Re: Mchubuo wamzalishia talaka Bi harusi...
Ruta unasemea ndoa nje ya misisngi ya UKRISTO na UUMBAJI.
Sijawahi kusikia watu waliofanya tendo la ndoa kanisani au msikitini.
Hata kimila wazee wetu walikuwa nautaratibu mzuri kuhusu ndoa.
Nijuavyo mimi ndoa ni makubaliano ya wawili waishi kama mke na mme!
Sasa sijui kama unaelewa maana ya
kuwa mke wa, na kuwa mme wa.
Ruta katika kauli hizo hapo juu lazima kuwepo na kitendo maalmu.
Na ikitokea mmojawapo akalalamika kuwa tendo hilo halifanyiki NDOA ubatilishwa!.
Kyaiyembe ukweli ni kuwa mnapooana hamsemi kuwa mnakwenda kudu..........hay ni matunda yake na tena siyo yote.............mkishindwa kwa sababu ya kimaumbile siyo sababu ya kuachana.
Hizo ndizo kafara zenyewe............until death us apart..............the Scriptures say
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Follow Us Here