Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii halafu ufanye jambo la kijinga namna hii.MWANAUME anaridhika na mkewe na anamheshimu mkewe.Hata mke huyo anajisikia fahari kumtambulisha kwa rafikize.Siyo kila mwanamke anaujua utupu wako una urefu gani,yaani anakuona kama hujavaa vile.Yanini raha ya mkeo uigawe hovyo hovyo?Enyi wanawake mkimgundua mwanaume wa aina hii,mkimbie hakufai!Tafadhali wanaume tujiheshimu!
ili uheshimike kwenye ndoa heshimu familia yako heshimu mke/mme wako mtaishi kwa amani sana lakini hii chovya chovya madhara yake ni makubwa sana kama vile magonjwa, kuonekana uko mtupu, etc.
Ni kweli bwana, inabidi tutafute kauli mbiu Fulani hivi ili wanaume waone udecent ndio Dili!
To honest yahitaji uwe na moyo wa jiwe ili uweze kuyaishi haya dunia yenyewe hii iliyo jaa kila aina ya vishawishi labda ashuke malaika lkn kwa binadam wa leo ni vigumu sana. Mapungufu ni mengi mno kuanzia miili yetu wenyewe hadi aina ya maisha anayoishi binadam wa leo.Sikatai wapo wanaojaribu lkn wanashindwa na mazingira wanayoishi. Kama wote tutaamua kuwa wakweli kuhusu ndoa zetu au mahusiano yetu ni vigumu kupata couple iliyo salama kama mfano wa mtoa mada. BUT kama twataka kujiridhisha kwa sifa na maneno tu HATA MIMI NIMO;;;;
eiyer point! nimekugongea mi-like kama 10 ya bureeeeeeeeeee! yaani wakifanya wao eti ni ufahari! hata matron wa haruc anataka amege, tufiakwa mimate ya kutosha kifuani mwangu, bora liende tu, nikae tu!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Thanks gfsonwin that is so sweet of you kunipigia debe to my Eiyer. Nahitaji kufundwa sana na wewe, kwenye hii kitu ya marriage; lakini kilichokuwa kinanishinda siku zote ni kuvumilia infidelity and l thank God that kwa my Eiyer that is not an issue kabisa. Eiyer; how I love that sound of the sweet name!
Ninajiona mfalme zaidi ya Daudi!Thank God kwa kunipa mke smart kama huyu!
Kongosho,najua wanawake wachache sana waliopata "bahati" ya kupata wanaume kama mimi,but trust me tupo japokua najua ni wachache,ile dizain ya kina The Boss na Asprin ndo wengi zaidi!
eiyer point! nimekugongea mi-like kama 10 ya bureeeeeeeeeee! yaani wakifanya wao eti ni ufahari! hata matron wa haruc anataka amege, tufiakwa mimate ya kutosha kifuani mwangu, bora liende tu, nikae tu!
Miwivu tu; pisha huko wewe unafikiri kila mwanaume ni sawa na The Boss! Wapo rare species like my Eiyer!
Mti wenye maembe ndo unaopondwa mawe mengi, usije kuwa umechagua koroma.
Anyway, kama ni kweli yuko hivyo good for you.
Bora shetani nimjuaye kuliko malaika nisiyemjua lol
By Kaunga
Ha ha ha!
Aisee kuna vitu vya kushea lkn sio Eiyer aisee; basi nakuachia nafasi yangu ya kuwa SH wa The Boss ili uamini siyo fisadi kihivyooo!
Unadhani anabeba kila kitu?
By Eiyer
Kongosho,najua wanawake wachache sana waliopata "bahati" ya kupata wanaume kama mimi,but trust me tupo japokua najua ni wachache,ile dizain ya kina The Boss na Asprin ndo wengi zaidi!
Mmmh, kumbuka watoto wengi wa kiume wamekuwa wakibakwa na wachungaji huko huko makanisani.
Na si kila asemaye 'Bwana Bwana atauona ufalme' Angalau wanaishi wanachokiamini kuliko ku-pretend lol
Mwanamme leo aone mke mmoja kisa kasoma gazeti la BBC London wakati babu yake alikuwa na wake 18, baba yake ana wake 4, kajifunzia wapi huo utamaduni? Kwenda kusoma UK miaka 4 ifute chote alichojifunza tangu kazaliwa? Ocol? Uprooting the pumkin around the homestead kwa siku moja? Bora niuishi ukweli na kufurahia kuliko kuhangaika kutafuta 'alliens'
Thanks gfsonwin that is so sweet of you kunipigia debe to my Eiyer. Nahitaji kufundwa sana na wewe, kwenye hii kitu ya marriage; lakini kilichokuwa kinanishinda siku zote ni kuvumilia infidelity and l thank God that kwa my Eiyer that is not an issue kabisa. Eiyer; how I love that sound of the sweet name!
you are the most luckiest gel Kaunga i wish so do i. and Eiyer please practice what you preach. that it so sweet ma dears.
Follow Us Here