.............hili nimeliweka wazi pale niliposema yafuatayo

      michango ya vidume naona ni ya hisia lakini rukhsa nao walonge wanahisi ni kipi kilimfanya mwandani wake kusema IT IS HIM.......and no one else................
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    4. #42
      Kaizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th September 2008
      Posts : 13,952
      Rep Power : 21885
      Likes Received
      6905
      Likes Given
      7768

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Quote By BADILI TABIA
      mwenye sifa kama za mume wangu
      Mmh...I like that.....
      Rutashubanyuma likes this.
      "Bunduki bila risasi yaua namna gani"
      Email: [email protected]

    5. #43
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Labda # 1 itakuwa tabu kidogo, akiwa na mtoto inaweza kunipa matumaini lakini pia sio 100% maana uwezo wa kuibiwa pia upo. # 2 na # 3 sio tabu kabisa ukifanya homework kupitia mazungumzo, elimu, kazi, maamuzi yake unaweza jua IQ yake ni design gani ama hiyo ya maradhi nitajaribu kupenda kujua habari za kwao hata kufanyia upepelezi wa aina fulani itahusika.
      MadameX kama ana magonjwa ambayo siyo ya kurithi huo uchunguzi wako utakwama.....kwenye namba moja huna ujanja kama mtoto siye wwake au hana mtoto kabisa .....na hizo 2 na 3............utakuwa unabahatisha tu..........nionavyo kinachokuongoza ni hisia tu kuwa hapa umevuna dume au hapa ni maumivu lakini ukitaka kuchambua utakuta kuna mengi yako nje ya uwezo wako katika kufikia mamuzi ya busara..............taarifa nyingi huna au ulizonazo hazitoshelezi kukufanya ufanye maamuzi mazito kama hayo.....................
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    6. #44
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      By BADILI TABIA

      mwenye sifa kama za mume wangu
      @..........................kama zipi?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    7. #45
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      dah.. Elizabeth Dominic nilikuwa najiuliza nimekuona wapi lakini Rutashubanyuma ameshanisaidia.
      Kaizer Kaizer.........................kuna nini na kulikoni mbona sikuelewi.........nimekusaidia kivipi?
      Kaizer and Elizabeth Dominic like this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    8. Study Abroad

    9. #46
      KakaJambazi's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 5th June 2009
      Posts : 4,244
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1069
      Likes Given
      935

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Mi nafikiri kichwa cha habari kilipaswa kuwa,,unapenda uambukizwe ujauzito na kidume mwenye sifa zipi? ili kupunguza ukali wa maneno kama wengi walivyopendekeza.
      Rutashubanyuma likes this.

    10. #47
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Ofukozi za darasani, za maisha na kumcha Mungu ni mazingira ya makuzi lakini za darasani kama ni nazi ni nazi tu.
      Kongosho ninafahamu wengi ambao darasani walikuwa magwiji lakini walipotoka pale na kujipatia cheti swafi wakaishia hapo.........siku hizi ni mataputapu tu..........................hu wezi kuamini yaliyowasibu........katika za maisha utampimaje?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    11. #48
      mbalu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th May 2012
      Location : Ntuzu
      Posts : 214
      Rep Power : 395
      Likes Received
      98
      Likes Given
      68

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      We usiyerudinyuma (@Rutashubanyuma) hapo kwenye C tu ndo mpango mzima, maana hakuna kilaza mwenye uwezo wa pesa yenye ushawishi.
      Rutashubanyuma likes this.
      Ong'wizukuru Shimba nawe Shimba.

    12. #49
      Mwanaweja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2011
      Posts : 3,447
      Rep Power : 1108
      Likes Received
      457
      Likes Given
      921

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      hakuna sifa kwahili yote nin ndani ya six ndio huishia hapo
      Rutashubanyuma likes this.

    13. #50
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Mi nafikiri kichwa cha habari kilipaswa kuwa,,unapenda uambukizwe ujauzito na kidume mwenye sifa zipi? ili kupunguza ukali wa maneno kama wengi walivyopendekeza.
      KakaJambazi umefikiri vizuri tatizo huwezi kumuambukiza mtu kitu au ambacho wewe huna. Kidume hatuna ujauzito kwa hiyo hatuwezi kumwambukiza kijike kitu ambacho hatuna labda ningelisema kumdunga sindano na wako ambao wangelisema kicwa kina walakini mbona sindano watu hudungwa hospitalini..............kiukw eli kichwa kipo mahali yake lengo ni kuwa na tungo tata......yenye kuzua mjadala....................kam a huu unaoendelea................... ..duh
      KakaJambazi likes this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    14. #51
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,644
      Rep Power : 4014
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      This is an interesting topic...I think the selection for the person to father the kids, matters alot Rutashubanyuma.
      Rutashubanyuma likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    15. #52
      Elizabeth Dominic's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 7th December 2007
      Posts : 2,729
      Rep Power : 5461
      Likes Received
      1959
      Likes Given
      2652

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Quote By Rutashubanyuma
      Lemonade.....mara nyingi huwa hatutafakari maamuzi yetu tunayoyafanya lakini kuna sababu za survial of the species ambazo hutuongoza bila ya kujua yule unayempenda mara nyingi ni kwa sababu unaona wewe na uzao wako utakuw salama kwa maana ya ana uwezo wa kuwajibika na kuitunza familia yake au ana maumbile ambayo wewe unaona yana afya tele..................na hili la brain power ni nguzo ya kuishi raha mustarehe..................kwa lugha nyingine penzi huongozwa na nia ya kuona kizazi chako kinaendelea bila ya mushkeli wowote ule.................sasa swali mwenye akili utamjuaje..................... ....???????
      Hapo chacha..........wengi utazama kiwango cha elimu.............lol
      Rutashubanyuma likes this.

    16. #53
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      We usiyerudinyuma (@Rutashubanyuma) hapo kwenye C tu ndo mpango mzima, maana hakuna kilaza mwenye uwezo wa pesa yenye ushawishi.
      @ tatizo la kipengele cha c hakiwezi kuwa dira ya yale mengineyo kuwa na pesa hakumaanisha utakuwa mcha mUngu.................tane yawezekana utajiri ukwa umeupata kwa wizi mtupu........
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    17. #54
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Hapo chacha..........wengi utazama kiwango cha elimu.............lol
      @ hata kam atabia yake siyo mtu mweledi wa maisha utazuzuliwa na shule pekee na pengine hata shule yeye mwenyewe haijamsaidia................it akusaidiaje wewe na wanao?
      Elizabeth Dominic likes this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    18. #55
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      This is an interesting topic...I think the selection for the person to father the kids, matters alot Rutashubanyuma.
      Ndahani ni vyema tukapashana khabari hata tujue silaha za kubeba vitani.....lol
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    19. #56
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      hakuna sifa kwahili yote nin ndani ya six ndio huishia hapo
      Mwanaweja ni kweli ni hadi sita kwa sita..........huko mnafikishanaje au kwa kubakana? lazima kuna courtship na ili mfike huko lazima kuna vigezo kila mmoja kamshibisha mwenzie...........
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    20. #57
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Rutashubanyuma kwani nyara ya taifa hana mke?
      KakaJambazi kama anaye basi wewe ndiye umemwozesha.......duh
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    21. #58
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Mmh...I like that.....
      Kaizer you like what..........spell the beans nautafanye nasi tuseme vivyo hivyo kama wewe bila ya kuweeseka...............
      Kaizer likes this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    22. #59
      Kongosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Location : Location loading...
      Posts : 25,088
      Rep Power : 13049
      Likes Received
      14064
      Likes Given
      14838

      Default

      kama umenielewa, tabia zingine unaweza mtengenezea mtoto lakini huwezi tengeneza uwezo wa ubongo wake.

      Kufanikiwa baada ya kumaliza shule inategemea mtu alivyoandaliwa kukabiliana na changamoto.

      Sifa zingine zote zinatengenezeka tu.

      Quote By Rutashubanyuma
      Kongosho ninafahamu wengi ambao darasani walikuwa magwiji lakini walipotoka pale na kujipatia cheti swafi wakaishia hapo.........siku hizi ni mataputapu tu..........................hu wezi kuamini yaliyowasibu........katika za maisha utampimaje?
      Rubuye123 likes this.

    23. #60
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 10,669
      Rep Power : 21308
      Likes Received
      10025
      Likes Given
      13919

      Default Re: Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi?: LADIES ONLY

      Quote By Asprin
      Sasa we Rutashubanyuma, kama hii sredi ni maalum kwa ladies mbona sasa umeni-tag?

      Mi ni MWANAUME bana, for Christ's sake!
      dah! ..............uwiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiii, nakufa jamani hata huyu yumo? cjui kama c'te ameliona hili

    24. FemaTV & Radio
    Page 3 of 13 FirstFirst 12345 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...