Habarini wadau...Jamani nani mwenye kujua hii kitu inafanyika lini?maana nimepata msg kuwa ni kesho ...naskia ni nzuri kuna yeyote aliyewahi shiriki kati yetu? Asanteni
Habarini wadau...Jamani nani mwenye kujua hii kitu inafanyika lini?maana nimepata msg kuwa ni kesho ...naskia ni nzuri kuna yeyote aliyewahi shiriki kati yetu? Asanteni
Ukaniite siku ya mateso, Nitakuokoa na wewe utanitukuza :Zab (psalm)50:15
Itakuwa jumamosi ya tarehe 9 june 2012 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa moja jioni, pale Dunken House Mikocheni.Hapa ndio pale wanapokutana kina dada/wamama kuzungumza changamoto za kila siku katika mahusiano,ndoa,na familia kwa ujumla.
Don’t judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.
kiingilio elfu 30
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
Kwa maelezo zaidi tembelea Blog ya Dinamarious.blogsport.com
Siyo tu kuwa niko deep na mambo yao, ila ni wajibu wangu na najisikia amani na furaha ku-collect information zinazowahusu wadada na kuwafikishia ipasavyo, na kuawasaidia kwa nguvu zote pale inapobidi. Siwezi hata kidogo ku-undermine uwepo wa Wadada ktk dunia hii, bali natumbua na kuthamini uwepo na uwezo wao maana wao ndiyo walionizaa, wakaninyonyesha, wakanifunga nepi (eti siku hizi ni pampas!), wakanilea, wakanitunza na kunipenda. Najisikia fahari sana kuwahudumia hawa ndugu ingawa baadhi yao huyatesa mawazo yetu wanaume na kutufanya saa nyingine tusiwaamini! But all in all, kwangu mimi hakuna kama mama!
Don’t judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.
Haya jamani wanaokwenda wakirejea watueleze chamsingi kilichokua kinasemwa huko.
"It is better to be hated for what you are then to be loved for what you are not."
kuna kazi namalizia hapa niwape yaliyojiri
Follow Us Here