Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

    Report Post
    Page 8 of 10 FirstFirst ... 678910 LastLast
    Results 141 to 160 of 186
    1. #1
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Kama nilivosema nimeacha sex spesheli kabisa kwa kujiandaa kwa ndoa na mume ambae hadi
      dakika hii sijampata. Hadi najihisi bk kabisaa. Of coz kuna promising kandidets, hivo bado nafanyia kazi.
      Kuwatonya labda niseme shemeji yenu huyo naona atatoka hapa hapa jf. Raha iliojee?
      niko kwenye mchakato wa kuweka mambo sawa, mambo yakijibu habari kwa mtindo wa news alert fasta!

      Nikiwa najiandaa na ndoa ni mengi najifunza. Siku hizi wanandoa tunaiva kweli, wamekuwa
      marafiki zangu wakubwa! nipo kama katika research flani hivi ya kuhakikisha najua najiingiza
      kwenye nini na nini nitegemee. Kipengele cha kwanza kukifanyia utafiti ni sex in marriage.

      Risechi yangu haijakaa vyema. Wote ninao wauliza wanasema wana a wandafu sex life hata
      wale ambao nawafahamu wanacheat wake kwa waume! Nabaki na bumbuwazi Erotica mimi.
      Kama SEX ipo wandafu kama madai yao kwa nini acheat, kwa mwanaume utasema
      nature inamzingua (sentensi ambayo sinunui kwa bei yoyote, uzushi mtupu), mwanamke je nae
      ni nature yamzingua? Hata mimi ambae nilikuwa nabadilsha kama nguo nilikuwa nikipata anayeweza dhibiti,
      nakuwa kwa ajili yake tu na hapo wala hata hatuna promises zozote!

      Then ktk risechi yangu dada zangu wengine wananiambia lazima uwe mpole, mnyenyekevu na mfuata
      upepo dizaini unapo kuwa faragha na mume. Upole kwenye kiwanja? Naona kama mzaha vile!
      Kwani kuna ubaya gani nikileta kile kichaa changu ninachokuwa nacho ninapokuwa na ny.ge na wakati pale nang.noka? Na kujiachia kimatendo na kistarehe kwa kujua nipo kula chakula cha roho na cha K? mie sielewi ati.
      Wanandoa eti sex katika marriage iko vipi? Inatakiwa iwe vipi?

      Mwaaaaaah! Hata kama I feel lost!
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    2. Miaka 50

    3. #141
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Bishanga
      Staili gani unapendelea?

      Bishanga naweza enda na kifo cha kokrochi wakati wa mood yoyote ile,

      kama ilivo ile ya mbwa. zengine inategemea na mud na mahala pa kufanyia.

      kama ni garini, mtaani, washroom mahala n.k. of cozi bila kusahau oral.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    4. #142
      Jakubumba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2011
      Location : United states
      Posts : 1,155
      Rep Power : 715
      Likes Received
      305
      Likes Given
      125

      Default

      Quote By Erotica
      Mie nimependa jina lako. lipo so mwaaaaaah!
      Pole pole mtatongozana hapa
      Erotica likes this.

    5. #143
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Fidel80
      @Blaki Woman mwambie mwanamke akiolewa shurti kulala mtupu

      kwa mtu ambae sivai ch.p hata mchana na kushinda

      mtupu nikiwa hom haitakuwa shida Fidel80. lengine?
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    6. #144
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Tuko
      Tofauti ya sex ya ndoani na sex zingine (naomba tu nizigroup kama zingine)
      1. Sex ya ndoani ni goli 1 kwa wastani kwa makutano, wakati zingine ni tatu na kuendelea kwa makutano...
      2. Ya ndoani mzuka unakolea wakati wa romance wakati zingine mzuka unakolea tangu ukiwa kwenye daladala kuelekea kwa mchazaji wmenza
      3. Ya ndoani kwa zaidi ya 95% hufanyika usiku na asubuhi, zingine hufanyika mida yote, sana kuanzia jioni
      4. Ya ndoani hufanyika kwa average ya 3-4 times kwa wiki, zingine hazina muda maalumu lakini kulingana na availability zinaweza kufanyika hata kila siku
      5. Ya ndoani sanasana ni kifo cha mende na doggy, zingine mastaili kibao yatafanyika
      6. Ya ndoani haitumii zana in most cases, zingine zana ni muhimu

      kweli inabidi nianze twisheni. notes zimekua lukuki na zote za msingi. sante Tuko.

      kwa hio ipo ndani ya nguvu na uwezo wangu kubadilsha hilo? nikitaka kwenda

      kushtukiza kazini tukafanyie mezani kwake fresh au vipi?
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    7. #145
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Fidel80

      Awakwepe kama ukoma watu kama hawa
      Hawa ndo huwa wanavunja ndoa za watu

      Kaunga darlin haya anayosema Fidel80 ni kweli?

      kwani ulipo enda kuungama kwa Kaizer haya yalikuwepo?
      Kaizer likes this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    8. RukaaJuu Final

    9. #146
      Paxman's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2010
      Location : MIT
      Posts : 1,067
      Rep Power : 1130
      Likes Received
      383
      Likes Given
      598

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Mie najua ktk ndoa sex ina style moja tu ... nayo ni kifo cha mende tu! mbali na hapo uhuni au umala....
      MwanajamiiOne and Erotica like this.
      "....It was dawning on me that I was giving my son the same advice my parents had given me. The world around us has changed, but the advice hasn't...."
      ...Robert T. Kiyosaki

    10. #147
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Mc Tilly Chizenga
      Erotica hauishi kushangaza!kinachonifurahishag a kwako title za thread zako zote neno sex lazima liwepo!

      back to the topic,ukweli ni kwamba wanaume wachache ni waelewa,ukianza kumpa mavitu ya ki-erotica in ecstasy mapema anaweza kudhani kapotea njia kaoa changu,hivyo nakushauri ili uwe upande salama,anza nae taratibuuuu kisha kila siku unaongeza mautundu

      bahati uliyonayo umesema jamaa anatoka pande hizi za jf,so jamaa atakuwa anakujua mambo yako vinginevyo nendanae taratibu!kila la kheri,mkihitaji mc,nipo hapa,naweza nikawa chaguo bora kwa ajili ya harusi yenu!all the best

      Mc Tilly Chizenga kwa hiyo unataka niingie kwenye ndoa kwa gear ya ufake?

      mie naona kama ataniona hivo he is not man enaf to be with Erotica Erocious. to hell with him.

      tuachane na huyo wewe vipi upo interested? jua bado sijapata, still seching.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    11. #148
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,306
      Rep Power : 13762
      Likes Received
      5151
      Likes Given
      4535

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Paxman
      Mie najua ktk ndoa sex ina style moja tu ... nayo ni kifo cha mende tu! mbali na hapo uhuni au umala....
      Hah aksante Paxman ............Suppose huyo alogundua kifo cha mende, angegundua Doggy kwanza ungesemaje?
      Paxman likes this.
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.

    12. #149
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By MwanajamiiOne
      Erotica mydia, ingawa umesema hununui kwa bei yoyote, niko tayari kukukopesha, wanaume wengi kucheat ni jadi na nature inawaruhusu kwa kuwa wameumbwa kutokuridhika kwa kuwa wao wanaingiza, wanakoroga huku wakikijua wanachokitafuta humo bakulini. Asikudanganye mtu wengi wao wanatamani bakuli jipya kila kukicha as long as amelitumia hili la sasa mara mbili tatu na hajaona mpya yoyote. No wachache sana ambao wanarishika na hilo bakuli na hata wao ukichunbguza sana utakuta ni wale ambao mwenye bakuli huwa anabadilisha viungo, kama leo analitilia supu, basi kesho mchemsho, kesho kutwa makande, mchicha chukuchuku ili mradi bwana kila akilikumbuka hubaki kujiuliza sijui leo bakuli langu litakuwa na nini!

      Tofauti na mwenye bakuli, as long as ukijua wapi pa kulisafisha, au supuye, mchemshowe waliwa vipi basi umemaliza kila kitu. Bakuli nyingi hazina makomplikesheni mengi as long as linaridhika kunywewa kwa kijiko au kuvuta kwa mdomo, umelikamata. Usiombe kukutwa, wakishagundua ile spot yako iko wapi am telling you atakuwa akihit hapo hapo tu hata kama ni within three secs.............ashajua akikukunja vije anaipata basi atakukunja hata kama huko tayari kukunjwa na wewe unajihesabu umeridhika na kifuani wamfukuza, huna varieties, sio yeye aisee anazo paths nyingi hadi afike unless ucremu zile za kubana, kukamua na kuachia of which bado utakuwa wajipunja wewe

      Mbu usiisome hii ost tafadhali Soulmate wangu. Ipotezee

      hili somo MwanajamiiOne mamito nimelipata, safi sana. sante. kwahiyo kumbe inawezekana

      kubwa ni kuhakikisha bakuli kila siku nalibadilishia viungo, nalilinda na kuliweka katika hali

      ya kuvutia kwa mume wangu eeh? hapo sasa Ero mie mbona nimefika! mwaaaaaaaah!
      MwanajamiiOne likes this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    13. FP
      #150
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,266
      Rep Power : 46353
      Likes Received
      6983
      Likes Given
      6881

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By klorokwini
      -miezi minne ya kwanza mnaogeshana kwa maji ya hiliki na pilipili manga halaf mnasex kila siku mara 2 na mnafika vileleni nyote.

      -baada ya miaka miwili mnasex kwenye matukio ya furaha tu, labda mmoja kaongezewa mshahara n.k na sex yenyewe inaisha ndani ya dakika nne including foreplay (hapa nimeongea kisayansi zaidi)

      - Baada ya miaka 4 (kama mtafika), mnasex kwa kufukuzana kama panya, halaf wakati mnasex kila mmoja anamtolea macho mwenziwe kama tuko kwenye vita vya majimaji.

      -Baada ya miaka 6 mke anaanza kungonoka ofisini na boss wake, na mume anangonoka gesti na JF memba walokutana MMU na Chit chat. (hapa mwenye bahati mbaya ndio anafumaniwa)

      Nimemaliza

      -
      ha haaaaaaaaaaaa, yaani nimecheka mpaka basi................. watu wana maneno!
      Nimeipata hii klorokwini
      klorokwini likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    14. FP
      #151

      rafiki hilo somo mashallah! ila ujue wababa wengine hata ubadilishe vipi contents za kwenye bakuli bado atataka bakuli jipya........... hiyo ni tabia tu ya mtu, siyo wanataka bakuli jipya sababu la zamani linawekewa samaki kila siku
      MwanajamiiOne likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    15. #152
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,306
      Rep Power : 13762
      Likes Received
      5151
      Likes Given
      4535

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Fixed Point
      rafiki hilo somo mashallah! ila ujue wababa wengine hata ubadilishe vipi contents za kwenye bakuli bado atataka bakuli jipya........... hiyo ni tabia tu ya mtu, siyo wanataka bakuli jipya sababu la zamani linawekewa samaki kila siku
      Kweli kabisa rafiki na ndio maana nikasema wengi ni wale wa .hata nkupe vipi....... na wale wanaojitokeza wakatulia i wale wachache waliotunukiwa kama Soulmate wangu hahahah (Mgema akisifiwa we Soulmate!)
      FP likes this.
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.

    16. #153
      Erotica's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Location : Ecstasy
      Posts : 2,504
      Rep Power : 15465
      Likes Received
      1681
      Likes Given
      2781

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By klorokwini
      -miezi minne ya kwanza mnaogeshana kwa maji ya hiliki na pilipili manga halaf mnasex kila siku mara 2 na mnafika vileleni nyote.

      -baada ya miaka miwili mnasex kwenye matukio ya furaha tu, labda mmoja kaongezewa mshahara n.k na sex yenyewe inaisha ndani ya dakika nne including foreplay (hapa nimeongea kisayansi zaidi)

      - Baada ya miaka 4 (kama mtafika), mnasex kwa kufukuzana kama panya, halaf wakati mnasex kila mmoja anamtolea macho mwenziwe kama tuko kwenye vita vya majimaji.

      -Baada ya miaka 6 mke anaanza kungonoka ofisini na boss wake, na mume anangonoka gesti na JF memba walokutana MMU na Chit chat. (hapa mwenye bahati mbaya ndio anafumaniwa)

      Nimemaliza

      -
      klorokwini you ar one crazy son of a gun. Hillarious. hillarious. hillarious. teh teh teh
      klorokwini likes this.
      Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!

    17. #154
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,306
      Rep Power : 13762
      Likes Received
      5151
      Likes Given
      4535

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Erotica
      hili somo MwanajamiiOne mamito nimelipata, safi sana. sante. kwahiyo kumbe inawezekana

      kubwa ni kuhakikisha bakuli kila siku nalibadilishia viungo, nalilinda na kuliweka katika hali

      ya kuvutia kwa mume wangu eeh? hapo sasa Ero mie mbona nimefika! mwaaaaaaaah!
      Haha Erotica mydia, si kwa kumpendezesha mume pekee bana, kwani weye wapenda kula samaki kila siku? au kulia kwenye bakuli lile lile ambalo kilitengwa ni mpaka litengwe kwenye meza ile ile, table mate ile ile na upande ule ule? jifurahishe na wewe bana.

      My moto siku zote ni kuhakikisha anafurahi, anaenjoy anaridhika but ahakikishe nami nafurahi, naenjoy na kuridhika otherwise namfungia kibwebwe kiunoni hakuna kushuka aisee!
      Tuko likes this.
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.

    18. FP
      #155
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,266
      Rep Power : 46353
      Likes Received
      6983
      Likes Given
      6881

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By MwanajamiiOne
      Kweli kabisa rafiki na ndio maana nikasema wengi ni wale wa .hata nkupe vipi....... na wale wanaojitokeza wakatulia i wale wachache waliotunukiwa kama Soulmate wangu hahahah (Mgema akisifiwa we Soulmate!)
      rafiki itabidi na mimi nije kupata somo maana mpaka sasa sijawahi kushuku lakini kila kitu kinawezekana.............. itabidi niongeze maujuzi ya kufanya zipu isiwaziwe kufunguliwa
      MwanajamiiOne and Tuko like this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    19. FP
      #156
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,266
      Rep Power : 46353
      Likes Received
      6983
      Likes Given
      6881

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By MwanajamiiOne
      Haha Erotica mydia, si kwa kumpendezesha mume pekee bana, kwani weye wapenda kula samaki kila siku? au kulia kwenye bakuli lile lile ambalo kilitengwa ni mpaka litengwe kwenye meza ile ile, table mate ile ile na upande ule ule? jifurahishe na wewe bana.

      My moto siku zote ni kuhakikisha anafurahi, anaenjoy anaridhika but ahakikishe nami nafurahi, naenjoy na kuridhika otherwise namfungia kibwebwe kiunoni hakuna kushuka aisee!
      ha ha haaaaaaaaaaaaaa, hiyo ya kibwewbe ni strategy nzuri, maana ukishakamua kila kitu mpaka aje a-gain muda wa kurudi home umefika, na anajua kuna kazi ya uhakika inamsubiri otherwise atafungiwa kibwebwe
      MwanajamiiOne and Tuko like this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    20. #157
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,306
      Rep Power : 13762
      Likes Received
      5151
      Likes Given
      4535

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Fixed Point
      rafiki itabidi na mimi nije kupata somo maana mpaka sasa sijawahi kushuku lakini kila kitu kinawezekana.............. itabidi niongeze maujuzi ya kufanya zipu isiwaziwe kufunguliwa
      Hahahah We Fixed waja jifunza nini? Hao kina Soulmate waliumbwa na gland ya kukinai, yaani akishapata iwe bakulutu moja kwa moja au DJ nyoka ye anajionea shida tu kusaka zenye radha ya sijui bongo flava au taarab, ye ajiridhikia tu masikini! Kwake mie sihitajikutia grease wala mafuta ya nyonyo..........hah
      FP, Tuko and Erotica like this.
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.

    21. #158
      Godlisten shoo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 35
      Rep Power : 360
      Likes Received
      6
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By Rose1980
      naskia uko wanapeana kwa mwezi mara moja na mpk mume atake teh teh.....
      Siyo mara moja moja mimi ni kama myama sex wakati wa kuzaa tu ukishapata mimba tutakutana next wakati wa kuzaa tena!
      Tuko likes this.

    22. FP
      #159
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,266
      Rep Power : 46353
      Likes Received
      6983
      Likes Given
      6881

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By MwanajamiiOne
      Hahahah We Fixed waja jifunza nini? Hao kina Soulmate waliumbwa na gland ya kukinai, yaani akishapata iwe bakulutu moja kwa moja au DJ nyoka ye anajionea shida tu kusaka zenye radha ya sijui bongo flava au taarab, ye ajiridhikia tu masikini! Kwake mie sihitajikutia grease wala mafuta ya nyonyo..........hah
      Ni kweli kabisa rafiki, unaweza kujiua kwa kumridhisha mtu kumbe wajisumbua............... kama ulivyosema, ni kujiua kujiridhisha mwenyewe maana huna choice
      Erotica likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    23. #160
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,306
      Rep Power : 13762
      Likes Received
      5151
      Likes Given
      4535

      Default Re: SEX in marriage. Kipi ni kipi?

      Quote By Fixed Point
      ha ha haaaaaaaaaaaaaa, hiyo ya kibwebwe ni strategy nzuri, maana ukishakamua kila kitu mpaka aje a-gain muda wa kurudi home umefika, na anajua kuna kazi ya uhakika inamsubiri otherwise atafungiwa kibwebwe
      Hahahha sema taratibu Soulmate akisikia siri yangu yote itakuwa ishavuja hahahahha
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.

    Page 8 of 10 FirstFirst ... 678910 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...