labda mmoja ambaye yupo serious atakwepo
labda mmoja ambaye yupo serious atakwepo
Polee, unaonesha kukata tamaa.
Sasa ukiwa nao 10, utapata wapi nafasi ya kumjua aliyeserious?
Kuwa na marafiki wengi, na pata mpenzi mmoja kati ya marafiki zako!
..........When you run out of rope; grab onto faith.......... T.B Joshua
Utampata mpenzi serious pamoja na kirus serious
usikate tamaa mapema hivyo you have alot of things to do hebu kuwa makini na unaowachagua maybe huwa unachagua mbichi badala ya mbivu.
"Quality is always better than quantity. That's why the people I call true are few."
yan mi nachoka kabisa na hayo mambo wadada 2ki2lia 2napata dume gubegube, na kina kaka waki2lia wanapata wadada magumegume, mweeeh!
Ukiipata neema ya Mungu ukaweza kuwa peke yako ni jambo jema,
Ila kwa Ubinadamu huwa hatuwezi mara nyingi.
Mh!Sijajua kama umechoshwa au umechoshwa.Hebu jiulize je,wewe mwenyewe umekua mwaminifu kiasi gani kwa wapenzi wako wa nyuma?
you always have brain Eiyer. l like what you said.
Maana wamekuwa disappointed sana kiasi kwamba wamekata tamaa!
Shida Mdogo wangu Smile is so picky!
Bora kuwa na wawili
you are very right Eiyer and thats why huwa nasema b4 complaining ask your self what was your contribution in whatever happened? sipend kabis akukimbilia kulauu bali hua najiassess mimi binafsi kabla ya kuangalia upande wa mtu mwingine.
Follow Us Here