Hivi kuna mapenzi ya dhati au ni kudanganyana?maana mtu akiona picha anachanganyikiwa wakati picha hizo wanaendaga kupiga photopoint.
Hivi kuna mapenzi ya dhati au ni kudanganyana?maana mtu akiona picha anachanganyikiwa wakati picha hizo wanaendaga kupiga photopoint.
duh............!!!!!!!!
mie nimekutana na mwanaume,nimempenda na yeye anadai ananipenda,anataka tuonane ila mie namzingua maana picha nilizoweka zimetoka vizuri na slim,wkati mie ni wa kawaida na ni bonge,
Mapenzi ya kweli yanatoka moyoni....
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Mapenzi ya kweli yapo, haijalishi hao watu wanakutana wapi. Kama wameanza kukutana facebook haimaanishi hawawezi kuwa na mapenzi ya ukweli. Ingawa vijana wengi wanaingia katika hizi social media kutafuta mahusiano ya muda, ndo maana wengi wanajitahidi kuweka picha ambazo zinavutia zaidi (Photoshop).
wanaume wanawavuna kweli huko fb....
Kiukweli wabongo wengi hasa wasichana wanatumia sana Facebook kuuza sura na hatimaye kupata mahusiano ambayo mara nyingi huwa sio serious lakini eventually baadhi zinakuwa kweli
yaani wewe unashangaa,hio picha tu,watu humu wanazimia avatar na maandishi?
nimempenda sababu tunawasiliana kny simu baada ya facebook,ktk maongezi anaonekana ni charming na mpole kisha anajali maaana ananipigia/text siku nzima,baby umeamkaje,siku njema mke wangu na ulale salama ni maneno yake....lol kitu ukikipenda hata kama kiko mbali unajua,kama humpendi hata akiwa karibu unajua tena siku ya kwanza unajua.
si bora Fb mi wangu tulikutana mlango wa kuingilia gest na tunapendana kweli
Catch me if you can....
yah inawasumbua wengi walioko fb kwa jf nipo safe
ASIYEUMBA HAUMBUI
Tafadhali dada nakuomba umsikilize huyo mtu, hujui anavyo teseka mwenzio. Yaani nyie wakina dada mngejua inavyouma kwa mwanaume anapompenda msichana halafu msichana anamzingua, siukubali tu muonane maana huwezi jua moyo wake ukoje, tafadhali onana nae maana sio vizuri kufanya moyo wa mwenzio usononeke
Matokeo ya baadae ndio yatakayoamuwa mapenzi ya kweli au la. Mbona wako wanaochaguliwa wachumba na kuletewa picha na ndowa zao zikafana!
Huko fb madada wanatisha sana!
Follow Us Here