Na kama huamini, basi siku ukienda mahakamani kama mshitakiwa na hakimu akakuuliza hivi, eti nikweli Eiyer umeiba...wewe jibu hiv, NDIYO MUHESHIMIWA NIMEIBA...Halafu baada ya hapo uje utupe feedback!!
Babu DC bwana
Kuna ile danganya ambayo lazima udanganye kwa kuwa umeulizwa but kutokusema kila kitu inaweza kuwa rahisi klama hujaulizwa. But ukiulizwa ni lazima ujibu bana
Babu DC bwana
Kuna ile danganya ambayo lazima udanganye kwa kuwa umeulizwa but kutokusema kila kitu inaweza kuwa rahisi klama hujaulizwa. But ukiulizwa ni lazima ujibu bana
Hahahahahahahahahahha,
Yaani una manaa hapa utamwaga tu data...
Mkuu wa kaya (MK): Soulmate ulikuwa unaongea na nani mbona simu ilikuwa busy muda mrefu?
MJ1: Ni yule ex BF wangu wa USA. Kanipigia
MK: Anasemaje?
MJ1: Eti amenimiss sana...halafu anasema kuwa duuuu enzi zile tulitesa sana. Amenikumbusha jinsi tulivyoenda kujirusha Zanzibar baada ya kupewa zawadi ya birthday yake!...Yaani nimefurahi sana kwa kuwa tulikuwa hatujaongea muda mrefu!!
MK: Ok, msalimie sana.
MJ1: Poa soulmate, amesema atapiga tena J2!

.....
Babu DC!!
Hahahahhaahaha Babu DC kwanza I do not entertain Exes! Pili ikitokea amenipigia definitely mazungumzo hayatokuwa ya aina hiyo, ni short and clear then hata kabla hajauliza nitakuwa nshajishtaki mwenyewe (na nlivyo mmbeya dah! yaani mdomo utakuwa wancheza hata kabla simu haijakatwa aisee)
Hahahahhaahaha Nanu DC kwanza I do not entatain Exes! Pili ikitokea amenipigia definitely mazungumzo hayatokuwa ya aina hiyo, ni short and clear then hata kabla hajauliza nitakuwa nshajishtaki mwenyewe (na nlivyo mmbeya dah! yaani mdomo utakuwa wancheza hata kabla simu haijakatwa aisee)
.....:screwy: .....hivi, unapokuwa unamdanganya mtu, bila 'woga' kwamba ANAJUA unamdanganya, ...kusudio lako huwa nini?
.....mimi bado sina tafsiri sahihi juu ya hili zaidi ya 'madharau' katika mapenzi. Au wewe waonaje? Mbu is only thinking ALOUD ....:what:
Nipeni maoni yenu waungwana...
Swahiba.... Sijui kwanini tunafanan kwenye hizi kitu!!!
Mnhhhh, labda nianzie hapo wakati najipanga....
Kudanganya ni aina ya psychosis ambayo inahitaji dawa, bahati nzuri, waongo wengi wanaonyesha kama vile ambavyo mental cases nyingine zinaonyesha, kuna macho, na body language ambazo hutoa facts, ndio maana hata lie detector hufanya kazi kirahisi
Follow Us Here