Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

    Report Post
    Page 9 of 10 FirstFirst ... 78910 LastLast
    Results 161 to 180 of 186
    1. #1
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Kama nilivosema nimeacha sex spesheli kabisa kwa kujiandaa kwa ndoa na mume ambae hadi
      dakika hii sijampata. Hadi najihisi bk kabisaa. Of coz kuna promising kandidets, hivo bado nafanyia kazi.
      Kuwatonya labda niseme shemeji yenu huyo naona atatoka hapa hapa jf. Raha iliojee?
      niko kwenye mchakato wa kuweka mambo sawa, mambo yakijibu habari kwa mtindo wa news alert fasta!

      Nikiwa najiandaa na ndoa ni mengi najifunza. Siku hizi wanandoa tunaiva kweli, wamekuwa
      marafiki zangu wakubwa! nipo kama katika research flani hivi ya kuhakikisha najua najiingiza
      kwenye nini na nini nitegemee. Kipengele cha kwanza kukifanyia utafiti ni sex in marriage.

      Risechi yangu haijakaa vyema. Wote ninao wauliza wanasema wana a wandafu sex life hata
      wale ambao nawafahamu wanacheat wake kwa waume! Nabaki na bumbuwazi Erotica mimi.
      Kama SEX ipo wandafu kama madai yao kwa nini acheat, kwa mwanaume utasema
      nature inamzingua (sentensi ambayo sinunui kwa bei yoyote, uzushi mtupu), mwanamke je nae
      ni nature yamzingua? Hata mimi ambae nilikuwa nabadilsha kama nguo nilikuwa nikipata anayeweza dhibiti,
      nakuwa kwa ajili yake tu na hapo wala hata hatuna promises zozote!

      Then ktk risechi yangu dada zangu wengine wananiambia lazima uwe mpole, mnyenyekevu na mfuata
      upepo dizaini unapo kuwa faragha na mume. Upole kwenye kiwanja? Naona kama mzaha vile!
      Kwani kuna ubaya gani nikileta kile kichaa changu ninachokuwa nacho ninapokuwa na ny.ge na wakati pale nang.noka? Na kujiachia kimatendo na kistarehe kwa kujua nipo kula chakula cha roho na cha K? mie sielewi ati.
      Wanandoa eti sex katika marriage iko vipi? Inatakiwa iwe vipi?



      Mwaaaaaah! Hata kama I feel lost!
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!


    2. FemaTV & Radio

    3. FP
      #161
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,262
      Rep Power : 46352
      Likes Received
      6973
      Likes Given
      6877

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Godlisten shoo
      Siyo mara moja moja mimi ni kama myama sex wakati wa kuzaa tu ukishapata mimba tutakutana next wakati wa kuzaa tena!
      rafiki MwanajamiiOne, hii imekaaje?
      MwanajamiiOne likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect


    4. #162
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Erotica
      kwa hiyo ina mana saizi uko tayari tuonane Ndahani?
      Yes Erotica niko tayari...karibu sana
      Erotica likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    5. #163
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,306
      Rep Power : 13761
      Likes Received
      5150
      Likes Given
      4535

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Fixed Point
      rafiki MwanajamiiOne, hii imekaaje?
      HAPANA hii sio kweli unless mkataba wao ni wa kuzalishana tu na wanaishi mbali mbali. How comes?
      FP likes this.
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.

    6. Mbu
      #164
      Mbu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2007
      Location : Stagnant Springs
      Posts : 10,830
      Rep Power : 9991
      Likes Received
      4709
      Likes Given
      6218

      Default

      Quote By MwanajamiiOne
      Sa na weye ndo nini kumtisha Cricial Man wa watu? Kwani umesahamu ukitaka utamu wa ngoma uimgie ucheze na utamu wa ngoma omo marejeo ngamani?

      Mbona wanizibia Soulmate?
      .....aaa soulmate mimi nikuzibie ya nini umri huu? ushayasahau yale makubaliano yetu?

      Critical Man, 'utamu wa ngoma,....!' Pitia mlango wa mbele, mie natokea wa uani....:p
      MwanajamiiOne likes this.

    7. FP
      #165
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,262
      Rep Power : 46352
      Likes Received
      6973
      Likes Given
      6877

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By MwanajamiiOne
      HAPANA hii sio kweli unless mkataba wao ni wa kuzalishana tu na wanaishi mbali mbali. How comes?
      labda aseme na mumuwe ni kwa ajili ya kuzaa tu, otherwise sipati picha kila ninapocheza ule mchezo najua naanzisha kizaazaa, lol!
      MwanajamiiOne likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect


    8. Miaka 50

    9. #166
      Mr. Miela's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd August 2007
      Posts : 209
      Rep Power : 644
      Likes Received
      22
      Likes Given
      5

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Huku kwenye ndoa SEX is a social responsibility! So worry not!
      Ndahani likes this.

    10. Mbu
      #167
      Mbu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2007
      Location : Stagnant Springs
      Posts : 10,830
      Rep Power : 9991
      Likes Received
      4709
      Likes Given
      6218

      Default

      .....e bana nyie.....

      Siri ipo kwenye 'akili' tu. Once you are happy and comfortable na mtu wako, uta enjoy sana tu...siku, wiki, mwezi, mwaka hata miaka.

      Chuki, kibri, dharau na 'kutojali' kukishaanza, hata m- reboot sijui restart mara ngapi, ...kuna mafaili kichwani yeshakuwa corrupted...which are..'undeleted!'

      To be on the safe side, wekeni heshima, thamani, na furaha ya kweli...mta enjoy mapenzi yenu na hata sex life. Some of us are bored easily....
      MwanajamiiOne and Mwali like this.

    11. #168
      Paxman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2010
      Location : MIT
      Posts : 1,067
      Rep Power : 1129
      Likes Received
      383
      Likes Given
      598

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By MwanajamiiOne
      Hah aksante Paxman ............Suppose huyo alogundua kifo cha mende, angegundua Doggy kwanza ungesemaje?
      assumption si nzuri....! ukweli ni kwamba what comes around is what goes around. Doggy lingekuwa ndo jibu!
      MwanajamiiOne likes this.
      "....It was dawning on me that I was giving my son the same advice my parents had given me. The world around us has changed, but the advice hasn't...."
      ...Robert T. Kiyosaki

    12. #169
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,198
      Rep Power : 28904
      Likes Received
      11677
      Likes Given
      4819

      Default

      Neno kuntu hili baba!
      BAK njoo uone kwa nini nilikujibu vile kwenye mambo ya female satisfaction!
      Ngoja nikajiridhishe wikipedia maana ya 'social responsibility'
      Quote By Mr. Miela
      Huku kwenye ndoa SEX is a social responsibility! So worry not!

    13. #170
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Ndahani
      Yes Erotica niko tayari...karibu sana


      .......................
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!


    14. #171
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Erotica
      .......................
      Mzima Erotica? haujambo wewe na unayempenda? Mbona jana hukutokea kama ulivyosema?
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    15. #172
      Eiyer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2011
      Posts : 8,909
      Rep Power : 6889
      Likes Received
      2734
      Likes Given
      34

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Duh!Li siredi limeniacha mno,wacha niende tu!

    16. #173
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Ndahani
      Mzima Erotica? haujambo wewe na unayempenda? Mbona jana hukutokea kama ulivyosema?
      Muitikio wako wa 'karibu' tena kwa upole, ulinipa electric shock ya veins.

      bado naugulia kirusha roho, nikipoa nakuja bila hiyana.
      Ndahani likes this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!


    17. #174
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Erotica
      Muitikio wako wa 'karibu' tena kwa upole, ulinipa electric shock ya veins.

      bado naugulia kirusha roho, nikipoa nakuja bila hiyana.
      Haaahaaa! Pole sana....electric shocks zilitokea wapi?
      Erotica likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    18. #175
      Paul Kijoka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th October 2010
      Location : KIMARA, DAR
      Posts : 1,337
      Rep Power : 702
      Likes Received
      226
      Likes Given
      172

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Rose1980
      naskia uko wanapeana kwa mwezi mara moja na mpk mume atake teh teh.....
      Kumbe we binti, wow!

    19. #176
      Paul Kijoka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th October 2010
      Location : KIMARA, DAR
      Posts : 1,337
      Rep Power : 702
      Likes Received
      226
      Likes Given
      172

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Kwa ufupi marriage is nothing. Not natural. Its man made based on social relations but sex is what is important there.
      Ndoa ikiikosa basi kuna walakini hapo ama mvuto umekwisha au kuna uchakachuaji. Hivi viungo vya uzazi kwa maana ya KM na MB haviko pale kwa ajiri ya socialization (marriage) bali kwa matumizi na kuzaliana. Simpo.
      Erotica likes this.

    20. #177
      Fidel80's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2008
      Location : UVUNGUNI
      Posts : 19,049
      Rep Power : 9497
      Likes Received
      3172
      Likes Given
      1231

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Bado mnajadili style gani za ndoa?
      **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
      Chuda Raha
      Email: [email protected]

    21. #178
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,971
      Rep Power : 3703
      Likes Received
      3578
      Likes Given
      5769

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Fidel80
      Bado mnajadili style gani za ndoa?
      Fidel80 hiyo avatar haifai bana rudisha ile yetu ya kunywea mbege migombani
      Fidel80 and Erotica like this.
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    22. #179
      Kaizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th September 2008
      Posts : 14,061
      Rep Power : 21908
      Likes Received
      7043
      Likes Given
      7867

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Ero mbona mi cjapata dodoso?
      Erotica likes this.

    23. #180
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Erotica likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    Page 9 of 10 FirstFirst ... 78910 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...