Nimepokea ombi maalum toka kwa mama chanja wangu mtarajiwa ,anasema kuna mtu kamwomba ushauri,katika hili naye anaomba mchango wenu.
Ni hivi:
Kuna mdada mmoja (tumwite Cindy), Cindy aliolewa na akaachika.Alipata watoto wawili kwenye ndoa yake na anaishi mwenyewe na wanae.Majuzi kuna baba mmoja aliingia kwenye ofisi ya dada yake Cindy (tumwite Brenda) na hapo ofisini huyo baba aliona picha ya Cindy na akamtunuku. Alijitahidi kuomba contact za Cindy lakini Brenda akawa anakataa.Jamaa king'ang'anizi pamoja na Cindy kumwambia dada yake asitoe contact zake lakini tokana na presha yajamaa mwisho Brenda alimpa jama namba ya Cindy.Zikanza simu na sms zisizoisha mpaka Cindy akakubali akutane na jamaa.Wakakutana,wakala,wakany wa,in the process Cindy akamweleza jama ukweli kuwa yeye ni divorcee with two kids.Kuanzia siku hiyo hajamsikia wala kumwona jamaa tena.
Cindy anajiuliza hivi jamaa kakimbia kisa ana watoto? Au kisa ni u divorcee?apparently dada yake kumbe hakumweleza jamaa kuwa cindy aliwahi kuolewa na ana watoto.
Hivi wanaume mnakerwa kuwa na mwanamke mwenye watoto/divorcee,kwa nini?
Babu DC nakubaliana na wewe maana kama bint akizaa inamletea matatizo ni bora atulie kwanza mpaka aone upepo unaelekea kusini au vinginevyo!
I wish wangetusikiliza.....
Tena hawa wa dotcom ndio macharuko kabisa...
Kuna kabinti kamezaa juzi, mtoto ana miezi kama 4 hivi. Majuzi kamempigia baba wa mtoto kumweleza kuwa mtoto anaumwa (anaharisha) na kwa hiyo kanataka kumpeleka hospitali. Baba wa mtoto akajibu kuwa kwa sasa hana pesa....Kapo nyumbani kanaendelea kuwasumbua wazazi na mzigo wake!
Babu DC!!
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
mwambie cindy hasihofu ni upepo tu utapita, atapata anayempenda,japo wanaume weng hawapendi wanawake wenye watoto, ukiongezea na kuachika huo ni upepo mkubwa.
In other words nimwambie aishi kwa matumaini?
Sawa mkuu nitafikisha ujumbe.
Lakini mko tofauti mind you as wengine ukimpa ukweli aweza lia mpaka ukaanza kujisikia vibaya.....sasa its better to quit than telling it at the opening and leave a psychological scar and a permanent attitudinal depression......
Hili kwa mwanaume yeyote mwenye busara ni kukaa kimya unless the second side atake maelezo na pia inabidi kupima sana kbla ya ku burst open kwa sababu tajwa hapo juu
Bishanga hili swali ni wewe umelianzisha yule njemba hakutoa sababu ya kwanini kakimbia. Kumbuka ya kuwa alilia simu ya Cindy kutokana na taswira ya picha tu aliyoiona na alipokutana naye na kukaa naye kitako hatujui alipata picha ipi.................yawezekana majukumu tajwa yalimtibua au aliona hawataeza kuelewana na Cindy.............
Poor cindy,njemba ilimpandisha juu ya mnazi kisha ikamwachia pwaaaa
Amwagee wa nini naye ni married? Kama mumewe bado yupo hai huyo bado kaolewa tu.................njemba haina sababu ya kumkashifu Mwenyezi Mungu kwa kuzini na mke wa mtu....lol.................... .Kaunga you are better than this nonsense
Kwa hiyo talaka za mahakamani hazina maana mwanamke anaendelea kuwa mke wa mtu tu? I wonder........
Kiukweli Babu DC haya mambo watu wanaweza kuyachukulia kawaida lakini ni sirious,wazazi wengi wameingia kwenye usumbufu na mahangaiko ya kulea wajukuu pamoja na mama wa wajukuu hao,yaani wanawe.Hili ni tatizo kubwa,mabinti wanatakiwa waepuke ujauzito usiokua na tija.Kuna binti alizalishwa watoto wa3 midume mi3 tofauti,binti akatelekezewa watoto,miezi miwili iliyopita binti ametangulia mbele wa haki midume iko mtaani haina habari na watoto,bibi ya watoto wale anahangaika nao kila uchao!
Anajua fika, jinsi jamii (na especially huko kwao) inavyomchukulia mwanamke mwenye mtoto/watoto na pia ambavyo watu walivyo na uvumilivu mdogo (near zero tolerance) kwa mwanamume ambaye anaamua kumuoa mwanamke kama huyo.
Ninafahamu kuwa Wahaya wameenda mbali, na wana majina yanayotumiwa kuwaita wanawake wa namna hiyo (nasikia wanaitwa enyailya) na yanaonesha level ya juu kabisa ya unyanyapaa kwa mwanamke mwenye mtoto. Na sasa huyo Candy ana mzigo mwingine wa kuachika.....
No way, inabidi apate mwanamume mwenye mizigo pia..Vinginevyo, siwezi kumshauri kijana wa watu amvae mama kama huyo....
Samahani kama ninaandika mambo yanayokera wadau wengine ila kwa bahati mbaya mie naona kuwa hizo ni facts na si vinginevyo!
Babu DC!!
You are absolutely right,uhayani kijana akioa mwanamke mwenye mtoto (achila mbali divorcee) basi haruhusiwi 'kuramya' ie kuitwa mwanaume na akifa kwenye kaburi lake anawekewa kipande cha mgomba kuashiriakafa bila 'kuoa'.
Is it fair lakini?
Now nimejua namna wanawake wenye watoto wanavyoteseka na jamii kuwanyanyapaa kwa sababu wana watoto,jambo hili litaongeza maumivu sana kwa wanawake ambao tayari wako kwenye ndoa zenye mateso!Watahofia kuondoka kwa kujua after that hakuna mwanaume atakua anashida nae kwa sababu ya watoto au mtoto unless awe na vitu vya kuwavuta wanaume kama fedha n.k.To my opinion mwanamke wa aina hii ni mwanamke bora kuliko asiyekuwa na mtoto!
Too sad Eiyer,lakini jamii zetu ndivyo zilivyo.Ila huyu mama akipata fellow divorcee it might work.
Babu DC nakubaliana na wewe maana kama bint akizaa inamletea matatizo ni bora atulie kwanza mpaka aone upepo unaelekea kusini au vinginevyo!
Tatizo muda huwa haumsubiri binadamu,imagine mdada wa watu anamaliza chuo at 25,anaanza kusubiria mr right,huyo ana hit 30 hajampata,at 35 unadhani ataamua nini?
You are absolutely right,uhayani kijana akioa mwanamke mwenye mtoto (achila mbali divorcee) basi haruhusiwi 'kuramya' ie kuitwa mwanaume na akifa kwenye kaburi lake anawekewa kipande cha mgomba kuashiriakafa bila 'kuoa'.
Is it fair lakini?
.....kha? Maskini wajane..... Ama hizi mila na desturi zilikuwa na lengo la kuwanyanyapaa wajane. Labda ziliwekwa kuwahofisha wanawake waogope madhara ya kuachika.
Namshukuru mw'mungu imani yangu inaniruhusu kuoa mjane, na haijalishi ni tasa au ana wanawe. Huyo baba huenda amekimbia 'majukumu'.....hakumpenda, alimtamani tu. Love is above all the customs and traditions (incl. Taboos)
Bishanga hakuna anaewakataza mabinti kuzaa,but wanapopanga kuzaa wazae wakiwa wamejiandaa wasitarajie wazazi wenzao au wazazi wao,hao wawafanye kama extra tu.I use to tell my sister,asidhani kuwa nitakuja gombana nae kisa nimemkuta na mwanaume.Nilimwambia ajifunze kujilinda na kujiamulia mambo yake mwenyewe bila kututegemea sisi.Nikamwambia akiharibu atakua anaharibu maisha yake mwenyewe wala sio ya mtu mwingine!So binti yoyote anataki aelewe hivyo.Wapo ambao wamejikuta wanafanya kazi za ajabu kama vile ukahaba ili wakidhi mahitaji ya watoto wao,matokeo yake wanaishia kupoteza maisha yao,what a shame!
Siyo kila jaribio linafaa kujaribiwa.....Hata kama ningependa vipi boga, mara nyingi napenda kubaki na uhuru wangu wa kuamua kama nipende na ua lake au la!! Tatizo boga halitakuwa na raha wa amani tena, kama halina hakika kwamba ua lake linapendwa pia!
Nigejaribu kila njia kutojiingiza kwenye biashara ya namna hiyo!! Ndiyo maana nasema kuwa huyo mwanamue alifanya uamuzi wa busara sana!
Babu DC!!
Babu Dark City hapa huyu jamaa alikosea
Alichotakiwa kufanya sio kukata mawasiliano namna hiyo angemweleza tu ukweli you never no tommorow bwana..
Bishanga hakuna anaewakataza mabinti kuzaa,but wanapopanga kuzaa wazae wakiwa wamejiandaa wasitarajie wazazi wenzao au wazazi wao,hao wawafanye kama extra tu.I use to tell my sister,asidhani kuwa nitakuja gombana nae kisa nimemkuta na mwanaume.Nilimwambia ajifunze kujilinda na kujiamulia mambo yake mwenyewe bila kututegemea sisi.Nikamwambia akiharibu atakua anaharibu maisha yake mwenyewe wala sio ya mtu mwingine!So binti yoyote anataki aelewe hivyo.Wapo ambao wamejikuta wanafanya kazi za ajabu kama vile ukahaba ili wakidhi mahitaji ya watoto wao,matokeo yake wanaishia kupoteza maisha yao,what a shame!
Nimeipenda hii Eiyer........Jipange sawasawa Binti/mdada/Mwanamke. Ishi leo bwana, kesho waijua wewe? Dah life ni wewe tu jinsi unavyolitengeneza. Ukijikuta umefikia hapo pakuwa na mtoto basi SIMAMA kwa miguu yako, na Mungu atakusaidia, kwa nini kujitesa nafsi kwa uamuzi uliouamua mwenyewe?
Imeandikwa Amelaaniwa amtegemea mwanadamu, Wajibika katika yale yanayokuhusu wala huyo mtu wakudhani kuwa mtoto wako ni mzigo hatajitokeza. Manake mwenyewe akikuangalia atashangaa umewezaje? Nanyi wakaka bwana dah mmezidi kutunyanyapaa!!!!
You are absolutely right,uhayani kijana akioa mwanamke mwenye mtoto (achila mbali divorcee) basi haruhusiwi 'kuramya' ie kuitwa mwanaume na akifa kwenye kaburi lake anawekewa kipande cha mgomba kuashiriakafa bila 'kuoa'.
Is it fair lakini?
Fair or not, but it is a reality....
Tunatakiwa kuhangaika ili tuone jinsi ya kukabiliana nayo ndipo tuanze kujadili kama kweli ni halali!!
Babu DC!!
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Follow Us Here