Re: Separation VS new relationship is it right?

By
Ndeonasiae
Je kisheria inakatazwa endapo mmetengana, wapi mwanasheria . Pili wapi nitapata mwanasheria anisaidie kushuhulikia divorce mwenye gharama nafuu maana nimeulizia gharama kwa mwanasheria fulani private yani ni hela ya kiwanja nikabaki mdomo wazi!
Maswali kama haya ingekuwa bora kama ungeyapeleka kwenye jukwaa la sheria. Kuanza uhusiano mpya kabla ya kutengenga kisheria inaweza kuleta matatizo kulingana na sababu za kutaka kuvunja ndoa. Assume kama sababu ya kuvunjika kwa ndoa ni adultery halafu unaenda kuanzisha mahusiano mapya hata kabla divorce process haijamalizika.
“Wanaotaka kuhashua wanatoa rushwa. Wanaotaka kuhashukwa nao wanataka rushwa. Hahashukwi mtu bila rushwa, na mtu hahashui bila rushwa na hapo ndipo tatizo lilipo.” - Mie mwenyewe.
Follow Us Here