Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

    Report Post
    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 41 to 60 of 64
    1. #1
      Mwana Mpotevu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th September 2011
      Posts : 1,972
      Rep Power : 857
      Likes Received
      908
      Likes Given
      878

      Default Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      Zifuatazo ni sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume kamili anapenda kuziona ama kuzikuta kwa mwenza wake.

      1. Mwanamke anapaswa kuwa na maisha yake na sio maisha ya kuiga. Wapo wanawake ambao hupenda kuiga kile kinachofanywa na wanawake wenzake na kudhani hivyo ndivyo anavyopaswa kuwa. mwanamke mwenye tabia hiyo huwa hana mvuto kwa mwanaume kwani atakuwa ni mwana mke fake.

      2. Mwanamke anapaswa kuwa mtiifu na mwenye heshima na pia mwenye busara. Mwanamke hapaswi kuwa na kiburi na kutaka kuota mapembe ndani ya mahusiano. Heshima na utiifu haimaanishi kuwa tayari kunyanyaswa, hapana. Mwanamke anapaswa ampe mpenzi wake ama mumewe heshima inayotakiwa kama kichwa cha mahusiano yenu.

      3. Mwanamke anapaswa kuwa na uwezo wa kujitegemea. Hapa utata idogo, wapo wale wanaoamini kuwa mwanamke anapaswa kutegemea kila kitu toka kwa mwenza wake. lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda kuwa na uhusiano na mwanamke ambaye anaweza kusimama kwa miguu yake na kujitegemea pia.

      4.Mwanamke lazima awe anajiamini. Naam, hapa haimaanishi kuwa anatakiwa kuwa kiburi na mbishi, hapana. Isipokuwa mwanamke anapaswa aonyeshe kujiamini kwa kile anacosema na anachotenda. Kujiamini kunamfanya mwanaume ajue kuwa ana mpenzi ama mke ambaye anaweza kukabiliana na mikwaruzo mbalimbali inayohitaji hoja na utetezi.

      5. Mwisho, mwanamke anapaswa kuwa na mvuto. Hapa haimaanishi kuwa mrembo saaaana, hapana. Ina maana kuwa mwanamke anapaswa kuwa nadhifu kila wakati ili kumfanya mwanaume apende kuwa nawe na avutiwe kuwa nawe wakati wote.

      Sifa hizi tano akiwa nazo mwanamke, basi atambue fika kuwa Mwanaume atavutiwa nawe na uhusiano wenu unaweza kudumu na kudumu na kudumu. Unaweza kuongeza sifa nyingine hapa chini...........
      Don't break the LAW, just Bend It!

    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      Baby M's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th April 2012
      Posts : 103
      Rep Power : 378
      Likes Received
      14
      Likes Given
      129

      Default

      Quote By wahida
      hayo yote yanawezekana kwa mwanamke kuwa nayo .ila hakuna mkamilifu ,unaweza muona ana sifa zote ila maybe sio mzur wa sura wala umbo.. sasa vip ana faa au hafai sifa 5 hazijakamilika? na nyinyi men wa saiv huwa mtu akawa anatenda hayo yote ili kuwin penzi na kukutuliza bwana wake ila ana endup kuwa **** na just freak shit muna muona mshamba , na muna sababisha changes ya mwanamke kuwa vyengine sasa.
      Umeonaa eeh bt mwanamke akiwa hvyo mwanaume akaenda opposite yy ndy mshamba na wajanja watamzd kete mda c mrf
      wahida likes this.

    4. #42
      Mwanaweja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2011
      Posts : 3,476
      Rep Power : 1115
      Likes Received
      469
      Likes Given
      952

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      kweli ni muhimu kuwa na sifa hizi lakini malezi, mapokeo, na kipato kwa wanawake nitatizo kubwa sana
      Mwana Mpotevu likes this.

    5. #43
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Mwana Mpotevu
      hahahahahahaha umejipambanua Bajabiri ?
      mdau naaam,,,,,,its reliable and so fast with absence of conflicts

    6. #44
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Nteko Vano
      Unakamilisha usemi mmoja kuwa raha ya mapenzi ni ku**joa
      pale nafata utelez tu,,,utamu nnao mwenyewe
      Mwana Mpotevu likes this.

    7. #45
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Mwana Mpotevu
      mkuu huo usemi sio sahihi, vinginevyo basi mastabesheni ingekuwa ndio kila kitu maana shughuli pale inaisha kama ulivyosema
      pale unafata natural utelezi,,,,,,,

    8. Miaka 50

    9. #46
      Safhat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 270
      Rep Power : 407
      Likes Received
      24
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By kijana15
      maelezo namba 2, yanawashinda wanawake wengi. Lol
      mh! w.ke weng au wko 2 ndo yanamshnda..

    10. #47
      charminglady's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 16th April 2012
      Posts : 8,862
      Rep Power : 17532
      Likes Received
      4886
      Likes Given
      5322

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      Quote By kijana15
      maelezo namba 2, yanawashinda wanawake wengi. Lol
      isipokuwa mimi tu ndo ninaiweza!!!
      Mwana Mpotevu likes this.

    11. Lis
      #48
      Lis's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd June 2012
      Posts : 128
      Rep Power : 376
      Likes Received
      23
      Likes Given
      0

      Default

      uko
      juu.
      Mwana Mpotevu likes this.

    12. #49
      Mwana Mpotevu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th September 2011
      Posts : 1,972
      Rep Power : 857
      Likes Received
      908
      Likes Given
      878

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      Quote By Bajabiri
      mdau naaam,,,,,,its reliable and so fast with absence of conflicts
      nimeipenda sana hiyo
      Don't break the LAW, just Bend It!

    13. #50
      Mwana Mpotevu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th September 2011
      Posts : 1,972
      Rep Power : 857
      Likes Received
      908
      Likes Given
      878

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      Quote By charminglady
      isipokuwa mimi tu ndo ninaiweza!!!
      hahahahahaaha charminglady ya kweli hayo??
      Don't break the LAW, just Bend It!

    14. #51
      AL-BABU's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 24th May 2012
      Posts : 8
      Rep Power : 354
      Likes Received
      1
      Likes Given
      10

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      kweli lakn kwa jamii ye2 ya sasa na hawa wanawake kipengele #2 nathan kinakuwa kikwazo kwa walio wengi

    15. #52
      Mwana Mpotevu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th September 2011
      Posts : 1,972
      Rep Power : 857
      Likes Received
      908
      Likes Given
      878

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      Quote By AL-BABU
      kweli lakn kwa jamii ye2 ya sasa na hawa wanawake kipengele #2 nathan kinakuwa kikwazo kwa walio wengi
      ndio maana wanapigwa vibuti kila siku kwa viburi vyao na kuota kwao mapembe hasa wale wanaojiona ni wasomi
      AL-BABU likes this.
      Don't break the LAW, just Bend It!

    16. #53
      Mzalendo Mkuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 548
      Rep Power : 548
      Likes Received
      91
      Likes Given
      285

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      salute kwenu wote. Publisher amefanya kazi kubwa sana ya kuandaa hii hoja. Kwa mdau mmoja naomba ni mwambie kuwa mapenzi yanahusisha watu 2. Hivyo ponyeto siyo mapenzi.
      Mwana Mpotevu likes this.

    17. #54
      DERICK2000's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th April 2012
      Posts : 204
      Rep Power : 399
      Likes Received
      34
      Likes Given
      15

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......



      smartness..tunaicheki sana..na appearance(shape).
      Mwana Mpotevu likes this.

    18. #55
      marida's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th October 2011
      Posts : 169
      Rep Power : 415
      Likes Received
      20
      Likes Given
      5

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      Mwana Mpotevu likes this.

    19. #56
      Mwana Mpotevu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th September 2011
      Posts : 1,972
      Rep Power : 857
      Likes Received
      908
      Likes Given
      878

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      Quote By MZALENDO MKUU 2
      salute kwenu wote. Publisher amefanya kazi kubwa sana ya kuandaa hii hoja. Kwa mdau mmoja naomba ni mwambie kuwa mapenzi yanahusisha watu 2. Hivyo ponyeto siyo mapenzi.
      word mkuu
      Don't break the LAW, just Bend It!

    20. #57
      Mwana Mpotevu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th September 2011
      Posts : 1,972
      Rep Power : 857
      Likes Received
      908
      Likes Given
      878

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      Quote By marida
      marida nikiangalia profile photo yako nahisi utakuwa una-miss sifa moja kuu kati ya hizo tano hahahahahaha
      Don't break the LAW, just Bend It!

    21. #58
      kitero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st February 2012
      Location : Kaskazini
      Posts : 516
      Rep Power : 469
      Likes Received
      98
      Likes Given
      48

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      Awe na hofu ya Mungu/ mpenda dini. Na akubali kuwa chini ya mume wake,Awe anapenda watoto na awapende ndugu wa pande zote Awe anava nguo zenye heshima asiwe mzururaji ovyo.

    22. #59
      marida's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th October 2011
      Posts : 169
      Rep Power : 415
      Likes Received
      20
      Likes Given
      5

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      [QUOTE=Mwana Mpotevu;4011285]marida nikiangalia profile photo yako nahisi utakuwa una-miss sifa moja kuu kati ya hizo tano hahahahahaha

      ipi hiyo?...

    23. #60
      Mwana Mpotevu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th September 2011
      Posts : 1,972
      Rep Power : 857
      Likes Received
      908
      Likes Given
      878

      Default Re: Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona.......

      [QUOTE
      ipi hiyo?...[/QUOTE]

      oh sor, avatar
      Don't break the LAW, just Bend It!

    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...