Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
sasa kama yeye anatembea na akina kibonde anategemea nini. Aje kwangu aone
Mnampa klediti nyingi sana huyu binti wala asizostahili.
Anyway, kuna ukweli fulani tena wengi hata boksa hawana.
Ukipita vijijini utagundua mtu analala siku 2 bila kuoga.
anamwongelea kibonde na wanaume wa redio clouds kina ruge...aje huku aone kama atabanduka..kajitongozesha kwa mabossi maskini wee matokeo yake ndio haya
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Haijatulia
Preta, kama ameongelea kwa popn ya TZ nzima kunaweza kuwa na ukweli.
Asilimia kubwa ya watz wako vijiji na hizo shower jely watazipata wapi? Au hizo boksa watapata wapi wakati wanahitaji mahindi ya msaada?
Kuna ukweli hapa, labda kama tunaongelea hawa wa mjini wenye makazi makubwa.
kumbe ananini na maboss wake!.
wanaume wachafu sio watz tu...embu ajaribu wazungu wanigeria wakongo alafu atuambie kama watz ndio wachafu zaidi...
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
Ameyataka wacha achanwe tu kanajidai kana jua sana kale ka bint
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
Alisema msimzungumzie jaman wanaJF hamsikii?
diva loveness ndo nani? Na ametembea na wanaume wangapi moaka akafikia hiyo conclusion?
pieni pic zake hapa kwanza tumuone
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Yeye kafata Bomba au Boxer,atoe matokeo ya alichofata,au nae awape ukumbi vile vibitoz vianike kikufuli chake kilivyo!
Watu wengine badala ya kudiscuss maada, mnaanza kumdiscuss yeye......!! Anyways.....ila kwakweli hawa wenzetu walio wengi mmmh vitu wanavyovivaa ndani duh....disaster!!!
Follow Us Here