Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
Smile ilo doa hapo mbele umeshindwa kulitoa?...
Unajua tatizo kubwa la kunuka boxer ni kusimama kwenye daladala tena nyuma ya ****** ya wanawake waliopiga mchina. Ukitoka posta hd Mbzi utagundua hilo
huko facebook ni MAJANGA...watu wamemnyea kinoma...laiti na huku kungekua hakuna jela,ningefanya kitu....
mi nacheki comment tuu
Huyu m***,ku***,akaf***na ruge kule.
wanaume wengi si makini sana katika usafi......na wana mjisho mikaliiiiiiiiiiiiiiii hiyo mijasho wasipoisafisha vizuri ni kweli huwa wananuka sana tena harufu ya kibeberu!
alichokosea huyu mrembo ya cloudz ni kuwajumuisha wanaume wote kwenye hayo maharufu
nadhani hajafunzwa vizuri kipi aongee wapi na kwa nani
Daily News halisomwi tandale kwa mtogole - MPOKI
Huyu si alikuwa anajiuza pale ohio street na K yake inanuka kama mavi ya fungo
Si kweli amefanya research wapi? Kwa nani? Those are just fallacies, we need researched reports sio rumous
...diva....ndo photò yake iyo!..
What if we talk their side...?
Anatakiwa aje na maelezo ya kutosha. Auonyeshe utafiti alioufanya. ni upumbavu kuzungumzia kwa ujumla.
complains always hide opportunity
Hadi mtu aseme hawafui boksa or soksi inamaanisha kashawavulia wachafu wengi sana. Acha alitoe la moyoni.
Kwa ujumla Wabongo, Waume kwa Wake, wana body odor kali aka wananuka. Huhitaji ushahidi zaidi ya arrival "lounge" ya Airport Dar. Kwenye daladala wanaonuka zaidi ni Wanaume. All in all, Wanaume ni wachafu zaidi iujumla ukilinganisha na Wanawake across social class and age.
Hakika simjui mtu huyu. Ndio nani? Tuelewesheni.
A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people.
Follow Us Here