Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
KUMEPAMBAZUKA...haha!ww ndo wa kwanza kunifungua kinywa GITWA...LOL
sa mmemtoa wapi tena uyu...hata yeye sio msafi...na ule uso kama FENESI...!madoa kama chui.
Sikubaliani na utafiti huo, angesema katembea na wangapi na akabaini hivyo,
Utafiti kimsingi hupitia hatua nyingi mpaka kutolewa kwa ripoti ya majumuisho!
Labda mleta mada hajaikopi ripoti yote tungeona na kuijadili ipasavyo! Ila niaminicho ni kuwa wanaume wa dotcom ni wasafi, makini, wanapenda na kujipenda!
Sasa kama aliofanyanao utafiti wananuka, pole yake! Lakini siamini kama hao wanawakilisha wanaume makini na marijali tuliotamalaki tz!
Arudie tena utafiti wake na aanze na mimi!
Kwa tunaoelewa hiyo kauli yake haitupi shida. Ametumia mithali na alikuwa anamaanisha anatafuta wanaume ambao ni wasafi maana amezoea kupumuliwa na wanaume wachafu.
Namshauri kabla hajaanza kuwapata hao wanaume wasafi anaowatangazia biashara, aende kuangaliaa VDRL na U:T.I hospitali inawezekana akawa kaambukizwa kutokana na tabia yake ya kupitiwa vidume vichafu.
pole zake dada yetu.
ni kweli kweli kweli tu wanaume wengi ni wachafuuuuu!!!!!!!!!!!mno jamani jirekebisheni ebo?
Na nyie si muwe mnafua tu yaishe.
Ili kumjua mchafu kati ya mwanamke na mwanaume,kila mmoja avue nguo zote maeneo yenye inzi.Halafu,atakayefuatwa na inzi ndiye mchafu.Niko tayari kufanya zoezi hilo na Diva...
Uongo huonekana na kuaminiwa haraka.Ukweli ndio mwisho wa yote!
Kuna kaka mja ilibidi nimwambie alikuwa ananuka mpaka nzi wanamfuata akaoa tukajua sasa atasafishwa ila wapi,ni wanaume wachache sana ni wasafi hata wa hapa mjini,hata kipandi tupo chuo hosteli unamwona mtu anakwenda oga anarudia boxa hata wiki mzima kiukweli ni wachache sana sana,mtu anarudia soksi mpaka inakuwa ngumu,mfano tunazoziona sana wale wapanda daladala makonda yani anapoinama kwenye du!
Mimi sioni kama kuna haja ya kumshambulia kwani mwenzetu kafanya utafiti na huenda kati ya 100 alotembea nao 90 walikuwa na hayo anayoyalalamikia...kosa ninaloliona hapa ni kutokutupa Sampling frame na sample size ili tuweze kujua kama conclusion alofikia ni Valid........then tuhimizane kufua halafu tugeukie na upande wa pili wa kina dada zetu....
The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
Hata siungani wala sipingi . .
Nasema tu muwaridhishe wale wanaounga mkono hoja.
Mkirua Kuweni na pair 5-7 za boxer na soksi ili muweze kubadilisha kila siku na kufua mara moja kwa wiki kama muda ni tatizo.
Anachukua wale wasukuma mkokoteni au
wachuuzi wa samaki kule feri.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Na wewe umeingia kwenye gunia la mende eti. Wa dada ni mafuta tu na pafume ni wachafu saana nyie, mwanaume anuke kwani anaenda P. Jestina usiseme hivo na boy man wako ananuka au? Kama ndiyo mpige chini jaribu mwingine wakifika kumi wote wananuka then useme. Kwanza kiazi hunuka kwa ndani ukimenya au hunuka kwa nje?
Follow Us Here