Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kudanganya......

    Report Post
    Page 4 of 10 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 199
    1. Mbu
      #1
      Mbu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2007
      Location : Stagnant Springs
      Posts : 10,830
      Rep Power : 9991
      Likes Received
      4709
      Likes Given
      6218

      Default Kudanganya......

      .....:screwy: .....hivi, unapokuwa unamdanganya mtu, bila 'woga' kwamba ANAJUA unamdanganya, ...kusudio lako huwa nini?

      .....mimi bado sina tafsiri sahihi juu ya hili zaidi ya 'madharau' katika mapenzi. Au wewe waonaje? Mbu is only thinking ALOUD ....:what:

      Nipeni maoni yenu waungwana...

    2. Miaka 50

    3. #61
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,567
      Rep Power : 5616
      Likes Received
      6211
      Likes Given
      2281

      Default

      Quote By Mbu
      .....hahaha.....kuna walio expatriates wa kudanganya hata ukimwambia aape kwa msahafu, au biblia.....

      Atadanganyia humo humo na kiapo cha uongo...
      Uongo ni kipaji. Unapodanganya hutakiwi kusahau....:D
      mbu,
      mwenye silka ya kudanganya huwa hasahau....
      Ushawahi kuambiwa kuwa 'fulani akiongea maneno kumi, chukua mawili, maneno nane muachie? Hao ni balaa......kwa kupangilia uongo...

      Ila ukiona mtu kakudanganya, halafu masaa mawili baadae anageuza sentensi jua sio mzoefu huyo

      ila inakera unapodanganywa huku ukijua kuwa unadanganywa loh.....
      Mbu likes this.

    4. #62
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,189
      Rep Power : 28902
      Likes Received
      11672
      Likes Given
      4819

      Default Re: Kudanganya......

      RR na wewe unazeeka siku hizi!
      Waelewe Mbu na Fidel80 hapo ufaidike. U play by the rules of the game. Ila kuna mambo for sure huhitaji kuyajua. Unadhani Mungu alivyoweka kuwa hakuna kusoma mind ya wenzio alikuwa hana software?

      Mie hata Mungu anipe kipaji ya kuona mambo ya kiroho ntakataa, I'm comfortable hapa. Lol! Maisha yangekuwa magumu atii kama kuishi kwenye 'Men in Black 3'!
      Mbu, LD and Kaunga like this.

    5. Mbu
      #63
      Mbu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2007
      Location : Stagnant Springs
      Posts : 10,830
      Rep Power : 9991
      Likes Received
      4709
      Likes Given
      6218

      Default

      Quote By King'asti
      I'd rather u keep quite than kudanganya (siku hizi nazeeka nakuwa msahaulifu ntakamatwa tu!). Mbona kuna njia rahisi tu ya kukwepa kusema ukweli bila kudanganya? Ukiulizwa uko wapi, unajichekelesha na kusema 'umeshanimisi eeh? Unafanya nini darling', mbona anasahau swali lake la msingi anajibu la nyongeza! Lying is bad, nikoishadanganywa nakuweka kwenye kundi hilo tu! Ukisema uko kwenye mataa ya morocco I don't expect u to be! So najipimia muda wa kufanya nnachotaka na nnachojisikia kufanya.
      .....in that case umejikinaisha na 'kudanganywa'....mie ninavyopenda ligi...nitapoacha kujali inamaana mapenzi yamekufa....

      Erotica aligusia wengine hudanganya kwa kujikwamua na maswali na kubanwa banwa na maswali ya 'upo wapi, na nani, kwanini, utarudi saa ngapi, hutachelewa ....etc'....

      Erotica, naomba kukujibu mie Mbu na prefer mtu anayenambia ukweli unaouma, kuliko kuambiwa Uongo wa dhahiri.
      Kaunga likes this.

    6. #64
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,441
      Rep Power : 32076
      Likes Received
      14546
      Likes Given
      22033

      Default Re: Kudanganya......

      Kuna kudanganya kwa dhamira ya kujipa kauhuru flani hivi, yaani si kwa nia mbaya. Kama vile navompiga fix bibi yenu kuwa naenda kuangalia fainali ya kombe la Dunia kati ya Manchester United Vs QPR (bibi yenu asivojua mpira wala haulizi) kumbe naenda kuungana na washkaji kupiga ulabu....

      Ila kuna udanganyifu wa nia mbaya.... ili ukatimize mambo yako maovu. Nakumbuka yaliyonitokea enzi hizo (siyo mimi tafazali) Nlipomuaga bibi yenu kuwa naenda kazini night shift kumbe nikaenda lala zangu kwa Sweet Anita. (siyo mimi tafazali) Usiku mtoto kazidiwa ghafla bibie kapiga simu yangu holaaaa (nlishapanga kumfix charge imeisha incase of anything). Kamkimbiza mtoto hospital then akaamua kupiga simu ya ofisini... Alishangaa alipoambiwa mbona ODM (siyo mimi tafazali) yuko likizo siku ya pili leo?.............. Khaaaa!

      Kilichotokea ni siri yangu (siyo mimi tafazali) lakini ndoa yangu bado iko imara (kwakuwa sikuwa mimi tafazali)

      Mwisho wa hadithi.
      Mbu, RR, Fidel80 and 5 others like this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    7. #65
      Kaunga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2010
      Location : Wild wild west
      Posts : 8,430
      Rep Power : 13323
      Likes Received
      7662
      Likes Given
      6911

      Default Re: Kudanganya......

      Quote By Mbu
      .....:screwy: .....hivi, unapokuwa unamdanganya mtu, bila 'woga' kwamba ANAJUA unamdanganya, ...kusudio lako huwa nini?

      .....mimi bado sina tafsiri sahihi juu ya hili zaidi ya 'madharau' katika mapenzi. Au wewe waonaje? Mbu is only thinking ALOUD ....:what:

      Nipeni maoni yenu waungwana...
      Hata nami naona ni madharau yaliyopitiliza. Nachukia sana watu wa namna hii, mwanangu na nieces na nephews wangu wanajua mama/aunt kuliko umdanganye bora umwambie ukweli mtakuwa buddies.

      Personally huwa sioni sababu ya kudanganya kwani nachukulia hiyo ni kujidanganya, bora nisikuambie chochote kuliko kukudanganya!
      Mbu likes this.
      ..........When you run out of rope; grab onto faith.......... T.B Joshua

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3044
      Likes Given
      4137

      Default Re: Kudanganya......

      Naombeni samare.........

      Halafu mmoja wenu aniambie kama kuna jipya linaloongelewa hapa.
      Mbu, Fidel80 and MwanajamiiOne like this.
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    10. #67
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,189
      Rep Power : 28902
      Likes Received
      11672
      Likes Given
      4819

      Default

      Hehehe! This is getting juicier! Hapo sasa moskwito, unaingia jumamosi kwenye gari ya memsahib unasema nikalete maini ya bfast. Unakuta sick sheet ya jumatano na ina ED siku 3, na mamaa hajaumwa wala nini na alikuwa anenda job daily!

      Upoo? Ama unakuta email bahati mbaya, inasema wife anaumwa nampeleka hosp nitachelewa sana kuingia ofcn.

      Aisee! Hapo sijui na ubingwa wako wa kubisha utabisha hadi mtaa gani!
      Quote By Mbu
      ...na hapa ndipo iliposimamia mada yangu. Unajua kabisa Mkeo anakudanganya, mfano; asb ulimuacha ofisini,....bahati mbaya, mchana ukampitia um surprise kwa lunch.... Pale ukajibiwa hakuingia kazini kabisa siku hiyo.

      Jioni mpo nyumbani wamuuliza za kazi anakwambia alikuwa v.busy kwa ofisi, ....unapomwambia ulipita hukumkuta, anabadili maneno anakwambia alikwenda hospitali!
      Mbu likes this.

    11. #68
      Fidel80's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2008
      Location : UVUNGUNI
      Posts : 19,049
      Rep Power : 9497
      Likes Received
      3168
      Likes Given
      1231

      Default Re: Kudanganya......

      hahahahaha Asprin kwa nini unasema sio wewe?
      Kwa mantiki hiyo uongo unafaida na hasara zake.
      Lakini ODM (sio wewe) lengo lako lilitimia.
      Mbu and Asprin like this.
      **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
      Chuda Raha
      Email: [email protected]

    12. RR
      #69
      RR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2007
      Location : Close
      Posts : 5,603
      Rep Power : 1743
      Likes Received
      1018
      Likes Given
      481

      Default Re: Kudanganya......

      Quote By King'asti
      RR na wewe unazeeka siku hizi!
      Waelewe Mbu na Fidel80 hapo ufaidike. U play by the rules of the game. Ila kuna mambo for sure huhitaji kuyajua. Unadhani Mungu alivyoweka kuwa hakuna kusoma mind ya wenzio alikuwa hana software?

      Mie hata Mungu anipe kipaji ya kuona mambo ya kiroho ntakataa, I'm comfortable hapa. Lol! Maisha yangekuwa magumu atii kama kuishi kwenye 'Men in Black 3'!
      Wacha sasa nisepe
      Bunge: Upuuzi unaolindwa na sheria...kwa kutumia hela za Watz!

    13. #70
      Fidel80's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2008
      Location : UVUNGUNI
      Posts : 19,049
      Rep Power : 9497
      Likes Received
      3168
      Likes Given
      1231

      Default Re: Kudanganya......

      Quote By Bigirita
      Naombeni samare.........

      Halafu mmoja wenu aniambie kama kuna jipya linaloongelewa hapa.
      Hapa mada kubwa ni kudanganya faida na hasara zake.
      Bigirita likes this.
      **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
      Chuda Raha
      Email: [email protected]

    14. RR
      #71
      RR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2007
      Location : Close
      Posts : 5,603
      Rep Power : 1743
      Likes Received
      1018
      Likes Given
      481

      Default Re: Kudanganya......

      Quote By Bigirita
      Naombeni samare.........

      Halafu mmoja wenu aniambie kama kuna jipya linaloongelewa hapa.
      Asee biya za uongo ni tamu sana.....namnukuu Asprin hapo
      Asprin and Bigirita like this.
      Bunge: Upuuzi unaolindwa na sheria...kwa kutumia hela za Watz!

    15. #72
      Kaunga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th November 2010
      Location : Wild wild west
      Posts : 8,430
      Rep Power : 13323
      Likes Received
      7662
      Likes Given
      6911

      Default Re: Kudanganya......

      Quote By Asprin
      Kuna kudanganya kwa dhamira ya kujipa kauhuru flani hivi, yaani si kwa nia mbaya. Kama vile navompiga fix bibi yenu kuwa naenda kuangalia fainali ya kombe la Dunia kati ya Manchester United Vs QPR (bibi yenu asivojua mpira wala haulizi) kumbe naenda kuungana na washkaji kupiga ulabu....

      Ila kuna udanganyifu wa nia mbaya.... ili ukatimize mambo yako maovu. Nakumbuka yaliyonitokea enzi hizo (siyo mimi tafazali) Nlipomuaga bibi yenu kuwa naenda kazini night shift kumbe nikaenda lala zangu kwa Sweet Anita. (siyo mimi tafazali) Usiku mtoto kazidiwa ghafla bibie kapiga simu yangu holaaaa (nlishapanga kumfix charge imeisha incase of anything). Kamkimbiza mtoto hospital then akaamua kupiga simu ya ofisini... Alishangaa alipoambiwa mbona ODM (siyo mimi tafazali) yuko likizo siku ya pili leo?.............. Khaaaa!

      Kilichotokea ni siri yangu (siyo mimi tafazali) lakini ndoa yangu bado iko imara (kwakuwa sikuwa mimi tafazali)

      Mwisho wa hadithi.
      Babu, nimeamua kuignore hizo za kwenye mabano; God forbid suppose unimaginable ingetokea. I am sure 'siyo wewe tafazali' ingekutake to the grave yaani ungejilaumu mpaka siku ya kufa kwako.

      But ofcourse huwezi kumuaga bibi kuwa unaenda kwa nyumba ndogo.
      RR and Asprin like this.
      ..........When you run out of rope; grab onto faith.......... T.B Joshua

    16. #73
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,189
      Rep Power : 28902
      Likes Received
      11672
      Likes Given
      4819

      Default

      Ww unaonekana husemagi uongo, hii topic haikuhusu. Nenda kule kwenye jukwaa lako Rejao anakutafuta, inasemekana Mwita25 ame-RIP
      Quote By Bigirita
      Naombeni samare.........

      Halafu mmoja wenu aniambie kama kuna jipya linaloongelewa hapa.
      Bigirita likes this.

    17. RR
      #74
      RR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2007
      Location : Close
      Posts : 5,603
      Rep Power : 1743
      Likes Received
      1018
      Likes Given
      481

      Default Re: Kudanganya......

      Quote By Asprin
      Kuna kudanganya kwa dhamira ya kujipa kauhuru flani hivi, yaani si kwa nia mbaya. Kama vile navompiga fix bibi yenu kuwa naenda kuangalia fainali ya kombe la Dunia kati ya Manchester United Vs QPR (bibi yenu asivojua mpira wala haulizi) kumbe naenda kuungana na washkaji kupiga ulabu....

      ..........
      Stuka hommie Asprin, siku hizi wanajua hadi bingwa wa UEFA bado ni Liverpool......
      Wanajua ila wanakubali uwadanganye tu..... King'asti kasema yeye anatabasmu tu.....stuka!
      Asprin and Bigirita like this.
      Bunge: Upuuzi unaolindwa na sheria...kwa kutumia hela za Watz!

    18. #75
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3044
      Likes Given
      4137

      Default Re: Kudanganya......

      Quote By Fidel80
      Hapa mada kubwa ni kudanganya faida na hasara zake.
      Hapana............mada ni kwa nini unadanganya na unayemdanganya anajua unamdanganya.

      Ukweli unauma, na nikijua moyo utauma............nidanganye danganye tuuu!!!!
      Asprin likes this.
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    19. #76
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3044
      Likes Given
      4137

      Default Re: Kudanganya......

      Quote By King'asti
      Ww unaonekana husemagi uongo, hii topic haikuhusu. Nenda kule kwenye jukwaa lako Rejao anakutafuta, inasemekana Mwita25 ame-RIP
      Unasemaaaa!!!!
      Asprin likes this.
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    20. #77
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,441
      Rep Power : 32076
      Likes Received
      14546
      Likes Given
      22033

      Default Re: Kudanganya......

      Quote By Fidel80
      hahahahaha Asprin kwa nini unasema sio wewe?
      Kwa mantiki hiyo uongo unafaida na hasara zake.
      Lakini ODM (sio wewe) lengo lako lilitimia.
      Kwa kuwa sikuwa mimi (tafazali)

      Quote By RR
      Asee biya za uongo ni tamu sana.....namnukuu Asprin hapo
      Yaani bibie anajua naangalia soka na RR kumbe mie napiga Guinness na bi Joy.

      Quote By Kaunga
      Babu, nimeamua kuigonore hizo za kwenye mabano; God forbid suppose unimaginable ingetokea. I am sure 'siyo wewe tafazali' ingekutake to the grave yaani ungejilaumu mpaka siku ya kufa kwako.

      But ofcourse huwezi kumuaga bibi kuwa unaenda kwa nyumba ndogo.
      Vigezo na masharti ya mabano vizingatiwe tafazali. Angalizo: ODM hana nyumba ndogo bali anadumisha mila na mabinti wenye kiu.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    21. #78
      Asprin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : Psychiatric Ward
      Posts : 25,441
      Rep Power : 32076
      Likes Received
      14546
      Likes Given
      22033

      Default Re: Kudanganya......

      Quote By RR
      Stuka hommie Asprin, siku hizi wanajua hadi bingwa wa UEFA bado ni Liverpool......
      Wanajua ila wanakubali uwadanganye tu..... King'asti kasema yeye anatabasmu tu.....stuka!
      Aisee..... kumbe ukipiga fix afu wakatabasamu wanakuwa wanajua umewafix ila wanakuwa hawana jinsi... ngastuka!!

      AU kwa kuwa wanajua hata wakijua unawafix hawana jeuri ya kukuzuia lol
      Maty likes this.
      ....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....

    22. #79
      Lily Flower's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2009
      Location : Garden
      Posts : 2,461
      Rep Power : 20814
      Likes Received
      1056
      Likes Given
      1596

      Default Re: Kudanganya......

      Kumbuka kitu kimoja tu ukiwa mwongo/kudanganya pia usiwe unasahau hovyo maana itakucost.
      MY LOVE IS YOUR LOVE.

    23. #80
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,189
      Rep Power : 28902
      Likes Received
      11672
      Likes Given
      4819

      Default

      Lol! Manake sie ndo hatujui kudanganya? Unapewa miadi ngoja kwanza, kuna issues nahitaji kuweka vizuri. Tujuane uzuri (kama kuna dalili ya ghorofa si ntaona walau mchanga unamwagwa ama tofali elfu kumi? Tuna akili zetu timamu usije ukadhani tunadanganyika, ebooo!ukiona umetoa hela bandia ikapokelewa ujue cheni ni bandia hehehehe!
      Quote By Fidel80
      Katika mapenzi usipo danganya humegi kaka....
      uzuri na wao wanapenda kudanganywa ukimwambia ukweli basi umekosa tunda.
      anapenda umwambie nitakununulia ndege au nitakujengea gorofa wakati anajua fika hata hela huna una hela za kubadilishia matembele na vibua au utumbo leo wa ng'ombe kesho wa kuku.
      RR, Asprin and nemic4u like this.

    Page 4 of 10 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...