Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mke mlevi na mpenda starehe!

    Report Post
    Page 2 of 7 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 136
    1. #1
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default Mke mlevi na mpenda starehe!

      Jana nilikuwa napata mbili tatu za baridi na jamaa yangu, katika maongezi akaniambia hana furaha ya ndoa yake. Mke wake ni anapenda pombe, analewa na watu mbalimbali anawaita 'friends', hana muda hata wa kutandika kitanda wanacholalia. Chumba chao dada wa kazi ndo anafagia, anafua, kupika na hata kutunza mtoto kwani mama hurudi mtoto akiwa amelala.

      Pia kila sherehe anataka kwenda, amediriki kwenda hata kwenye Kili Awards bila ya kumshirikisha mumewe. Alipomuuliza anasema alikuwa na kaka yake, tatizo yote hayo hata ukoo wao wanapenda pombe sana. Kabila la wapenda pombe nadhani mnawajua wale wazee wa migombani walivyo!

      Tatizo ni kwamba jamaa amechoka, mwanamke hashauriki, kaomba msaada hata kwao waongee na binti ila haijasaidia. Wana mtoto mmoja, jamaa ndio anahangaika kuwahi nyumbani japo akae na mtoto. Amefikia maamuzi ya kutaka kuachana na mkewe, jamaa ni msomi mzuri na ana kipato cha kujitosheleza, mke pia pamoja hana elimu ila ameweza kuendesha biashara ambayo mumewe alimuanzishia na inaendelea vizuri.

      Tatizo mke ni mtu wa starehe za kulimbukia kwani wakati wanakutana hakuwa hivyo tena walikuwa na muda wa kukaa pamoja na kushauriana.

      Nimeshindwa cha kumueleza japo nami nikaona labda mnaweza kutoa mchango wowote.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Ng`wanakidiku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th April 2009
      Posts : 1,128
      Rep Power : 739
      Likes Received
      216
      Likes Given
      395

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      Quote By The Boss
      mkuu
      chunguza sana utagundua kuna watu 'hawaendi polisi au mahakamani'
      au popote pale kushtaki...
      ukiwaona huko ujue wanashitakiwa na sio kushitaki
      sometimes in life we choose to be victims or not.....

      wote wanaopigana barabarani au kuwapiga wake zao na waume zao
      wangepelekwa kushitakiwa 'pangekuwa hapatoshi'

      ukifuata sheria hata kumpiga mwanao ni kosa
      kuongea matusi hadharani ni kosa

      akili mu kichwa....
      The Boss, kumpiga mkeo, mwanao ni kumdumaza ki akili na kujenga chuki isiyo kwisha. Kama ulishawahi kupigwa na baba yako/mwl wako lazima ukikumbuka hiyo moments unamchukia. Au angalia watoto wengi walio chapwa huwa hawajiamini kabisa! Kuchapa kwa ujumla ni ujinga wa hali ya juu! ndiyo maana kuna nchi ukimchapa mtoto anakuja kuchukuliwa na state, na analelewa na familia nyingine.
      The Boss likes this.
      Mimi siyo mwana siasa!

    4. #22
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,188
      Rep Power : 41583
      Likes Received
      6079
      Likes Given
      1065

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      At the risk of sounding politically incorrect, the good book said you can't make a ho a housewife.

      And so it goes.
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.

    5. #23
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By Kiranga
      The best way to stop smoking is to never start.

      Hivi hizi ndoa za siku hizi hazina kipindi cha uchumba kuchunguzana na kujuana tabia kabla ya kuoana? Najua kuna kuficha makucha and all, lakini kama mtu ni extreme kiasi hiki chances are ata slip na kumpa mtu yeyote observant reason to pause.

      Words to the wise, msikimbilie kuoa.

      Kama vipi mna chill kwenye Kiranga's Club of Perpetual Bachelors for Eternal Balling.
      Mazee unachosema ni kweli, ila kumbuka we are just ordinary people, we cant see the unseen, at the same time we cant predict the unpredictables! Remember that, every woman needs a man and so men does need women too!

    6. FP
      #24
      FP's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 7,267
      Rep Power : 46353
      Likes Received
      6984
      Likes Given
      6886

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      Mke mweeema, anatoka kwa Bwana......................... .......
      Sashel likes this.
      Don't wait for the Perfect Moment,
      Take the Moment and make it Perfect

    7. #25
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,188
      Rep Power : 41583
      Likes Received
      6079
      Likes Given
      1065

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      Quote By Bondpost
      Mazee unachosema ni kweli, ila kumbuka we are just ordinary people, we cant see the unseen, at the same time we cant predict the unpredictables! Remember that, every woman needs a man and so men does need women too!
      We can't see the unseen, lakini huyu mke mlevi kaanza ulevi baada ya kuolewa? Mwanamme alivyochumbia alikuwa hajajua hili?

      Hata kama every woman needs a man and vice versa, does every man need to marry a drunkard, sex crazed socialite?

      Wanawake wa kuoa wameisha?

      I feel for the brother, lakini matatizo mengine watu tunajitakia.Unaingia katika uchumba na mtu unajua ana matatizo halafu unategemea muujiza kutoka mbinguni.

      Kama wake wenyewe ndio hawa siwezi kujilaumu kukataa kuoa.
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.

    8. Miaka 50

    9. #26
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By Ng`wanakidiku
      The Boss, kumpiga mkeo, mwanao ni kumdumaza ki akili na kujenga chuki isiyo kwisha. Kama ulishawahi kupigwa na baba yako/mwl wako lazima ukikumbuka hiyo moments unamchukia. Au angalia watoto wengi walio chapwa huwa hawajiamini kabisa! Kuchapa kwa ujumla ni ujinga wa hali ya juu! ndiyo maana kuna nchi ukimchapa mtoto anakuja kuchukuliwa na state, na analelewa na familia nyingine.
      Marehemu baba yangu aliwahi kunichapa siku moja ile mpaka nikahisi anataka kuniua. Alikasirika sana kwani alininunulia bicycle enzi zile BMX ila alinionya nisiende nayo shule, nami nikakaidi. Kwa kweli toka aliponipa kibano na akanipa sababu ya kwa nini kanichapa sikuwahi kurudia tena na sikuwahi kumchukia kwani hata nikikumbuka lile tukio huwa nacheka kwani aliamua kuitupia bicycle batini tena aliidismantle yote. Ila nilipomuomba alinitengenezea. Kuchapa mtoto kwa kumkanya inasaidia mkuu, na kama wewe unamchukia mama au babako kisa alikuchapa then laana inakufata. Utafunzwa na ulimwengu. Kumbuka hata biblia imesema japo sikumbuki kufungu. Kwamba, MTOTO ANYIMWAE KIBOKO NA MAMAYE HUWA MPUMBAVU.
      The Boss, Maty and shopping like this.

    10. #27
      wiseboy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2011
      Posts : 646
      Rep Power : 543
      Likes Received
      170
      Likes Given
      29

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      mbona simple tu, analewa? anaenda kwenye matamasha? hakosi harusi!!! dat meanz ana hela za kutosha matumizi yake na matanuzi...hvyo mme ashikilie hvyo vyanzo vya mapato na mke akae ndani....asubuh aachiwe buku 3, aone ataendelea kufanya hizo mbwembwe.
      babuwaloliondo likes this.

    11. #28
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By Kiranga
      We can't see the unseen, lakini huyu mke mlevi kaanza ulevi baada ya kuolewa? Mwanamme alivyochumbia alikuwa hajajua hili?

      Hata kama every woman needs a man and vice versa, does every man need to marry a drunkard, sex crazed socialite?

      Wanawake wa kuoa wameisha?

      I feel for the brother, lakini matatizo mengine watu tunajitakia.Unaingia katika uchumba na mtu unajua ana matatizo halafu unategemea muujiza kutoka mbinguni.

      Kama wake wenyewe ndio hawa siwezi kujilaumu kukataa kuoa.
      Hakuwa mlevi wala mtu ma-outing! Hata kama kunywa ilikuwa a glass of wine to keep the company. Nawafahamu vizuri coz they dated for about two years consecutively, and the guy alipoamua kuoa nasi kwa sababu tulikuwa tunamfahamu binti japo kwa muonekano hakuwa na matatizo kama haya sasa. Mtu anasahau hadi mtoto wa miaka miwili jamaa inabidi awahi kumlaza mtoto? Hatari sana.

    12. #29
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By wiseboy
      mbona simple tu, analewa? anaenda kwenye matamasha? hakosi harusi!!! dat meanz ana hela za kutosha matumizi yake na matanuzi...hvyo mme ashikilie hvyo vyanzo vya mapato na mke akae ndani....asubuh aachiwe buku 3, aone ataendelea kufanya hizo mbwembwe.
      Hili nalo neno, tatizo linakuja kwamba yule ni mkewe, mpenziwe, sasa kama hamuelewi mumewe anataka nini je kuna haja ya kumnyang'anya biashara, kuficha funguo za gari nk na kumfanya mfungwa ndani ya nyumba, au dawa ni kumtimua?

    13. #30
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By Fixed Point
      Mke mweeema, anatoka kwa Bwana......................... .......
      May be you are right from the fixed point of the holy bible!

    14. #31
      kisukari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th July 2010
      Posts : 2,588
      Rep Power : 3877
      Likes Received
      1386
      Likes Given
      649

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      katika ndoa,kuna 3 sides to any stories,upande wa mume,upande wa mke and the truth.kuna kitu kilichompelekesha huyo mke kufanya hayo yote.ila kitendo cha kutomjali hata mtoto wake is too much.na kama njia zote huyo jamaa amejaribu za kusuluhisha,asione aibu kutengana nae.maybe baadae dunia itamfunza huyo mwanamke.maisha ya stress hayafai jamani.na mwanamme akishafikia stage ya kulalamika,ujue yameshamchosha,maana wanawake ndio huwa tunapenda kulalamika
      Sal, Kiranga, Maty and 1 others like this.

    15. #32
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,188
      Rep Power : 41583
      Likes Received
      6079
      Likes Given
      1065

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      Quote By Bondpost
      Hakuwa mlevi wala mtu ma-outing! Hata kama kunywa ilikuwa a glass of wine to keep the company. Nawafahamu vizuri coz they dated for about two years consecutively, and the guy alipoamua kuoa nasi kwa sababu tulikuwa tunamfahamu binti japo kwa muonekano hakuwa na matatizo kama haya sasa. Mtu anasahau hadi mtoto wa miaka miwili jamaa inabidi awahi kumlaza mtoto? Hatari sana.
      Sasa kama hatari sana anachelewesha nini kumtaliki?
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.

    16. #33
      Fofader's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2011
      Posts : 502
      Rep Power : 487
      Likes Received
      105
      Likes Given
      54

      Default

      Alcoholic? Seek medical (psychological) help fast before it is too late. Mungu hapendi watu wanywe pombe. Great source of irresponsibility economocally and socially.

    17. #34
      wiseboy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2011
      Posts : 646
      Rep Power : 543
      Likes Received
      170
      Likes Given
      29

      Default

      Quote By Bondpost
      Hili nalo neno, tatizo linakuja kwamba yule ni mkewe, mpenziwe, sasa kama hamuelewi mumewe anataka nini je kuna haja ya kumnyang'anya biashara, kuficha funguo za gari nk na kumfanya mfungwa ndani ya nyumba, au dawa ni kumtimua?
      no kumtimua itakuwa uamuzi wa mwisho, let him start cutoff causers.
      Maty likes this.

    18. #35
      Kibunango's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2006
      Location : Tampere
      Posts : 6,805
      Rep Power : 44131
      Likes Received
      368
      Likes Given
      1430

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      Huyo kamanda inabidi siku moja azuke na mkewe kwenye viwanja anavyopenda kwenda. Na afanye hivyo kama mara tatu hivi. Katika muda huo achunguze ni nini mkewe anapenda zaidi akiwa ulevini. Baada ya hapo aanze kumsomesha ni jinsi gani familia yake inavyomkosa kwa tabia yake hiyo.
      Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
      But, if you think again, neither does milk."
      Vituko Vya Zenj

    19. #36
      Master jay's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 146
      Rep Power : 381
      Likes Received
      12
      Likes Given
      0

      Default

      Tafuta mwngn uhamie huko mdogo mdg. Hao wach...a wanatabia ya kukalia wanaume

    20. #37
      MKUU WA KAYA's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th April 2012
      Posts : 189
      Rep Power : 395
      Likes Received
      48
      Likes Given
      45

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      Duh! mpe pole Best. Lakini mwambie lazima awe na kanuni/sheria, wanawake wa siku hizi bila terms na conditions hawaendi , maana ya ndoa ni kila mmoja kutimiza wajibu wake ndani ya makubaliano .Kama mama yuko out of laid down princilples na jitihada za kwenda kwa wazazi wake pia zimeshindwa kuleta solution ,jibu ni kum fire aangalie ustaarabu wake!

      People do not marry people, not real ones anyway; they marry what they think the person is; they marry illusions and images. The exciting adventure of marriage is finding out who the partner really is!

      Maty and shopping like this.

    21. #38
      Kizamani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th September 2011
      Posts : 390
      Rep Power : 467
      Likes Received
      98
      Likes Given
      3

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      Sidhani kama huyo mke ana mapenzi ya kweli, ni biashara kichaa hiyo. Amrudishe kwa wazazi ampe muda wa kutafakari na kujirudi, kama hatobadilika ni vema wawe tu mbalimbali. Siku huyo mdada atakvomletea gongwa ndipo atavosema ningejua. Ndoa hazivunjiki naamini kama imani yangu inavosema, lakini kwa gongwa la ukimwi sasa hivi, mtanisamehe.

    22. #39
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By kisukari
      katika ndoa,kuna 3 sides to any stories,upande wa mume,upande wa mke and the truth.kuna kitu kilichompelekesha huyo mke kufanya hayo yote.ila kitendo cha kutomjali hata mtoto wake is too much.na kama njia zote huyo jamaa amejaribu za kusuluhisha,asione aibu kutengana nae.maybe baadae dunia itamfunza huyo mwanamke.maisha ya stress hayafai jamani.na mwanamme akishafikia stage ya kulalamika,ujue yameshamchosha,maana wanawake ndio huwa tunapenda kulalamika
      Mie naweza kusema kuwa, ukiona mwanaume amefikia stage ya kusema yanayomsibu kwenye ndoa ujue kuna kitu hakijakaa vizuri katika hiyo ndoa. Mtu anamueleza kwa upole ni jinsi gani anavyomuhitaji mkewe lakini mke hajali.

    23. #40
      BADILI TABIA's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : DUNIANI
      Posts : 14,605
      Rep Power : 5624
      Likes Received
      6214
      Likes Given
      2293

      Default Re: Mke mlevi na mpenda starehe!

      mwambie ampokonye hiyo biashara mapato yote achukue mwenyewe, matumizi ya nyumba asimamie mwenyewe......akishindwa amrudishe kwao hata miezi 2 ili ashtue akili......
      Maty likes this.

    Page 2 of 7 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...